Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu, hivi Viongozi wa Kawe wanatuchukuliaje tunaotumia Kituo cha Daladala Kawe? Kituo halifanyiwi matengenezo yoyote wakati kila siku watoza ushuru wanachukua Tsh. 1,000 kwa kila Daladala...
0 Reactions
2 Replies
651 Views
Ripoti ya takwimu za uhalifu na usalama barabarani ya mwaka 2023 kutoka jeshi la polisi Tanzania kupitia ofisi ya takwimu {NBS}, inasema kuwa mikoa takriban 40 ya kipolisi nchini imesajili jumla...
0 Reactions
2 Replies
423 Views
Rafiki yangu mpendwa, Kwenye safari ya kujenga utajiri, uwekezaji ni kiungo muhimu sana. Watu wengi wamekuwa wanachanganya kipato kikubwa (rich) na utajiri (wealth). Wengi huwa na maisha mazuri...
10 Reactions
17 Replies
1K Views
"Mwanamke yoyote ambaye anaingiliwa na Wanaume zaidi ya Watatu na Uke wake haupumziki Kuingiliwa na Wanaume tofauti tofauti ndani ya Wiki huyu husababisha Uke wake kuhama Kiasili kutoka kuwa wa...
12 Reactions
43 Replies
3K Views
kutokana na ukosefu wa daladala zinafanya safari za moja kwa moja vituo hivyo hadi kawe abiria wanalazimika kupanda daladala mara mbili ili kufika kawe hali hii imekuwa ikiwaongezea mzigo wa nauli...
0 Reactions
2 Replies
387 Views
Kama mama yuko vizuri kwenye masomo kama hisabati /mathematics ,arts na science mtoto ana uwezekano mkubwa wa kuwa intelligent Mazingira pia yanachangia but genes for intelligent zimebebwa...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Wakuu kuna kitu nimekuwa sikielewi, hizi nyumba za kupanga bei zinapaa sana. Unakuta nyumba ipo Kibamba au Madale unaambiwa kodi 500k unabaki unashangaa. Hivi kwa mishahara na biashara zetu hizi...
21 Reactions
94 Replies
9K Views
Nawasalimu nyote. Umasikini ni laana, tafiti tofauti zinaonyesha umasikini unarithishwa kwa hiyo unatakiwa kukaa ki machale kijana mwenzangu uliezaliwa kwenye familia masikini ili uondokane na...
7 Reactions
25 Replies
1K Views
Kuna mambo mengi sana ambayo Taifa inafanya na inaendelea kufanya ikiwamo uchaguzi ujao. Lakini sasa ukisikiliza au kutazama vyombo vingi vya habari vingi vinachochea ugomvi na kufanya vitu vya...
0 Reactions
5 Replies
338 Views
Sioni kama kuna mabadiliko yanaweza fanyika mda mfupi baada ya kupigiwa kelele mda mrefu. Hakuta kuwa na nguvu ya watu kujituma sana kwa mda huu uliobaki ambao 2025 ni uchaguzi. Hakuna mwenye...
0 Reactions
1 Replies
300 Views
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika kuwa kuna baadhi ya Maafisa wa Halmashauri wanafunga maduka ya Wafanyabishara kutokana na kuwadai malipo ya Halmashauri hiyo, ufafanuzi umetolewa na...
0 Reactions
4 Replies
893 Views
Jengo gani la uma au private wanaoruhusu u access Free WiFi Nina kazi zinazohitaj internet na ni nyingi kwa kweli
2 Reactions
15 Replies
802 Views
Kuna lorry limeharibika nje tu ya kituo cha polisi Mlandizi na kusababisha foleni hadi Visiga, mnaoelekea usawa huo jiandaeni kisaikolojia
2 Reactions
0 Replies
295 Views
Habari wakuu? Natumai mu wazima wa afya. Nataraji kufanya safari ya kwenda Ruangwa. Lindi. Je kutokea Dar es salaam kuna basi la moja kwa moja? Ahsante sana
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Mtu yeyote ambaye amekua katika maeneo ya vijijini hata mjini kwa kiasi kidogo anaweza kuelezea uzuri wa malezi ya bibi. Bibi ni mtu mwenye huruma sana hata mzazi akitaka kukuadhibu ukikimbilia...
2 Reactions
7 Replies
459 Views
Habari, Nimejikuta nimekopa Elfu 10 branch na Elfu 10 Umojakopa. Sasa sijui ntawalipaje na nisipolipa watanifanyaje?
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Miaka ya tisini nilikuwa nasikia sana stori za uchunaji ngozi maeneo mbalimbali ya nchi, stori zenyewe zilikuwa za kutisha sana kwamba watu wanamkamata mtu hasa watoto wadogo wanawachoma sindano...
4 Reactions
50 Replies
2K Views
Na Chedaiwe Msuya, WF, Mtwara Vikundi vya Huduma ndogo za fedha pamoja na Wafanyabiashara mbalimbali kutoka Manispaa ya Mtwara-Mikindani, wameshiriki katika mafunzo ya utunzaji fedha...
0 Reactions
1 Replies
479 Views
Jf salaam🙏 Ni muda sasa tangu aanze kuonekana huyu nyoka hatari koboko na inasemekana wapo wawili. Taarifa zilianza kunifikia kutoka Kwa wazee wangu maana huo msitu ukweli sio wangu ni wa mzee...
33 Reactions
304 Replies
19K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…