Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Huu ni uzi maalum wa kukushana uhalifu mbalimbali uliotokea Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ kwa nyakati mbalimbali. Matukio haya hayako kwenye mtiririko maalum wa kikalenda. 1. Matukio ya uchunaji ngozi watu mkoani...
9 Reactions
171 Replies
33K Views
1. Kumekua na uhaba wa Kondom za Msaada (toka kwa wafadhili) hapa mashine ya kutolea Kondom (Condom Vending machine) Kona baa Sinza. 2. Inabid watu wapige mbichi ku-kutembelea rim. 3. Tafadhali...
11 Reactions
72 Replies
3K Views
Anonymous
Siku ya jumapili huwa kuna mnada wa nguo hapa mkuyuni mwanza ila hali ya mazingira ya mnadan hapa mkuyuni ni ya kutisha
0 Reactions
1 Replies
66 Views
Kuna mtu mmoja nilikuwa nafuatilia mafunzo yake. Kuna kauli alisema "ANGUKO KUU LA MWANADAMU LIPO KATIKA KUSAHAU ALIPOTOKA" Kwa uzoefu wako juu ya binadamu,Maisha hata Dunia Kwa ujumla.niambie...
3 Reactions
13 Replies
138 Views
Binafsi taarifa yao nimeiona jana baada ya kushindwa kukamilisha miamala. Kwa ukubwa wao haya ni mateso kwa wateja. Leo huduma na kazi nyingi zinazohusisha malipo NMB zimekwama. Kwanini hayo...
16 Reactions
119 Replies
2K Views
Hivi hapa Tanzania kwa sasa kuna mwanamke ana fuatwa na wana wake wa Tanzania kama Hamisa Mobetto? Kuna mwanamke ana nyota Kali ya kupendwa kama Hamisa Mobetto? Nilikuwa sijui bana kumbe Hadi...
3 Reactions
21 Replies
329 Views
Sasa sisi uku chini ya jangwa la SAHARA UGALI NA MAHARAGE VIMETOKA WAPI?
2 Reactions
8 Replies
78 Views
Habari wakuu Niende kwenye ujumbe moja kwa moja kumekuwa na tatizo ambalo tunalichukulia kwa masiahara sana kwa sababu madhara yake sio yanaweza kuonekana kwa macho na kwa haraka, tunajifariji...
13 Reactions
229 Replies
2K Views
Maana ya Procrastination (Ughairishaji): Ni tabia ya kuahirisha makusudi kazi au majukumu muhimu, huku ukifanya mambo mengine yasiyo na umuhimu (kama kusogeza simu au kutazama video) badala yake...
2 Reactions
11 Replies
113 Views
NMB please msiniingize majaribuni na sina tamaa kwa pesa ambayo siyo haki nayo na jasho langu, kuweni makini mtakuja kukosea kwa vishoka hatimaye kiwe kilio kwenu. Jana (Agosti 7, 2026) mmenitumia...
14 Reactions
75 Replies
2K Views
Baada ya ndugu wa Butiku kuripoti mazingira ya rushwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kumbukumbu ya Mwl. Nyerere (Kwangwa) walipomfikisha kupata huduma, hospitali yatoa ufafanuzi; Pia soma...
2 Reactions
5 Replies
193 Views
pale unapougua, pale kazi inapokwama ndipo utajua ni nani alikuwa na wewe na ni nani alikuwa na kile ulichokuwa nacho. Huu siyo uchungu bali hii ni uchujaji wa asili. Mungu wakati mwingine...
6 Reactions
4 Replies
94 Views
Yaan ilikua wewe ukionekana unakula Shaba ya kichwa, tumbo au mkoundouni. No discussion. RIP wote
1 Reactions
29 Replies
1K Views
Kuna watu ambao ndimi zao ni kama za nyoka Mioyo yao imekunjamana Macho yao yamejaa moto Vidole vyao vya ku-type vina upanga Kauli zao ni za kukatisha tamaa Lugha yao ni matusi. Nini ni...
6 Reactions
21 Replies
294 Views
MshikoFasta inaleta Error karibu mwaka, Sio kwamba nina shida nayo, ila kwanini igome? [emoji3] Wakuu, Issue sio kwamba nina shida ya hela saa hizi, hapana! Ni ile kero tu ya kuona mfumo...
4 Reactions
21 Replies
343 Views
Kuangalia madeni yako ya makosa ya barabarani (Traffic Fines) kwa urahisi na haraka, unaweza kutumia njia zifuatazo: 1. Kupitia Tovuti (Online) Hatua ya 1: Fungua kivinjari (browser) kwenye simu...
2 Reactions
7 Replies
675 Views
Kwa nini Mwamposa na mitume wenzake wa kileo wanaonekana matapeli na waamini wa dini na madhehebu mengine wakati ukifuatilia katika historia ya dini zote kubwa mbili utakuta kuna historia ndefu ya...
10 Reactions
67 Replies
775 Views
Wewe kwa sisi simba ni tapeli , nakuambia leo hii Wewe hawezi kubeba ubingwa dhidi ya yanga, unajua kwanini? Injinia Hersi , ana akili kuliko wewe , acha microphone 🎀 wakabidhi wenye...
13 Reactions
52 Replies
599 Views
  • Featured
Nimeona hawa watangazaji wa Wasafi wakigusia kuhusu Daraja la Mwalimu Nyerere na kuhoji deni la ujenzi litaisha lini, kwa maana ya tozo zinazokusanywa kila siku, sasa ni lini deni la ujenzi wa...
13 Reactions
61 Replies
2K Views
Tanzania miji yote ina ujenzi holela tu ila kwenye jiji la Mbeya tumechemka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Actually sitaki kuonesha picha za ujenzi holela hapa Mbeya lakini ukiingia Google, search tu "Mbeya" halafu nenda...
15 Reactions
90 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…