Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Haimaanishi ilikuwa ni lazima kijana ufanye punyeto katika processs ya ukuaji wako lakini pia haimanishi ilikuwa sio jambo la kawaida kufanya punyeto, ni kitu cha enzi na enzi, Lakini kwa sasa...
5 Reactions
10 Replies
424 Views
Mimi ni mtu wa kipekee, na hii ndiyo sababu nimeamua kueleza jambo hili muhimu kwa watu wenzangu. Napenda sana kujifunza; sikupenda kamwe kuwa mjuaji au mtu mwenye kiburi cha maarifa, hivyo mimi...
9 Reactions
22 Replies
302 Views
Tungekuwa na Taasisi imara za kupambana na Uhujumu Uchumi na Utakatishaji fedha, basi Diamond na Mke wake wangekuwa washahojiwa. Japo waelezee waloleta hela wana uhusiano gani. Wasanii wa bongo...
13 Reactions
23 Replies
544 Views
Mfumo wa maisha yetu kama watanzania unafikirisha sana ,sasa Huwa najiuliza .ni nani aliturithisha uongo, hapa nitatoa mifano kadhaa 1.mtu akikuomba chenji ukamwambia ninayo ila inanitosha...
13 Reactions
49 Replies
562 Views
Wewe umetoa mchango gani kumtoa kijana humu kwenye sifuri na kwenda kwenye ndoto zake? Nina vijana watano humu wanajijua wamefanikiwa kupitia mimi, kama wapo online watakuja. Note: achana na...
27 Reactions
223 Replies
1K Views
Baada ya 17/8/2026, tamko la Mkuu wa Mkoa lilielekeza magari kurudi Mbezi Luis Stand. Kampuni zote zimetii, isipokuwa “kampuni pendwa 3” ambazo hazijatajwa majina, zimeruhusiwa kuendelea kuanzia...
8 Reactions
20 Replies
638 Views
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeeleza kwamba tokea Tundu Antiphas Lissu alipokamatwa kumekuwepo na vitendo ambavyo vimeambatana na mazingira ya ukiukwaji wa haki...
0 Reactions
0 Replies
56 Views
Habari zenu wana JF wenzangu. Leo nimekuja na mada inayohusu mnyama hatari kuliko wanyama wote duniani anaitwa Komodo dragon. Mnyama huyu ana uwezo wa kuua wanyama wengine hatari kama vile 1)...
46 Reactions
482 Replies
49K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Malori Nchini Tanzania (TATOA), Elius Lukumay, amesema wamiliki wa malori wako tayari kuyapaki magari yao endapo mamlaka zitaendelea kuwachukulia hatua...
6 Reactions
31 Replies
481 Views
Haji manara apandwa na sukari studio. DIWANI WA KARIAKOO KAPANIC
10 Reactions
23 Replies
445 Views
Nenda kwenye mashamba ambayo wamevuna mahindi Watu hawawezi kuvuna perfect Kwahiyo uanze kuokota mahindi Na hutokosa gunia 20 Uza HARAKA kila Gunia 50000
3 Reactions
5 Replies
80 Views
Makampuni hayatoi mikataba siku hizi,mtu unafanya kazi kama kibarua yaani unalipwa kwa siku. Hakuna benefits zozote kama bima ya afya wala mifuko ya hifadhi. Kwa makampuni yanayotoa mikataba ni...
2 Reactions
4 Replies
81 Views
Mkoa wa Dar es Salaam umeongoza kwa matumizi na idadi ya vifaa vya kujipima maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) vilivyosambazwa nchini mwaka 2025 huku zaidi ya vifaa 330,000 vikifikishwa kwa...
6 Reactions
9 Replies
199 Views
guest-1787677726
Jioni hii wakati natafakari na kuiskma quran kuna kitu kimenichanganya kidogo na kunipa ukakasi ndio maana nimekuja mbele yenu mnapenda majibu. Vifungu vingi vinasema kuhusi uumbaji mzuri wa...
2 Reactions
41 Replies
1K Views
My Take Heko Prof.Kitila Mkumbo Kwa kuona jambo hili.Hawa watu kazi Yao kubwa ni kuanzisha tozo na Ushuru Kwa jina la kubuni vyanzo vya Mapato mwisho wa siku zinakandamiza jitihada za kukuza...
3 Reactions
19 Replies
198 Views
Jiji la Dar es Salaam linakabiliwa na changamoto kubwa ya msongamano wa magari na foleni za muda mrefu zinazosababisha hasara kubwa ya kifedha kila siku na kuchelewesha shughuli za kiuchumi...
4 Reactions
25 Replies
407 Views
Android box ni kifaa kidogo cha kielektroniki kinachounganishwa kwenye televisheni yako kupitia waya wa HDMI ili kuifanya TV ya kawaida au ya kisasa kuwa na uwezo wa kutumia mtandao. Kifaa hiki...
2 Reactions
5 Replies
148 Views
Chama cha wazee Tanzania watangaza ziara ya kuzunguka nchi nzima lengo kuu la ziara hiyo ni kusajili wanachama wapya lakini pia ni kupinga ukatili wakijinsia hii ikiwa ni kuunga jitihada za waziri...
1 Reactions
4 Replies
227 Views
Tatizo la maji katika maeneo ya Mbezi Beach Makonde limefikia mwaka mmoja tangu Mei mwaka jana. Maji hutoka kila Jumanne na hayakai zaidi ya saa tatu. Yasipotoka siku hiyo, wananchi hulazimika...
0 Reactions
1 Replies
83 Views
HUDUMA ZA SERIKALI ONLINE* TUNAKUFANYIA KAZI UKIWA NYUMBANI - HARAKA NA KWA UAMINIFU Umechoka kusimama foleni? Acha sisi tukufanyie! HUDUMA TUNAZOTOA: 1. Vitambulisho na Sera za Raia Cheti...
1 Reactions
1 Replies
260 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…