God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,028
..
Sasa mbona maji ya chumvi ndo yanachujisha sana nguoweka chumvi kwenye maji halafu fua
mmi kule kwetu moshi nguo inayochuja nawekea chumvi.. maji ya huku dar mimi sijui chumvi yake inashida ganiSasa mbona maji ya chumvi ndo yanachujisha sana nguo
Duuh! Hapa kuna mkanganyiko labda aje mtaalamu atueleze maji ya chumvi ya Dar yana tofauti gani na maji yanayowekewa chumvimmi kule kwetu moshi nguo inayochuja nawekea chumvi.. maji ya huku dar mimi sijui chumvi yake inashida gani
Mkuu mimi nakumbuka enzi zile tukifua jeans wakati wa kusuuza tulikuwa tunaweka kidonge fukani cha bluu kwenye maji ya kusuuzia, ili jeans izidi kua kwenye ubora wake wa rangi ya Bluu.Nakumbuka enzi hizo nikiwa Sekondari tulikuwa tunatumia chumvi kuvulia haswa jeans za blue na nyesui zinazochuja...Unaweka jeans kwenye beseni na maji the unamwagia chumvi kama kiganja kimoja hakika hakuna kuchuja hapo kabisa...
Jeans sio lazima kuifua mara kwa mara,na ukifua jaribu kutumia steam wash kama hiyo huduma inapatikana hapo unapoishi.habarini ndugu plz mwenye ujuzi wa kuzuia kuchuja kwa nguo hasa wakati wa kufua kama vitenge shati na jinsi zetu naomba atupe daa yan ni shida sana yan baada ya miezi mitatu nguo inakua imefubaa sana plz naomben mawazo.
mchango wako ni muhimu sana natanguliza shukran.
kwetu haipatikani ila unaweza kuielezea hiyo steam wash ikoje!Jeans sio lazima kuifua mara kwa mara,na ukifua jaribu kutumia steam wash kama hiyo huduma inapatikana hapo unapoishi.
Nakumbuka enzi hizo nikiwa Sekondari tulikuwa tunatumia chumvi kuvulia haswa jeans za blue na nyesui zinazochuja...Unaweka jeans kwenye beseni na maji the unamwagia chumvi kama kiganja kimoja hakika hakuna kuchuja hapo kabisa...
Ni kimashine fulani hivi Mkuu,kinasafisha kwa kuipulizia nguo kitu kama Mvuke wa maji.kwetu haipatikani ila unaweza kuielezea hiyo steam wash ikoje!