Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linachunguza mauaji ya Afisa Ardhi wa Wilaya ya Kilombero, Zakaria Rashid Malika (57), aliyefariki baada ya kuvamiwa nyumbani kwake na watu wasiojulikana.
Kwa...
ATCL YAZINDUA SAFARI ZA MWANZA - DODOMA, ABIRIA 1300 KWA SIKU
Shirika la Ndege Tanzania(ATCL), limezindua safari zake za utoaji huduma kati ya Mwanza -Dodoma ikiwa ni kurahisisha safari kwa...
Wakuu nahitaji msaada wenu kwa jambo hili
Mimi ni kijana wa miaka 20 Sina mpenzi lakini nashangaa nashindwa kutongoza yani unakuta dem nimemuelewa lakini. siwezi kumwambia nakosa kujiamini Wakuu...
Wakuu leo nimepata muda wa kuangalia tv station ya Mwamposa sijui kitu gani kimenituma niangalie lakini kuna jambo nime-note na lime nichekesha.
Kwanza watoa shuhuda 99% kwenye hiki kipindi ni...
Hizi ni ishara tosha kwamba hela ya Tanzania imepoteza thamani yake rasmi.Bwana siku hizi, mtaani na kwenye mitandao ya kijamii kumezuka tabia ya Watanzania kutrendisha mambo yasiyo na manufaa...
KUna tukio nimekutana nalo shambani siamini mpaka kwasasa naona kama ni ndoto au ni uoga wangu au nini sielewi chochote mpaka sasa hivi kwa nilichokiona . Miezi kazaa hapo nyuma
Katika...
Wapendwa habari!
Mimi na mume tumejikuta njiapanda kwa kutokuelewa tuamuaje. Mimi ni mama wa mtoto wa mwaka mmoja na ndoa ya mwaka na miezi kadhaa. Mimi ni muajiriwa katika taasisi fulani hapa...
Kuna mda maisha unahisi yanakoswa maana, unaishi bila furaha unasema nikipata kitu fulan nitakuwa na furaha unapopata unakuwa na furaha ya muda baadaye unakoswa tena furaha.
Njia ya kurudisha...
Miaka hiyo habari ilikuwa ngumu sana ukilinganisha na leo uwezi kuzificha.
Kipindi cha Sumaye waziri mkuu aliwahi kufuja mabilioni ya pesa kiziara nchi za nje.
Nakumbuka alidai sambusa moja...
Dear Haika
Ninahisi Ingekuwa kukupenda wewe ni amri ya 11 basi ingempasa Musa kupanda kwenye mlima mwingine kwenda kuichukua hiyo amri. Tabasamu lako ni sawa na asali inayomiminika kutoka kwenye...
Jeshi la Polisi Wilaya ya Rungwe, leo tarehe 20.7.2026 limeshiriki zoezi la Usafi wa Mazingira katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Makandana ikiwa ni hatua muhimu ya kuboresha afya...
Huyu jamaa aliyewapeleka Baba zake (Baba mzazi na Baba Mdogo) akhera a.k.a mbinguni inasemekana alikuwa Afrika Kusini akawa anasukuma harakati zake huko kwa mkabulu. Kama mnavyojua kwa mkabulu...
Kwa kipindi cha hivi karibuni, kuna jambo ambalo limeendelea kunishangaza. Katika nyakati tofauti, nimeshuhudia watoto walio chini ya umri wa miaka 15 wakifanyishwa kazi ya kuzungusha na kuuza...
Hivi mwenye akili unaweza kwenda huko
--------------------
Sudan Kusini imetangaza utaratibu mpya wa viza ambazo zinawapa raia wa nchi mbili tu za Afrika, Tanzania na Misri, fursa ya kuingia...
Habarini wakuu,
Niko hapa kuomba ushauri .
Kuna kiwanja kipo eneo zuri (kijijini lakini sio sana pamechangamka) .Sasa kuna watu wa kampuni moja ya simu wamekuja pale nyumbani kwetu ( tuna eneo...
Wakuu nimekuwa nikijiuliza bila hata kupata majibu .
Uongo unaweza kuwa ni ugonjwa au moja ya tabia tu mbaya ?
Kimsingi kila binadamu ana madhaifu yake anaweza akadanganya ili kuepuka aibu na...
Katika miradi ambayo ingeweza kuishia njiani au kufa na mengine imebaki story.
Ni miradi ambayo kanda ya ziwa ambayo jitihada za haraka kama angesubiri ziwe kwa awamu mfano SGR Dar -Dodoma kwanza...