Kushiriki kwa Freeman Mbowe katika ufunguzi wa bwawa la maji la Bwawa la Umeme la Mwalimu Julius Nyerere (JNHPP) ni tukio lenye ujumbe mpana kwa Watanzania, linatuonyesha kuwa masuala ya maendeleo...
Kwa sasa, kwa takribani kipindi cha wiki nzima, tumeona operesheni za kuhakikisha mabasi yanaanzia kutoa huduma katika Stendi ya Mabasi ya Mbezi Magufuli badala ya kutumia stendi binafsi, hasa...
Daladala za Mpiji - Magohe hii njia ukiwa unapita kwa Magufuli kusogea huku nauli ni Shilingi 800 ila wamekuwa wakiwatoza watu elf moja na LATRA wapo tu, hawafanyi chochote, naamini wanajua...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Kesi bado Iko mahakaman na big brain tundulisu kaita mashahidi wake mahakaman
Mashahidi hao ni Samia, mpango, majaliwa na wakuu wa Majeshi...
Samia Amkosha, Mbowe JNHPP!
JNHPP ni mradi wa kihistoria na fahari ya Tanzania. Ni hatua kubwa itakayoongeza fursa za uzalishaji, uwekezaji na ajira kwa Watanzania.
“Ndoto imetimia,” Rais Samia...
Kwenye mapambano yangu na maisha yangu nimefanya kazi na jamii na watu tofauti tofauti yaani watanzania na watu wa nje .
Observation yangu ni hii warundi ni wachapakazi sana hujutii japo sio...
Nabii Tito tangu akamatwe siku ya Jumamosi hadi leo hajafikishwa kwenye mahakama yoyote.
Tunaomba Polisi wamwachie mara moja au wampandishe mahakamani.
Kumekuwa na ucheleweshaji wa huduma ya kuunganishiwa umeme kwa wateja wapya wilaya ya Mkuranga ambapo mteja anakuwa ashafata taratibu zote kwaajili ya kupata huduma ila mteja anasubirishwa Hadi...
Jana nilikaa na kaka mmoja hv na kuongea kuhusu maisha,
Na katika hiki na kile nikamwambia kuhusu changamoto fulani hiv ndogo,
Lakini badala ya kupata ushauri ni kama nilikuwa nimefungua koki...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amezitaka Halmashauri zote nchini kutumia michezo kama nyenzo ya kuimarisha afya...
Napenda kuwashirikisha changamoto niliyokumbana nayo wakati wa kuomba huduma ya kuunganishiwa umeme katika ofisi za TANESCO Mikwambe, Kigamboni.
Kwa kifupi, ofisi hiyo ni mpya na ina mazingira...
Nimefika leo, Alhamisi, kufuatilia marekebisho ya cheti changu ili niweze kupata cheti kipya. Hata hivyo, nimeelezwa kuwa huduma imesimama kutokana na kukosekana kwa umeme, ambapo inadaiwa...
Nimesoma shule za serikali ambako kwa shule ya msingi nilisoma kingereza kidogo kama somo, kuja Sekondari nako tukasoma kwa kiingereza lakini ni kile cha kukariri kwani hata walimu wenyewe ni kama...
Wanabodi bila shaka mmamka salama na kuanza week hii mpya. Dua ziwaendee wale wenye changamoto.
Niruke kwenye mada moja kwa moja.
Nataka kujua utaratibu wa kusajili brand na kupata hakimiliki...
Wanawake hasa hawa wamama wa under 40 wanapenda pesa kuliko kawaida.
Cha ajabu wanapenda pesa za wanaume, za kwao ni chungu sana.
Mwanamke pesa aliyoipata kwa njia halali anaiheshimu sana...
Kwa takribani siku tatu nilikuwa kikazi kwenye hoteli moja iliyopo Mbezi Beach. Jumapili, Agosti 16, 2026, kabla ya kumaliza siku zangu za kuwepo hapo, nilijipa muda wa kutembelea fukwe za bahari...
Huyu bwana ni mauti yanayotembea
Kuwapo kwake kwa muda mrefu ni kutokana na kutengeneza network ya kuua upinzani.
Amehusika na muaji ya watu wengi huko syria na kurd
Sasa anataka akawaue na wa...
TAARIFA KWA UMMA
Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha inapenda kuujulisha umma na wadau wote kuwa taarifa iliyosambazwa kupitia JamiiForums ikidai kuwa watumishi wanaoenda likizo mwezi Juni hawalipwi...
Ofisi za Kampuni ya Mabasi ya Machame Investment Arusha waweka huduma ya choo lakini ni ya kulipia hata kwa abiria, unapaswa kulipia Shilingi 300 hata kama una tiketi.
Jambo hili lipo pia katika...