Mara ooh ndugu watanionaje, jamii itanizungumziaje, marafiki watanifikiriaje,
Yani unakuwa mtu wa kuamua maisha ili kufurahisha wengine utafikkiri unayaishi kwa ajili yao.
Yani hisia zinakuzidi...
KILA MTOTO WA MUNGU ANAYEMCHA MUNGU (ana ulinzi wa UKINGO/UKUTA kutoka kwa Mungu unaomzingira pande zote yeye pamoja na mali zake kama mtumishi wa Ayubu)
Ayubu 1:10
Wewe hukumzingira kwa ukigo...
CHADEMA nataka niwape sababu mojawapo kwa nini CCM katika kipindi hiki hawatakubali kwa njia yeyote kuachia madaraka.
CCM wanajua sana kwamba ndani ya miaka 10 ijayo, uchumi wa Tanzania unaweza...
Nini kimemkumba Lawrence Masha? Nimeshangaa sana kukutana na hii video ikizunguka mtandaoni eti yupo kwa huyu anayejiita Pastor, Kiboko ya Wachawi sijui.
Naelewa kwenye maisha kuna kupanda na...
Haijalishi ana miaka 17 au 20 hongereni vijana kwa kuwa wazalendo, kuifanya serikali ijipatie mapato
Na sijui ni ugumu wa maisha au stress jibu analo mlevi na hawezi kukwambia
Oya weitra nipe...
Kwanza kabisa, ni muhimu niseme kwa upande wangu, uhusiano wangu na Mungu ni wa kipekee na unatokana na matendo yangu zaidi kuliko kujitolea kwa kanisa moja. nipo tofauti kidogo na watu wengi...
Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Nchimbi anadai kuwa anawaheshimu Wana harakati kwa uwezo wao wa kujenga hoja
Amkumbuka dada yangu maria sarungi
Asante Sana sisi ni...
Tunaona uko ulaya kama spain,france nk. pia tuliona miaka michache uko usa mji flani uliungua je huo moto unatokana na nini na unanguvu kiasi gani mbona moto wakuwashwa au wa bomu hauna nguvu kama...
Mh makamu wa rais leo amezungumza mambo mengi sana mazuri ambayo watu wengi wamempongeza kwa kusema ukweli na kutetea wanyonge mfano
Katiba mpya
Kuishi bila hofu
Umuhimu wa kuheshimu haki za...
Nimeona tunawachekea Wachina mno wanaingia TZ vibaya mno tena wapo wengi, Iko sio jambo la kushangaza mno, jambo la kushangaza je mamlaka zetu zinafahamu hata Chinese people ni wangapi hapa TZ? je...
Baada ya hoja iliyotolewa na Mwanakijiji cha Usagara A, Kata ya Usagara, Wilaya ya Misungwi Mkoa wa Mwanza kuwa kuna dampo kwenye makazi ya watu ambapo pia wanachoma taka na kuleta moshi...
Ukiwa Geita ukichimba mashimo matano ft 90 kwenda chini huku ukiyaweka umbali wa km 25 kutokea moja kwenda lingine kuna uwezekano wa mashimo mawili au zaidi kupata mzigo.
Geita ndio mkoa pekee...
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam.
24 Julai 2026: Kampuni ya Teknolojia na Mawasiliano ya Vodacom Tanzania Plc jana imetangaza faida ya baada ya kodi ya shilingi bilioni 47.3, kwa robo ya mwaka...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema taifa haliwezi kuwaza kitu pamoja katika kila kitu, ikiwa hivyo hao watakuwa maroboti siyo binadamu, na...
Anae kijua vizuri kiwanja cha Manyossa Swimming pale Pugu Dampo afunguke hapa tafadhali. Kuhusu maafisa Utamu wanao kuja hapo ni NIPE NIKUPE au wale wanao taka " kutongozwa"?.
I have heard ni...
Umesema watanzania wapambanie katiba mpya, na ukaenda mbali zaidi kwa kusema Rais pia anaitaka katiba mpya...lakini mbona watu walio onyesha nia ya kuiipambania hiyo katiba mmewapa kesi za ugaidi...