📌MSIMAMO WA Rais SAMIA BEI SARUJI WATIKISA — Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesisitiza hatua za kudhibiti kupanda kwa bei ya saruji na kuhakikisha wananchi wanapata bidhaa kwa bei nafuu.
📌Mhe...
Biblia inavyosema kuhusu kiburi
Kiburi siyo dhambi unayofanya kwa njia sawa na kuiba au kusema uwongo. Ni mtazamo wa moyo na njia ya kufikiria. Huwezi kuona upepo, lakini unaweza kuona athari za...
Sijawahi kusikia au kusoma maelezo yoyote kuhusu kwa nini binadamu wengine wamekuwa Waafrika, Wazungu, Waarabu, Wahindi n.k ikiwa wote tulitoka kwa Adamu na Hawa.
Habari wakuu,
Nikiwa mfanyabiashara wa retail, leo nimeona nitoe shukrani za dhati kwa mitaa ya Kariakoo ambayo imekuwa sehemu kubwa ya mafanikio yangu.
Nilianza nikiwa nimeajiriwa kwenye...
Ndani ya JWTZ kuna mfumo thabiti sana wa mgawanyo wa madaraka na udhibiti, tofauti kabisa na mtazamo wa watu wengi mnavyodhani kwamba kiongozi mkuu mmoja ana mamlaka ya kufanya kila kitu peke...
KERO YA BAADHI YA WAENDESHA BODABODA
Tunaiomba mamlaka husika kufuatilia na kuchukua hatua dhidi ya baadhi ya vijana wanaotumia pikipiki zilizofanyiwa marekebisho, hususan kwenye mfumo wa exhaust...
Habari zenu Wana-Jukwaa,
Naandika uzi huu kuwasilisha kero inayowakabili wananchi na wasafiri wa kila siku wanaotumia Mabasi ya Mwendokasi (DART) katika korido ya Morogoro Road, kuanzia Kivukoni...
Naandika uzi huu kufikisha kwa CEO na Uongozi wa Stendi Kuu ya Mabasi ya Magufuli (Mbezi Luis) baadhi ya kero zinazowakabili wananchi na wasafiri wanapotumia huduma za stendi hiyo.
Sisi kama...
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (Tanapa )limetoa taarifa za kuwepo moto mlima Kilimanjaro na kuwatoa hofu wananchi na wadau wa uhifadhi kwamba licha ya tukio hilo shughuli za utalii...
Mafao changamoto jamani
Ndugu nilikuwa naomba kujuwa claim approval ina chukuwa muda gani kuwa imekuwa approval paka kupata pesa zako nssf?
Maana hapa sasa nimeambiwa niondoke kwenye nyumba...
Kila mfumo unakua na watu wa milengo mitatu tofauti wapo wale wahafidhina itikadi kali,wapo mlengo wa kati na wale mlengo wa kushoto ila wote wanafanya jambo moja sasa ipo siku mtegaji atamtega...
Napenda sana tamaduni ya wahindi ya kukusanyika pamoja kila jioni kama familia ndugu na jamaa inasaidia sana kutengeneza bond na kupanga mipango ya pamoja , kama umeishi upanga utagundua kuna...
Na Mwandishi Wetu.
Dar es Salaam, Septemba 3, 2026: Kazi 294 zimefuzu kuingia hatua ya kupigiwa kura na wananchi katika msimu wa pili wa Tuzo za Samia Kalamu Awards (SKA 2026).
Kazi hizo...
NMB imekua na ujinga mwingi umeweka pesa kwenye akaunti unafanya manunuzi unataka kulipa kupitia NMB BENKI wanakunyima huduma hata kuangalia salio wanakataa yaani mabenk ya Serikali yameambukizana...
Juzi kati baada ya kusoma bandiko la mlevi min -me la kuhusu bintiye na kukosa upendo kwa mama yake, ambaye Wali kuwa separated na kumfanya min kuwa single father, so mtoto kukosa motherly...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi ametoa wito kwa Makundi mbalimbali kufika bila kukosa katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Jijini Dar es Salaam, kesho Septemba 4, 2026...
Mwanamke mmoja aliulizwa swali na muandishi wa habari mwanamke kama ifuatavyo ifuatavyo:
Muandishi: Unafikiri siku hizi ni nani mwenye tatizo zaidi linapokuja suala la uchumba na...
Nijuavyo kijana anaweza kuwa wa kike au wa kiume. Hivyo, ni marufuku kusema, "kijana na binti...", kutaka kulazimisha binti asiwe miongoni mwa vijana!
Mara utasikia, "kijana ambaka binti..."...