Ni kwamba mfumo wa serikali ya CCM ulishajua kuwa hawa hata tukiwafanyia lolote baya wana wasahau tu na kunyamaza.
Ndio maana leo wanafanya lolote watakalo wanajua kesho mtawafanya lolote sababu...
Wenzetu wanamaisha tofauti na huku afrika.Unaweza kupishana na kiongozi mkubwa mtaani wala usimjue kabisa.
Wenzetu wamejijengea kutofautisha kazi na nzengo.
Sio wote ambao wanafanya hivyo ila...
Kuna kesi inaendelea pale mahakama kuu masijala ndogo ya Kigoma kuhusu ushindi wa Clayton Chipando a.k.a Baba Levo kuhusu ubunge wake.
Kuna tuhuma kuwa ushindi wa Baba Levo ulikuwa na hujuma kwa...
Ukifika pale kituo cha msimbazi kariakoo sana sana labda vyumba vya wakubwa ila wote waliobaki ni kama ofisi za walimu Temesa walivyo.
Uwezi kuelewa kompyuta inakaa wapi,foil ya chips na vidari...
Wazee mida ya jioni (Jana), nilikua napita kwa mguu pale kijazi interchange aise vurugu za bodaboda sio mchezo. Yaani waendeshaji na abiria ni kama wamenunua tiketi ya kifo!
Hakuna rules yaani...
Hello, ladies and gentlemen wa jamii forum , Kama uzi unavojielezea hapo juu . Nina live example . Mimi ni mwanafunzi wa sheria, Jumatatu nilipeleka barua ya field katika mahakama ya wilaya X...
Wasalaam waleikhum ndugu zangu waislam na wakristo....
Ni kawaida kwa waumini wa kislamu kukuta hawatumii pombe kwa kuwa imekatazwa kwenye maandiko. Ila sigara kwao ni kama chanda na pete...
Nimesikitika pale raisi unaposema wanaokosoa kuwa ni magaidi ni kwamba hata huu utekaji ni maagizo yako kwa wanaokukosoa.
Hapa neno gaidi sasa limeshakuwa wakosowaji na wanaharaki lolote la...
Kuna nyumba unakuta watoto watatu wote wa kike wamezaliwa nyumbani, unaweza kujiuliza maswali kwanini haya yatokee ila kiukweli mama mtu amekuwa akipokea pesa za vocha kama zote sasa anashindwa...
Ndugu zangu kwa masikitiko makubwa jana mabeberu wamewalipa watu wote walioingia kwenye hafla ya miaka 30 ya bongo fleva ili wamzomee, kumbagaza na kumbananga mwana FA.
Inauma sana. Mimi kama...
Kuhojiana ndiyo tamaduni uliyo ya kistaarabu sana hasa ndani ya vyama vyetu,au vyombo vyetu vya umoja au umma,hasa pale panapokuwa na mashaka fulani fulani, kuhojiana ndani ya vikao vya chama...
Kuna kipindi cha jamaa mmoja anaitwa sam chui mambo ya ndege.
Alikwenda sudani kusini kuangalia huduma za safari za ndege na mashirika ya misaada.
Kitu nilichoshtuka kuona nembo ya tanzania ya...
Naomba kuuliza swali,
Hivi haya magari (basi) ya Taasisi na Serikali yanayowasha taa na ving'ora ili kufanya Wananchi na Watumiaji Barabara, kuwapisha nyakati zote tena hasa wakati wa foleni -...
Hakuna kazi ngumu kama kupata Control number ofisi ya RTO MWANZA, pengine kuliko huduma nyingine zitolewazo na ofisi nyingine za umma pale mkoani Mwanza.
Je, hakuna suala la rushwa ndani yake...
Japo umri na mimi umeelekea ila bado kuna mambo mengi sanaa ya nyumbani ina changamoto sana kwa upande wa stejini.
Katika makundi ambayo stejini wameshindwa ni hawa bongo flava kabisa.
Live...
Wananchi na watumiaji wa vyombo vya moto wamehimizwa kuwa makini wanapoyapita magari hayo ili kuepuka kuyagonga. Pia wametakiwa kutolisogelea gari lililobeba kemikali ya sianidi (Sodium Cyanide)...