Kuna migambo wanazunguka Kariakoo na gari aina ya Fuso wanakamata pikipiki na bajaji kisha zinapelekwa pale Lumumba kisha hutozwa fine Shilingi 50,000 na ikilala kila siku inaongezeka elfu 10...
Mimi ni dereva bajaji, wiki iliyopita Kariakoo ilinifundisha somo chungu kuhusu uonevu ambao hauzungumzwi kwenye runinga au Media.
Ilikuwa mchana wa jua la utosi wakati naingia Kariakoo, nikiwa...
Nafahamu fika watu watakuwa na tafsiri tofauti kuhusiana na hili na hata nikijaribu kumuuliza kila mmoja atakupa maelezo mazuri na ya kuvutia kulihusu. ..hii ndio hulka ya binadamu kujinenea vema...
Kama kuna mtu anaweza kufikisha kwenye habari za Maajabu ya dunia na ili la muungano liwekwe.
Ukiangalia hata mpangilio wa bunge, waziri yani wao wanaweza kutawala Tanganyika ila sisi kwao hata...
Rais Samia Suluhu Hassan, leo Julai 20, 2026, amezindua rasmi mradi wa ujenzi wa meli nne za mizigo katika Bandari ya Kigoma, hatua inayolenga kuimarisha usafirishaji wa mizigo katika Ukanda wa...
Leo umenigusa sana britanicca uchungu wa hii nchi.
Nikaona na mimi nikupe nacho kiona kanda ya ziwa.
Kuwa tajiri kanda ya ziwa ni kugusa tena ukiwa kama polisi, idara ya madini, ardhi na wengine...
Nipo zangu nimechili naperuzi jf sasahivi ILA nasikia upande wa makaburini Kuna fundi seremala anamfukua mtu uko makaburi ya Agape mbezi hapa kibanda cha mkaa.
JE wewe unae mfukua mwenzako...
Wamiliki wa viwanda na wafanyabiashara wa Afrika wametoa wito kwa bara hilo kujifunza kutokana na uzoefu wa mageuzi ya viwanda ya China kwa kuimarisha mipango ya muda mrefu, kuwekeza katika...
Kwa zaidi ya muongo mmoja, Khadija Ali Saleh aliishi na maumivu makali ambayo hatua kwa hatua yaliondoa furaha na ubora wa maisha yake. Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 76, mkazi wa Zanzibar...
Wizara ya Afya imekosa viongozi waadilifu hadi kuteua wenye tuhuma nzito za ufisadi?
Kupitia jukwaa hili la JamiiForums, tunapenda kuhoji na kuomba ufafanuzi wa wazi kutoka kwa viongozi wa Wizara...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linachunguza mauaji ya Afisa Ardhi wa Wilaya ya Kilombero, Zakaria Rashid Malika (57), aliyefariki baada ya kuvamiwa nyumbani kwake na watu wasiojulikana.
Kwa...
ATCL YAZINDUA SAFARI ZA MWANZA - DODOMA, ABIRIA 1300 KWA SIKU
Shirika la Ndege Tanzania(ATCL), limezindua safari zake za utoaji huduma kati ya Mwanza -Dodoma ikiwa ni kurahisisha safari kwa...
Wakuu nahitaji msaada wenu kwa jambo hili
Mimi ni kijana wa miaka 20 Sina mpenzi lakini nashangaa nashindwa kutongoza yani unakuta dem nimemuelewa lakini. siwezi kumwambia nakosa kujiamini Wakuu...
Wakuu leo nimepata muda wa kuangalia tv station ya Mwamposa sijui kitu gani kimenituma niangalie lakini kuna jambo nime-note na lime nichekesha.
Kwanza watoa shuhuda 99% kwenye hiki kipindi ni...
Hizi ni ishara tosha kwamba hela ya Tanzania imepoteza thamani yake rasmi.Bwana siku hizi, mtaani na kwenye mitandao ya kijamii kumezuka tabia ya Watanzania kutrendisha mambo yasiyo na manufaa...
KUna tukio nimekutana nalo shambani siamini mpaka kwasasa naona kama ni ndoto au ni uoga wangu au nini sielewi chochote mpaka sasa hivi kwa nilichokiona . Miezi kazaa hapo nyuma
Katika...
Wapendwa habari!
Mimi na mume tumejikuta njiapanda kwa kutokuelewa tuamuaje. Mimi ni mama wa mtoto wa mwaka mmoja na ndoa ya mwaka na miezi kadhaa. Mimi ni muajiriwa katika taasisi fulani hapa...
Kuna mda maisha unahisi yanakoswa maana, unaishi bila furaha unasema nikipata kitu fulan nitakuwa na furaha unapopata unakuwa na furaha ya muda baadaye unakoswa tena furaha.
Njia ya kurudisha...