Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nipo zangu home nikijiburudisha na kipindi changu ya Wanyama hapa. Sasa Kuna kipande cha video nakiona kuna swala alikuwa anakunywa maji kwenye kibwawa kidogo cha maji kumbe ndani Yake kuna Mamba...
5 Reactions
9 Replies
253 Views
Hapa naona Nvidia anazidi kuchanganyikiwa na hawa Wachina. Nvidia alijiona kuwa ndio mtu pekee uwezi kubadilisha vifaa vyake uwezo kwenye card. Sasa wachina walichofanya ni kwamba unaweza...
3 Reactions
13 Replies
196 Views
Unataka kusafiri nje ya nchi? Pasipoti ni muhimu sana! 1. KWA NINI PASIPOTI NI MUHIMU? Kitambulisho rasmi cha kimataifa - Inakuthibitisha kuwa wewe ni raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
0 Reactions
4 Replies
173 Views
Huu ndio Ujumbe wangu waleo kwa Walio-Oa kwanza Usimchunguze Mkeo ukimchunguza Mkeo mtaachana mapema au ndoa yenu itaku Yenye ugomvi pia dada usimchunguze mumeo Ukija kuona mnaanza"" kuchunguzana...
9 Reactions
11 Replies
241 Views
WAKUU»»We uliwezaje kujinasua? sehemu uliopenda sana mana siku zote mtu akipendwa anaanza mariongo akijua Umependa kupinduikia Sasa hapa kuna kasichana kanaitwa A nimekapenda kupiliza ila Yeye...
4 Reactions
38 Replies
359 Views
Nyanda ya Juu Kusini huku mahindi bei chee sana. Leo tumeuza magunia machache ili kupata pesa za kujikimu na kubadili nishati ya kupikia, ila kituko kipo kwenye bei ya mahindi na bei ya jiko la...
2 Reactions
8 Replies
206 Views
Enyi wamatumbi acheni kuwa kama nguruwe. Acheni kuruka ruka kama nyani mkichekana nyuma zenu. Acheni kupoteza potential zenu mkifanya jambo lile lile kwa miaka 50. Hamkuumbiwa kufanya kazi kama...
7 Reactions
61 Replies
705 Views
Unaambiwa kila nyumba inatakiwa kuwa na picha ya bab wa taifa na picha ya kiduku. Ikitokea nyumba imeungua na kuna mtoto ndani ni bora kuokoa picha ,wakija wakakuta picha zimeungua na umeokoa...
8 Reactions
31 Replies
388 Views
Ilikuwa ngumu muislamu kusema afuge mbwa na kuweka mazoea naye. Ila kwa dunia ya sasa ukiangalia waislamu wameanza kugundua mbwa anaweza kuwa mlinzi wako na familia yako.Lile tukio lilotokea...
2 Reactions
29 Replies
315 Views
Kuna jamaa mmoja anaitwa Maiko. Nilimfahamu kupitia rafiki wa familia ambaye tulikuwa tukimuita mjomba. Mara kadhaa alikuwa akija nyumbani kwetu akiwa ameletwa na huyo mjomba, hivyo hatukuwa na...
3 Reactions
29 Replies
492 Views
Kuna sehemu nilipitia nikaona mashine ya kukoboa mchele na kuweka grade yani mashine ile ni moja tu na kwa mtu wa kijiji anaweza kukoboa kilo 500 kwa saa. Leo wachina wameweza kutengeneza robot...
1 Reactions
8 Replies
183 Views
Duka la Kwanza: Mswahili Mwenzako Ananunua bidhaa kutoka China kwa elfu 15, Anaongeza usafiri, kodi, umeme, na gharama nyingine, kifikia dukani kwa elfu 20. Atauza kwa elf 80 Usiwe na papara...
4 Reactions
78 Replies
1K Views
Wengi wanataka kujua namna ya kutoka kwenye umasikini,ila hawajui watokaje. Lakini ukweli ni kwamba ni mtindo wa maisha na maamuzi madogo ya kila siku yanayoweza kumtoa mtu kwenye umasikini, sio...
7 Reactions
14 Replies
360 Views
Bora mbwa au paka unaweza kuwa rafiki hata ukalia kama wema sepetu. Ila sio kujijengea urafiki na wanyama wa mboga,Wanadai watu wakuona mbali ni kama umeamisha sehemu ya roho yako kwenda kwa...
9 Reactions
24 Replies
429 Views
White South African business owner reportedly refused to reopen his company after being confronted by members of March and March, who demanded that he employ South African citizens. According to...
1 Reactions
5 Replies
148 Views
PICHA linaanza Kijiji cha katoro, geita. Ni sherehe ya send off tu si harusi, bibi harusi kapewa bilioni Moja na milioni mia nne kama zawadi ya wana kamati, kabebwa kwenye helicopter, gari...
15 Reactions
658 Replies
13K Views
Jana Baraza kuu la waislamu Tanzania lilimfuta kazi shekh Walid shekh wa mkoa wetu wa Dar es salam kwa tuhuma za uzinzi Ieleweke kwamba kwa sharia zetu za kiislam mzinzi tena mwenye ndoa...
5 Reactions
22 Replies
460 Views
Is an effect of being a lawyer and not an advocate ,or what?,si alisema wanaotaka kumshitaki waende mahakamani awasweke ndani? imekuwaje tena?
0 Reactions
0 Replies
56 Views
Na Mwandishi Wetu SHIRIKA la Dawa Asilia na Ulinzi wa Mazingira Tanzania(TRAMEPRO Tanzania ) limetoa mwitokwa Watanzania, Waafrika na jumuiya ya kimataifa kuendelea kujenga jamii inayoheshimu utu...
0 Reactions
0 Replies
64 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…