Ndugu wanajamii,
Leo nasimama mbele yenu kuzungumzia jambo linalowagusa moja kwa moja mawakala wa mauzo (Direct Sales Agents) wanaofanya kazi na kampuni ya Yas Tanzania. Suala hili ni la msingi...
Tazama taharuki iliyotokea baada ya kukutwa chupa zaidi ya 2,000 za mikojo ndani kwa Mama Ntilie.
Je, hii ni uchawi, au kuna sababu nyingine nyuma ya tukio hili la kushangaza?
Nikiwa kama mdau wa sekta ya Korosho hapa nchini, ambaye nimezaliwa na kulelewa kwa zao hili la Korosho, kwa maoni yangu tunapaswa kuheshimu hatua kubwa inayopigwa katika kusimamiwa na kuendelezwa...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imewakumbusha Jamii juu ya umuhimu wa kulinda miundonbinu ya Maji ili kujenga jumuiya inayothamini huduma ya Maji kwa vizazi vya...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Balozi Mahmoud Thabit Kombo wamekutana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa...
Shuhudia namna Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, alivyokagua daraja la Goloka B, lililopo kata ya Toangoma, lililojengwa kwa fedha za wananchi shilingi milioni 21, ili kuondoa adha...
Je, umewahi kusikia kuhusu mtu anayepanda ndege leo, lakini akatua mahali anapoenda tarehe ya jana yake?
Inaonekana kama muujiza au filamu ya kubuni, lakini huu ni ukweli halisi unaotokea kila...
Maria Florida ameeleza furaha yake baada ya kujifungua salama mtoto wake wa nne kwa njia ya upasuaji wakati tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 7.7 likitikisa eneo la Nusa Tenggara Mashariki mwa...
Agosti 14 mwaka huu wa 2026, ilifanyika semina maalum kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Kirima iliyopo Kata ya Kibosho Kirima wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro yenye lengo la kuwajengea...
Quran tukufu isiyo na chembe ya shaka inasema
Quran 3 :52
"Isa alipo hisi kuwa kati yao pana ukafiri alisema: Nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wake wakasema: Sisi ni wasaidizi...
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Mipango na Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango, Dk. Tausi Kida (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali wa ubunifu wakati wa uzinduzi rasmi wa...
🍷 Red wine – ina polyphenols kama resveratrol.
🍷 White wine – ina baadhi ya antioxidants, ingawa kwa kawaida si nyingi kama red wine.
🍺 Beer – ina baadhi ya vitamini B na polyphenols, lakini pia...
Shuhudia namna Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, alivyokagua daraja la Goloka B, lililopo kata ya Twangoma, lililojengwa kwa fedha za wananchi shilingi milioni 21, ili kuondoa adha...
Wananchi Wakazi wa Kitongoji cha Bago (Maisha Plus), Kijiji cha Msakangoto, Kata ya Kigombe, Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga tunapitia changamoto ambayo inatuumiza kiasi kwamba tunaona giza katika...
Heche, kupambana kisiasa ni haki yako, na kukosoa mfumo ni sehemu ya demokrasia. Lakini siasa haipaswi kufika mahali ambapo furaha, maendeleo na maslahi ya Taifa yanafanywa kuwa mhanga.
Kama...
Mkurugenzi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani, Hassan Nyange ametoa ufafanuzi kuhusu malalamiko ya wafanyabiashara wa Soko la Samaki Feri, kuhusu madai ya ukiukwaji wa taratibu katika ukusanyaji wa...