Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna kitu cha ajabu sana kuhusu maisha watu unaoishi nao wanaweza kabisa kubadilisha namna unavyojiona hata bila wewe kugundua. Ukiwa karibu sana na watu wa umri mkubwa, baada ya muda unaanza...
7 Reactions
10 Replies
342 Views
Serikali ya Tanzania imeiomba Marekani kuondoa vikwazo vya viza kwa Watanzania wanaosafiri kwenda nchini humo, pamoja na vikwazo vingine vya kiuchumi na kiusafiri vilivyowekwa dhidi ya Tanzania...
1 Reactions
44 Replies
826 Views
Kila siku asubuhi natumia usafiri wa daladala kutoka Igawilo kwenda katikati ya mji, jijini Mbeya. Kero kubwa tunayokumbana nayo ni baadhi ya daladala kutokufuata njia zilizoandikwa kwenye vibao...
2 Reactions
5 Replies
162 Views
Anonymous
Mimi ni mkazi wa Arusha. Naomba kuwasilisha kero kuhusu taa za barabarani ambazo hazifanyi kazi katika baadhi ya maeneo ya jiji. Taa zilizopo kuanzia Sanawari hadi Ilboru, pamoja na kipande cha...
0 Reactions
0 Replies
70 Views
Punguzeni kihelehele, sifurahishwi na hayo mambo,mapenzi kati ya tusichana tudogo na vibabu yanashika Kasi sana, sasa una Kuta mdada sijui mmama kakoma eti hafurahishwi na hayo mahusiano. Binti...
10 Reactions
46 Replies
448 Views
Halafu Leo mtu aniambie eti Mussa huyu ni mtakatifu kuliko babu yangu ambae hajawahi kuua hata sisimizi au kuliko Mimi ambae hata nikiona kuku anachinjwa nasisimka.. Waafrika tujitambue. Hizi...
6 Reactions
31 Replies
327 Views
Makonda wa daladala za Masaki-Gerezani wamekuwa wakichukua nauli iliyozidi. Nauli ni 700 wao ukiwapa hela kama 1000 na kuendelea wanakukata 800 kwa kisingizio cha kukosa chenji. Pia soma ~...
1 Reactions
6 Replies
165 Views
Yas wanajitahidi Sana Upande wa renovation yani Wana service Fulani nzuri nzuri hata Lipa namba yako na App pia ni nzuri Saivi naona wamekuja na huduma ya Kujua aliyekupigia wakati upo offline...
0 Reactions
6 Replies
193 Views
Ajira hakuna ila kazi zipo tele. Je unacheti, au ujuzi au una afya njema au una ulemavu wowote? Chochote ulichonacho ni fursa Leo naongea na wewe ambae huko tu nyumbani au mtaani haujui uanzie...
2 Reactions
10 Replies
213 Views
Ndoto ni lango la kiroho la mawasilinao ya Mwanadamu na Mungu au miungu. Ayub 34 Leo ningepeta tujifunz namna ya kutafsiri ndoto zinazo usiana na usafiri Mtumishi mmoja alionta ndoto yuko kwenye...
0 Reactions
4 Replies
135 Views
NYUMBA ambayo baba si msemaji, au NYUMBA ambayo mwanamke ndio msemaji wa mwisho Huwa na anguko. Huwa nawaelewa wanawake ambao hutafuta hata mwanaume lofa tu kikubwa awepo nyumbani ili NYUMBA...
3 Reactions
46 Replies
772 Views
Kuna swali huwa ninalojiuliza sana peke yangu, naomba nishare hapa Utasikia watu wakisema ulimwengu wa roho, ulimwengu wa siri. Hivi huo ulimwengu huwa ni upi? Je, mambo ya ulimwengu wa roho au...
25 Reactions
284 Replies
3K Views
Lengo la hii Confession hii ni kuhitaji msaada namna ya kuachana nabhii tabia maana imekuwa hatari sana kwangu na sivutiwi tena. Mimi ni mume wa Mke mmoja na Tumebahatika Watoto...
5 Reactions
111 Replies
2K Views
Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limetangaza fursa 12 zitakazotokana na Tanzania kuwa mwenyeji mwenza wa Mashindano ya Mataifa ya Afrika AFCON 2027 ambazo zitafungua zaidi milango ya maendeleo ya...
0 Reactions
7 Replies
158 Views
Miaka ya kuzoeana inaweza kukufanya umwamini mtu bila mashaka. Lakini wakati mwingine tukio moja la pesa linaweza kukuonyesha umuhimu wa kuweka kila kitu wazi, hata kwa mtu unayemuita rafiki...
12 Reactions
35 Replies
579 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limemkamata na linaendelea kumhoji mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Elizabeth Chacha Mgushi, miaka 30, Mfanyabiashara na mkazi wa mtaa wa Ziwa, Kata ya...
5 Reactions
26 Replies
506 Views
Makondakta wa daladala wamekuwa wakitoza nauli isivyo maelekezo kwa kigezo cha kukosa Sh 100 au Sh 200 na kusababisha kukata nauli ya juu endapo tu abiria hana chenchi kamili hiii ni kero hasa wa...
1 Reactions
3 Replies
107 Views
Anonymous
Stendi ya daladala ya Mbezi Mwisho wakazi wa kuanzia Picha ya Ndege Kibaha na kuendelea wanapata tabu sana ifikapo jioni muda wa kurudi kwao. Gari inayotakiwa kufika Kongoe mpaka Mlandizi...
1 Reactions
3 Replies
154 Views
Salaam, Shalom!! Akifundisha katika semina jijini Mbeya Jana tarehe 26 January,Mwalimu Christopher Mwakasege amerudia kauli aliyowahi kuitoa kabla. Amesema, asubuhi, walipokuwa katika bible...
78 Reactions
366 Replies
13K Views
Miaka hii hakuna vilinge vya watoto kucheza mpira mtaani, hakuna vilinge vya watoto kuruka na kujifunza sarakasi, watoto hawawez ata kutengeneza manati, magari yakuchezea, mipira ya chandim...
2 Reactions
8 Replies
109 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…