Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Mi nashauri mboreshe maana naona kichekesho tu. Eti nita mapoint kibao, ukitaka kununua kifurushi point 7000 kwa MB200, mmeboa kwa kweli. Au hizo point 80000 ukitaka iwe hela unapata 4000...
9 Reactions
40 Replies
6K Views
Alizaliwa march 1989 akiwa njiti, wiki nne kabla ya mda sahihi wa kuzailiwa. Alizaliwa mwili wake ukiwa hauna uwezo wa kuzalisha mafuta (fat) hivyo kuwa na ngozi inayooneka kuzeeka. Alizaliwa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
1. Kuna hiii tabia ya watu kwenye social media wanapost post kuwa wanatibu magonjwa hasa haya ya wanawake mfano unakuta MTU anasema Fulani ni bingwa wa kutibu UTI au PID hatukatai Dawa za asili...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Moshi : WATUHUMIWA wanane kati ya 11 walioshikiliwa na jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro kwa tuhuma za mauaji ya mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule ya sekondari ya Scolastica iliyopo...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Watanzania wenzangu na raia wote waliopo humu, tuishauri serikali na sisi wenyewe kuchukua hatua za dhati na makusudi kukabiliana na hatari ya upungufu mkubwa zaidi wa chakula kuwahi kutokea kwa...
0 Reactions
0 Replies
522 Views
RC Paul Makonda napenda kukupa taarifa kuwa wizi Wa vifaa vya magari umeshamiri sana ndani ya mkoa huu. Kunawakati uliweka mikakati ya kukamata wauzaji Wa vitu used vya magari hiyo ilipunguza...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Jeshi la polisi mkoani Kigoma limewaua watu watano wanaodaiwa kuwa ni majambazi huku wengine kadhaa wakitokomea kusikojulikana wakati wakijiandaa kutekeleza tukio La utekaji wa magari katika eneo...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
  • Redirect
1 Reactions
Replies
Views
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amesema Mkoa wa Dar es Salaam unaongoza nchini kwa kufanya biashara haramu ya kusafirisha binadamu huku akitoa onyo kali kwa wanaojihusisha na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Redirect
Suala la kulinganisha Mishahara kwa watu wenye sifa zinazofanana ila wanao fanya Kazi katika Idara tofauti tofauti za Serikali; Kwa mtazamo wangu; Hiyo italeta tija kama watatazama pia mfumo wa...
0 Reactions
Replies
Views
Kama mnakumbukumbu niliwahi kuandika hapa hizi dhamana za kuwapa traffick kuandika faini wanavyotaka wengi wanazitumia vibaya sana Ndugu trafiki Zuberi niliwahi mlalamikia hapa kwa Mambosasa...
21 Reactions
76 Replies
11K Views
Inawezekana kujenga nyumba hapa Tanzania bila ya kuweka Nondo madirishana na milangoni kuweka milango ya "Grill"? Chanzo chake ni nini ambacho kinasababisha tuweke aina hiyo ya madirisha na...
2 Reactions
74 Replies
11K Views
*TAARIFA KWA UMMA* *HALI YA UPATIKANAJI WA UMEME KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM NA ZANZIBAR* *Machi 26, 2019* Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu Wateja wake wa Mkoa wa Dar es...
1 Reactions
1 Replies
746 Views
Dar es Salaam. Ofisi ya Makamu wa Rais imewaagiza watu wote wenye leseni za kukusanya taka hatarishi ikiwemo vyuma chakavu, betri zilizotumika na za kielektroniki kupeleka leseni zao halisi...
0 Reactions
0 Replies
658 Views
Mi ni mwana CCM ila kwa U-CCM wa propapaganda zisizo angalia nyakati zilizopo kwangu ni uzuzu na uzombi ... Asilimia kadhaa ya watanzania wanatumia simu za android zinazowawezesha kuperuzi katika...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Wasalaam Hoja yangu leo inajikita kwenye usafirishaji wa abiria kupitia mabasi ya mikoani Wakati dunia inajitahidi kwa kuvumbua namna rahisi za kuendesha mambo na kutafsiri sheria ngumu ili...
2 Reactions
3 Replies
815 Views
REPOA na ---- barometer walitoa matokeo ya utafiti wao kuhusu hali ya uchumi nchi. But something is confusing to the followers of their research findings. They were supposed to say clearly...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
VIONGOZI wa dini nchini wamempongeza Rais John Magufuli na serikali ya awamu ya tano kwa kuwasaidia waathirika wa mafuriko katika nchi za Msumbiji, Malawi na Zimbabwe. Wamesema tunu ya amani na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
KIKUNDI cha Vicoba cha Upendo chenye masikani yake huko Kibugumo-Kigamboni jijini Dar kimejikuta katika sintofahamu kufuatia mweka hazina wake aliyefahamika kwa jina la Mwasiti Bakari kutoweka na...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
SERIKALI ya China kwa kushirikiana na Afrika Kusini, zimetoa mabilioni ya fedha kwa ajili ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha marubani nchini, ikiwa ni juhudi za kumuunga mkono Rais John Magufuli. Kauli...
2 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom