Unakuta mtu alipokuwa mtumishi alikuwa busy anakula pombe na watumishi wenzake.
Baada ya kustaafu anakuwa anazunguka kwenye mabaa na kuombelez pombe kama omba omba
Hii ni picha mbaya sana. Hasa...
Niliwahi kusafiri na gari la mizigo kuelekea malawi tulipofika maeneo ya karibu na mzuzu mall
Nikapaki gari maana muda ulikuwa umeenda sana tukapaki gari kwenye sheri moja hivi ya puma tukalala...
Wizara inapenda kutoa ufafanuzi kutokana na taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu notisi zilizotolewa tarehe 4 Juni, 2026 na Ofisi ya Msajili wa Hati Mkoa wa Arusha kwa Vijiji vya...
Wana bodi, kumekucha, tunamshukuru Mungu kwa kutujaalia uzima.
Naomba kuwasilisha kero kuhusu ucheleweshwaji wa ujenzi na maboresho ya masoko ya Majengo, Kizota na Stendi Ndogo ya Mnada Mpya...
12-7-2026 Mawakili wa Serikali wameilikia Wizara na Waajiri wawape Posho za Suti, Bib, Tai na Mikoba na nyumba , viatu ambazo huwa wanapewa tangu 2024 isipokuwa baadhi ya waajiri wachache hawatoi...
Kwema
Kuna baadhi ya vitabu nimewahi kusoma mwandishi anaeleza kuwa kila mwanaadamu ana asilimia ya ukichaa/uchizi kwenye akili yake na hii asilimia ya uchizi imejificha , na sometimes...
MUDA, HAKIMU ASIYEPOKEA RUSHWA
Na Emily Mwakilembe
Mwanadamu anaweza kujenga ukuta wa uongo, lakini muda huufanya uchakazwe na upepo wa ukweli. Anaweza kununua sifa kwa fedha, lakini hawezi...
Serikali imeweka mfumo wa taa za kuongozea magari (traffic lights) katika eneo la Mombasa, Ukonga, kwa lengo la kupunguza ajali na kuimarisha usalama barabarani. Hata hivyo, bado kuna changamoto...
Mimi ni mkazi wa Wilaya ya Magu.
Nimefuatilia marekebisho ya herufi moja kwenye jina langu la mwanzo katika kitambulisho changu cha NIDA. Nimekamilisha taratibu zote nilizoelekezwa, ikiwemo...
Naomba kuwasilisha malalamiko kuhusu mwenendo wa baadhi ya askari polisi katika eneo la Daraja la Nyerere, Kigamboni, Dar es Salaam.
Ndugu yangu alikuwa akielekea Kigamboni kwa bajaji kwa ajili...
Harakati zangu za kilimo juzi kati zilinifikisha Kijiji cha Berega wilaya ya kilosa mkoani morogoro..
Oya wajuba !, huko Kuna kabila la wakaguru Hawa watu ni wanafiki wa kiwango cha lami afu...
Naomba tupaze sauti kuhusu hali ya Barabara ya Kinzudi inayounganisha barabara ya Goba na Africana, ambayo kwa sasa imekuwa tishio kubwa kwa afya za wakazi, wafanyabiashara na watumiaji wa eneo...
Baraza la Ulamaa BAKWATA limeazimia kumsimamisha Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Walid Omar Kawambwa kutokana na mienendeo inayokiuka misingi ya kiungozi ya Kibaraza.
Soma: PreGE2025 - Rais Samia...
Mi huwa naendesha gari ya shule frani iv iko maeneo ya kinyerezi leo katika mizunguko yangu ya kila siku bhna nikakutana na mwalimu mkuu nilivyo nishamaliza kuwafikisha wanafunzi nataka kupark...
Wanabodi,
Nawasalimu kwa jina la JF.
Angalizo la uchangiaji, hili ni moja ya mabandiko yangu ya kuwaanda Watanzani kisaikolojia kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu, nakushauri, ukiusoma uzi huu...