Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe (CHAUMMA) Sigrada Mligo ametoa wito kwa Serikali kuongeza watendaji wa Mahakama akiwemo Hakimu wa Mahakama ya ardhi, ili kupunguza vifo vya Wananchi kwa kukosa...
Moja kwa moja..
Kumekuwa na hoja miongoni mwa watu kuwa viongozi wa dini wa Kiislamu hawatetei haki wapo nyuma katika yale yanayoendelea nchini au wamepewa posho . Sasa nataka nichambue na...
Hii funika kombe mwana haramu ili azidi kupita naona anapita na watu wengi.
Ni nini kinawapa kufunika mpaka kuanza kufunikana wenyewe.
Hapa JF tunaweza kuleta mafumbo ili kufikisha ujumbe.
Ni...
Leo tunakumbushana jambo moja tu, hatuwezi kubadili tabia nchi bila kubadili tabia zetu. Ni jukumu letu kulinda mazingira, kutunza vyanzo vya maji, na kuheshimu ardhi inayotupa riziki. Tukifanya...
Hii ni relini Unga Limited huyo hapo wameweka barrier wanataka vitambulisho na maswali kibao hadi ndui wanataka kuona kufika hapo huyo boda akawaambia anaenda mount meru hospital mkewe kaenda...
Magari ya polisi yakiwa mengi na maafisa wa polisi wakiwa na silaha za moto na helkopter wamekizingira chuo cha UDOM usiku huu
Haya yanajiri huku chuoni hapo kukiwa na vuguvugu la Maandamano ya...
Wakazi wa Dar es Salaam wametoa wito wa kuzingatiwa na kudumishwa kwa amani nchini, wakisema ndio msingi wa ustawi wa maisha ya watu. Wamesisitiza matishio ya vurugu yanavyoathiri shughuli za...
Zile siku 100 za madarakani za rais wetu mpendwa ,msikivu na mchapa kazi , mwenye utu na mnyenyekevu , zimebaki siku ngapi katika zile 100 za kuingia madarakani na kuyashughulikia yale aliyoyasema...
Kufuatia agizo la watu kupumzika katika siku ya Uhuru jana, Disemba 9, 2025 Christina Mogela maarufu kama Mama wawili ambaye anafanya biashara ya kuuza mihogo kwa muda mrefu amesema kazi yake...
Kwa hiyo serikali itaendelea hadi lini na mpango wa kusimama barabarani, kamatakamata ni na kukagua wananchi. Hii ni dalili tosha wananchi tunadharauliwa sana.
Hivi wakuu ile definition ya...
Chama cha ACT-Wazalendo kimesema kuadhimisha Siku ya Uhuru tarehe 9 Desemba 2025 hakukufanana na dhana ya uhuru kwa Watanzania kwani Watanzania hawakuwa huru
Kupitia taarifa rasmi ya Makamu...
Katika hotuba ya Rais wa Jamuhuri ya Muugano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Novemba 14, 2025 akihutubia bunge la 13 amesema Serikali yake itaendelea kulinda uhuru wa vyombo vya habari...
Hii siku ni ndefu
Na Sasa Bado ni asubuhi, naona baadhi ya viongozi na machawa wakikejeli gen Z kuwa Kiko wapi?
Hii inaweza kuwa aina mojawapo ya uchochezi
Hata sijui hii serikali wanataka...
Ulimuswano Mwanaweswe!.
Moja kwa moja kwa mada.
Najua vijana na baadhi ya wananchi kwa ujumla wa Taifa hili Tanganyika kama siyo Tanzania.
Walio wengi wanatakani sana mabadiriko kisiasa...
Rais Samia hapendwi na mamia ya watanzania, ila sasa kinachofanya watu wasitamani maandamano yawepo wakifikiria suala la maslahi.
Wengine wakienda kazini wana uhakika wa kukunja laki 5 na...
Maelezo yafuatayo kwa msaada wa Chatgtp yatakuwa msaada mkubwa sana endapo tutarejeshwa tena gizani.
Kama kauli mbiu ya 9D inavosema wakati huu hatuendi kinyonge. Basi ungana nami hatua kwa hatua...
Maandamano ni haki ya kikatika ila sasa kwa mikono yao iliyoshika damu na utamu wa madaraka unaweza kufikiri waka kubari.
Maandamano haya yanataka waachie nchi.Ndio maana wamejiandaa kwa...
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation Mzee Joseph Butiku ametolea ufafanuzi wa taarifa zilizosambaa mitadaoni zikimnukuu kwamba anaunga mkono maandamano ya Disemba 9,2025 na vurugu...
Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amefutia mashtaka na kumwachia huru mfanyabiashara wa vipodozi Jenifer Jovin (26) maarufu Niffer na Mika Lucas Chavala, waliokuwa na kesi ya uhaini.
Uamuzi huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.