Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna watoto wa Watanzania hasa wenye kipato duni ambao walitakiwa kuanza masomo ya chuo kikuu mwakajana 2025, lakini kwa kukosa mikopo ya Elimu ya juu mpaka sasa wapo mitaani tu hawajui wafanye...
0 Reactions
0 Replies
80 Views
Anonymous
Wizara ya Fedha imewasilisha bajeti ya mwaka mpya ambayo imejumuisha ongezeko la kodi ya excise duty kwa magari, ambapo baadhi ya magari yameongezewa kwa asilimia 10 na mengine kwa asilimia 5...
1 Reactions
0 Replies
102 Views
Mwanafunzi wa fani ya Uhandisi Vifaa Tiba (Biomedical Engineering) ameeleza malalamiko yake kuhusu utaratibu unaowataka wanafunzi kulipia kiasi kikubwa cha fedha ili kupata nafasi ya mafunzo ya...
1 Reactions
5 Replies
383 Views
  • Poll Poll
Mwenge wa Uhuru uliwekwa juu ya Mlima Kilimanjaro tarehe 9 Desemba 1961, siku ya uhuru wa Tanganyika, ukiashiria uhuru, utaifa, amani na matumaini ya taifa jipya. Tangu hapo, mwenge huo umekuwa...
0 Reactions
4 Replies
275 Views
Moja kati ya kazi zenye watoa huduma wasiojua kujali wateja ni makondakta wa daladala 1: Kuwa wakali sana kwa wateja au abiria Hii ni moja kati ya kero kubwa sana kwa abiria hawa jamaa hawajali...
1 Reactions
8 Replies
97 Views
Anonymous
Habari, Mimi ni mhanga wa tukio la utekaji na mateso lililonitokea mwezi Agosti mwaka 2025, tarehe 25, baada ya kuitwa Dar es Salaam na mzazi mwenzangu ili kwenda kumchukua mtoto. Nilipofika...
14 Reactions
58 Replies
1K Views
Anonymous
Wilaya ya Manyoni mkoani Singida inakabiliwa na tishio kubwa la kiusalama na kiuchumi kufuatia kushamiri kwa mtandao hatari wa wizi wa mafuta unaofanywa na baadhi ya madereva wa magari makubwa ya...
0 Reactions
0 Replies
101 Views
Huu sio wito wa majadiliano, huu ni msimamo na ujumbe unaolenga kuhamasisha jamii kuhusu suala la ushoga. Inakuwaje ushoga uendelee kushamiri mitaani huku wahusika wakijinasibu mbele ya macho ya...
12 Reactions
187 Replies
3K Views
Anonymous
Ofisi za NIDA ni changamoto kubwa kwa wananchi. Unapeleka maombi yako na yanakaa hata miezi mitatu bila kushughulikiwa. Ukifuatilia, unaambiwa hukukamilisha taarifa fulani, na kibaya zaidi unaweza...
1 Reactions
0 Replies
95 Views
Anonymous
Gari zilizosajiliwa “transit” ni sahihi kubeba mizigo ya local? Tunaomba mamlaka ziingilie kati sisi wamiliki wa malori ya local tunapitia wakati mgumu wa biashara kwani gari za transit zimekuwa...
0 Reactions
2 Replies
903 Views
Anonymous
Wakazi wa mwanza, Nyamagana kwa miaka sasa tunateseka na ubovu wa barabara katika wilaya yetu na hasa barabara kuu ya kuelekea mjini. Barabara ina mashimo mengi, vumbi na mbovu. Mradi wa SGR...
0 Reactions
0 Replies
65 Views
Anonymous
Kumemekuwa na kawaida viongozi wengi wakiwemo Mawaziri kutembea na misafara mikubwa wanapokwenda kwenye ziara zao ikiwemo kuwasafirisha waandishi wa habari kila waendako. JE hizi bajeti hutoka wapo?
1 Reactions
5 Replies
94 Views
Anonymous
Denice Deusdedit Nsimeki, kijana wa Kitanzania aliyekwenda kusoma tangu mwaka 2021 amekujikuta akishindwa kuendelea na masomo yake baada ya kujiingiza kwenye biashara ya madini na matokeo yake...
0 Reactions
3 Replies
325 Views
Kuwawezesha Maafisa Maendeleo ya Jamii: Msingi wa Mabadiliko Endelevu Vijijini - Kwa nini? Kwa kifupi: Maafisa Maendeleo ya Jamii ndio "injini" ya mabadiliko vijijini. Ukiwawezesha wao...
0 Reactions
0 Replies
74 Views
Anonymous
Mimi ni mdau wa JamiiForums na pia ni mhudumu wa afya katika hospitali moja (napenda kuiita Hospital X kwa sasa), leo kumetokea tukio kazini ambalo limenishtua na kunikosesha amani. Nilikuwa...
3 Reactions
8 Replies
223 Views
Nianze kwa kuwapongeza customer care wa kwenye private sectors Wapo very active kupokea simu na kutoa maelekezo ya huduma wanazo zitoa kwa wateja hapa nawajumuisha na customer care wa TANESCO...
2 Reactions
0 Replies
341 Views
Anonymous
Kumekuwa na ongezeko la nauli za mabasi ya mikoani katika miaka ya hivi karibuni, lakini hadi sasa LATRA haijaweka hadharani waraka au PDF mpya ya viwango vya nauli. Hati inayopatikana kwa urahisi...
0 Reactions
1 Replies
114 Views
Anonymous
Kuna tatizo la watu hawa wanaojifanya matajiri kupitia Forex na kuigiza maisha ya kifahari? Ukweli ni kwamba kuna mmoja alituaminisha sana. Mimi na rafiki yangu tukachanga shilingi milioni 5 na...
17 Reactions
70 Replies
1K Views
Ukuaji wa huduma za malipo ya kidijitali mitaani ni hatua muhimu kuelekea uchumi usiotegemea fedha taslimu (Cashless Economy). Hata hivyo, ili kufikia malengo ya kitaifa ya ujumuishaji wa...
5 Reactions
6 Replies
279 Views
Anonymous
Mimi ni mwananchi wa Mbezi Mwisho, huduma ya mwendokasi wameleta route ya kutoka Mbezi kwenda Gerezani na kivukoni, sasa hiyo huduma wanaita VIP maana yao kwamba gari halisimami popote kituo cha...
5 Reactions
23 Replies
385 Views
Back
Top Bottom