Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kama umavojua kwamba mama UMUT kaenda msibani na kuwa kwahuyo single mama mwenyewe tutoto tuwili siwezi asijeniwekea vya kuniwekea, Basi nkasema leo niingie mwenyewe jikoni nipike wali na...
9 Reactions
47 Replies
1K Views
Mambo hayaendi maisha magumu usikate tamaa.... Mwenyezi Mungu ana njia tatu za kujibu maombi ya mtu. 1: "Ndio" anakupa unachotaka. 2: "Hapana" anakunyima kile unachotaka, na kukupa kile...
6 Reactions
7 Replies
290 Views
Kuna ile hali umejikalia zako mara unahisi kwenda kutoa haja ndogo. Unafika unamaliza haja lakini unabanwa na bomu la hewa chafu unaliachia bwaaaaa... Kuna wakati mko wengi kwenye choo cha...
10 Reactions
28 Replies
1K Views
Ni kipi kilichobaki kwa ajili yangu, mateso yaliyosalia au dhiki zilizobakia. Ni kipi kilicho tumaini kwangu, kufoji amani moyoni mwangu au kutakatisha furaha nafsini mwangu. Ni vita ipi hii...
3 Reactions
19 Replies
618 Views
by Farley Ledgerwood |June 25, 2024, 2:07 pm Age has no bearing on success. In fact, many people find their stride in their 50s and beyond. How do they do it? Well, it’s not about luck or a...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Isikilize clip ya CDF mstaku hafu Gen. Mabeyo lkihusu ushuhuda wake zile saa za mwisho kabla mpendwa wetu hayati hajalala kuzimu mautini. Gen. Mabeyo kuna vipande kaviongea kwa hisia na maumivu...
49 Reactions
239 Replies
21K Views
Wadau hamjamboni nyote? Leo nimesali.kanisa la Wasabato mwenge wanahitimisha makambi ya mwaka 2024 Ndugu zangu kwa mara ya kwanza leo mimeshuhudia maombi maalumu yakifanywa kwa ajili ya...
4 Reactions
3 Replies
434 Views
Iko hivi watu wengi wanapeleka matatizo yao kwa Viongozi wa dini, Kata, Polisi, Mahakamani na hatq kwa wazazi. Huku watasuluhishwa kwa upendo na amani na kuamini kuwa Jambo limeisha. Kumbe watu...
1 Reactions
1 Replies
159 Views
Najua tumefanya mengi bila kujua kitu kiundani zaidi. Unakuja kugundua tatizo kumeishakucha, na hujui nini cha kufanya. Nataka nikuambie kitu cha kufanya kipo, ila inahitaji utulivu wa kipekee...
4 Reactions
14 Replies
645 Views
Hili sio ombi.. ni amri. Haiwezekani vijana wadogo umri wa UVCCM na BAVICHA kuota vitambi visivyokuwa na maelezo ya kuridhisha halafu tuendelee kuwachekea. Kama huamini tembelea page za UVCCM...
10 Reactions
55 Replies
2K Views
Sabato ama ka neno lake asili la kiyahudi shabbāth ni neno lenye kumaanisha mapumziko Mwenyezi Mungu kaweka amri ya kuitakasa siku ya Sabato ndani ya zile amri 10, ni jambo kubwa sana kwetu, Ni...
1 Reactions
48 Replies
2K Views
Wakili Sweetbert Alipopatwa na Kigugumizi kuhusu Kukubali matokeo Inakupa Picha na Redflag kwamba Lazma angepinga matokeo ya Uchaguzi Hata kama utakuwa wa Haki.. Kasoro alizozitaja kisheria...
3 Reactions
1 Replies
379 Views
Nianze kwa kusema tu hii nchi ina pesa za mchezo. Maendeleo yanacheleweshwa kwa makusudi lakini fedha zipo. Ni Jambo lisilopingika kwamba Serikali inatamani sana kuviweka vyama vya kitaaluma...
0 Reactions
0 Replies
364 Views
Wachawi kabla ya " kupeleka majeshi" ( kupiga Bomu la kichawi ) huwaga wanaanza kwanza kutumia silaha ya maneno kwa sababu kutumia silaha za kichawi ni gharama. (kwanini watume risasi" uchawi"...
18 Reactions
56 Replies
4K Views
Ameyasema hayo leo Julai 26/7/2024 baada ya kushinda kesi yake Baada Mahakama kutengua maamuzi ya Kamati ya Rufani ya TLS, na kumrejesha Wakili Mwabukusi kugombea Urais wa TLS Hapo awali, Wakili...
1 Reactions
7 Replies
578 Views
Kesi ya Boniface AK Mwabukusi kupinga kukatwa kwenye Uchaguzi wa Rais wa Tanganyika Law Society kutolewa hukumu leo pale Mahakama kuu ya Tanzania Jumaa Mubarak 😃 ---- Mahakama Kuu ya Tanzania...
10 Reactions
154 Replies
10K Views
Siongezi neno wala mimi si mkalimani === Alichozungumza kwenye video hiyo, ni kuhusu Africa kutoza kodi kubwa ambazo zinaua uwezekano wa maendeleo kwa kuwa zinaua hata uwekezaji. Suala hilo...
14 Reactions
79 Replies
3K Views
Anonymous
Habari ya za majukumu wakuu, mwaka jana Jeshi la uhamiaji Tanzania waliitisha mkutano katika kijiji cha Vuo wilayani Mkinga ili kuelezea wananchi wa kijiji hicho juu ya adhma yao ya kuongeza eneo...
0 Reactions
0 Replies
441 Views
Kuwa Taasisi Moja muhimu Tanzania ambayo Watendaji wake Wanaogopwa sana tu imefuta Kazi Wafanyakazi wote. Jamani hivi unawezaje kufuta Kazi Watendaji wote ambao 99% yao wanajua Taarifa zote...
29 Reactions
109 Replies
7K Views
Tuoac aliwahi kusema kuwa,i fear no death what i fear is to find my self reencanated after my death Huyu ni marehemu Ali Mufuruki
3 Reactions
14 Replies
839 Views
Back
Top Bottom