Kuna mambo waamini mungu huwa wanalazimisha na kuyatetea tu lakini hata wao wenyewe kwa akili za kawaida tu walipaswa kujua sio sawa
1. Kuhukumu/ Kulaani watu (watoto na wajukuu) kwa makosa...
UKIWAZA DUNIA IMEKOSEWA AU HAIJAKAMILIKA UJUE TAYARI UMEYABANANGA. DUNIA IKO PERFECT ASILIMIA MIA MOJA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Ukishasikia mtu anakuambia dunia hii haijakamilika...
Maisha Hayana Mapambo: Ukweli Usio Na Filter Unapokuwa Mzee
Kadiri muda unavyosonga mbele, maisha yanafunguka kwa njia ambazo mara nyingi hatutarajii, yakileta masomo na uzoefu ambao hutufanya...
Kwa miaka yangu mitatu niliyokuwa hapa chuoni nimeona Walimu wetu wakionyesha dharau na kutosimamia majukumu yao sawasawa na kwa wakati.
Miaka yote kumekuwa na tatizo la kuchelewa kwa matokeo...
Wafanyabiashara wenye utajiri mkubwa Kanda ya Kaskazini
Familia ya Mengi
IPP Group
Utajiri: Zaidi ya USD milioni 200
Ridhuan Mringo
Derm Group
Mwanga Hakika Bank
Utajiri: Zaidi ya USD milioni...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umesema umesikitishwa na taarifa za kukamatwa kwa wafanyakazi watatu wa Baraza la Wanawake Wafugaji (PWC), shirika lisilo la kiserikali...
Yaani mtu akiwa mwembamba bongo ataonekana hana hela, hana maisha mazuri..
Ila watu wa namna hii wanaonekana wamejipata,
Ila kwa wenzetu hii inatafsiriwa kama obesity yaani ugonjwa wa nyama...
Haiwezi isha siku moja bila kukatiwa umeme hapa Wilaya ya Masasi, kila siku wana matengenezo, hawajali kama ni siku za kazi au siku za kiuzalishaji zinaendelea, Tunaweza kaa bila umeme siku 3...
Si huduma ya Yesu ya kwenda sehemu mbalimbali, pamoja na madai ya kwamba aliwaponya watu, alifundisha kwa hekima na kufanya miujiza mikubwa, ambayo ndiyo msingi mkuu wa dini ya Kikristo.
Badala...
TANESCO wametuunga na wengine tumejoin wenyewe katika magroup yao ya TANESCO huku Masasi Mkoani Mtwara, tukilalamika humo hakuna kusaidika, hapa tu wametoka kukata umeme, wanakata sana, hivi kweli...
Nimejipenyeza sana mda mrefu kutafiti tafiti ila nimegundua hii imani inataka kumaliza dunia.
Ukiangalia tokea historia na mafundisho yao yamejaa chuki,kuangamiza na kuforce wanayotaka.
Sio...
Mkuu wa mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka ameonya tabia ya watumishi wa umma wanaopanga ushuru mkubwa wakiwa wamekaa maofisini bila kujua shida wanayopata wawekezaji na kisha kumtaka kila mtumishi...
Free will zenu zimemezwa na mafundisho ambayo alieandika mwenyewe alikuwa ana timiza uhuru wa maoni yake, je wewe maoni yako yako wapi, iko wapi mantic yako?, uko wapi utashi wako?
Wangapi wamefaidika na pesa ??
Wangapi wamedhurika na pesa??
Wangapi wamefaidika na mapenz??
Wangapi wamedhurika na mapenzi??
hawa mapacha wawili sio mchezo sijui nan kulwa hapa na dotto na Yupi 🤔
Hizi ni Moja ya kanuni za mwanaume makini.
Nikweli wanaume tunakosea na tuna makosa mengi tu kama binadamu lakini kitendo Cha kuombaomba msamaha Kwa mwanamke hiyo fuse imeshakata Haina...