Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wakuu, msaada wa mawazo kuhusu jambo linalo nisibu, Mimi nimeajiliwa sehemu, Nimekaa kwa muda kias, Boss wangu, katika Makubaliano, ni kufanya kaz, huku nikihesabu mshahara wangu Hatimae...
3 Reactions
15 Replies
225 Views
Kama mtu anaweza kupata nafasi hadimu ya kutoa maoni ila jambo analo sema ni hilo, na yuko serious kabisa. === Kero ya ghorofa la jirani imeibua mjadala na vicheko katika mkutano wa hadhara...
2 Reactions
5 Replies
140 Views
  • Redirect
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, leo Julai 20, 2026 amefikishwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu ya Dodoma kwa ajili ya kesi ya kikatiba inayohusu haki za Mawakili kupata faragha...
1 Reactions
– Replies
– Views
BAKWATA mnautia aibu sana uislam katika hi nchi mnamuhukumu vipi mtu Kwa Maneno ya mwanamke aliyeongea mitandaoni? Mmesema mmemtengua Kwa mwenendo wake mbovu wa maadili Kwahiyo nyinyi BAKWATA...
2 Reactions
3 Replies
110 Views
Tangu nijiunge JF nimeweka bando la mia tano tu mpaka leo bado sijaweka tena na nimeweka miezi kadhaa nyuma mpaka najiunga JF ndo hilohilo mpaka leo unajua kwa nini? Natumia kiswaswadu naingia JF...
21 Reactions
91 Replies
2K Views
Kumekuwa na changamoto nyingi sana za kiutumishi kwa uongozi uliopo, watumishi kunyanyaswa na kukosa haki zao za kiutumishi na kupelekea utendaji kazi kudhoofika kwa baadhi ya watumishi na hali...
1 Reactions
5 Replies
130 Views
Jaribu hii njia isiyo na gharama ili upate heshma kwenye jamii kikubwa tu ujiamini. Kwanza usikubali watu wakusome tabia yako yaan usiwe mropokaji kwa masuala yako. Wewe pga mishe zako kimya...
5 Reactions
19 Replies
255 Views
JF wote wanajua kila kitu ni sawa. JF wote ni washauri wa kuanzia siasa, uchumi, michezo nk, jf wengi wanajiweza, its ok, JF wote ni mapro kwa kila sector, thats good. ======= Kwa kawaida, mtu...
31 Reactions
273 Replies
3K Views
"Mfumo haupendi watu smart." Watu wengi wakisikia kauli hii huifikiria vibaya. Lakini sikumaanisha kwamba mfumo unachukia watu wenye akili. Ninachomaanisha ni kwamba, katika mazingira mengi...
6 Reactions
6 Replies
164 Views
Bendi hii ya muziki wa injili iko wapi kwa sasa? Nimekumbuka uimbaji wao ulitubariki kwelikweli kwa vipawa walivyopewa na MUNGU,mwenye taarifa,nyimbo zao jimwage hapa
4 Reactions
42 Replies
14K Views
Sio kila misamahaa unaweza kusamehee ila kuna mambo mengine mfano yani mtu kakufelisha umekuwa maskini unaambiwa usamehee ,Je angekumaliza kabisa uhai na hapo ungesamehee nini. Huyu unaye...
4 Reactions
11 Replies
153 Views
Kwa lugha nyepesi tu ni kwamba CCM hawezi kuongea lolote bila kuitaja Chadema. Mfano tumeona kuhusu maridhiano mpaka sasa wanaumia kwa nini Chadema haijakubali.
3 Reactions
3 Replies
99 Views
  • Redirect
Wakuu hii habar imenishtua Tanzania ina chuo kimoja tu hapa top 10 ambacho ni cha 7 . University of Dar es salaam. Wakati kenya ikiwa na vyuo vitatu!!Na hata 5 bora hatumo. Nini shida huku...
0 Reactions
– Replies
– Views
Baraza la taifa la mazingira na mamlaka husika wananchi wenu tunateseka sana na makelele ya bar zilizopo kata ya Goba, mtaa wa Kulangwa kuanzia JOY ES LAVA, DEEZ PUB, LIVE LONGUE, MUSU PARK, BAMBA...
1 Reactions
7 Replies
250 Views
Ogopeni sana watu wanaojitangaza hasa mitandaoni kwamba wamefanikiwa kwenye hili ama lile.. Wale ambao hujitangaza kwa kujifanya ni 'motivational speakers' Wakijifanya kuwatia moto wengine...
13 Reactions
27 Replies
1K Views
Kura ya maoni ya hivi karibuni ya Kituo cha Utafiti cha Pew inaonyesha kwamba taswira ya Marekani imeharibika vibaya barani Afrika wakati wa miaka miwili ya kwanza ya muhula wa pili wa rais Donald...
1 Reactions
0 Replies
331 Views
Wasiojua kusoma na kuandika zaidi ya vijana 700 ikiwemo watu wenye umri zaidi ya Miaka 17 wakiwa 85 wasiojua kusoma na kuandika katika kijiji cha Ipazya wameandikishwa katika mfumo rasmi na mfumo...
3 Reactions
6 Replies
452 Views
Kulingana na UNESCO hadi mwaka 2015, kiwango cha watu wazima kusoma na kuandika cha ni 77.89% nchini Tanzania. Wakati kiwango cha wanaume kusoma na kuandika ni 83.2%, kwa wanawake ni 73.09%...
16 Reactions
79 Replies
5K Views
Mambo vp wadau wa JF naomba kushare nanyi List ya mikoa 10 ya Tanzania bara inayoongoza Kwa wakazi wake Kujua Kusoma na Kuandika (Literacy Rate) na Mikoa 10 ya Mwisho katika kipengele hicho...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…