Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Aisee katika kitu ambacho nakichukia hapa mtaani yaani watu kuhoji kazi ninayoyofanya unakuta jitu linamuuliza mtu eti jamaa anafanya kazi gani mbona anaishi vizuri. Hawajui Mimi kazi yangu ni...
2 Reactions
3 Replies
469 Views
UCHUMI: Mwakilishi wa Sekta Binafsi, Ali Amour amesema baadhi ya changamoto walizokutana nazo Wafanyabiashara kwa mwaka 2022/2023 ni pamoja na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kufungia Akaunti za...
1 Reactions
2 Replies
889 Views
Kwenye mada. Tunaona mitandao ana trends sana jamaa mimi nimeanza kumfahamu huyu bwana kupitia nyimbo ya singeli nikaanza kumfuatilia huyu bwana inakuwaje kwa hichi anachokifanya anapata watu...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Baada ya pilika pilika za mwezi mzima, siku moja unaweza kupanga kutembelea Wilaya ya Mkurunga Mkoani Pwani na kugundua ziwa moja wapo linalopatikana mkoani hapa. Hili ni ziwa Mansi, linapatikana...
15 Reactions
50 Replies
3K Views
Mahakama ya Wilaya ya Missenyi imemhukumu, Florian Kaizilege Method, adhabu ya kifungo cha miaka mitatu Jela. Adhabu hiyo imetolewa baada ya kuthibitika kosa la Rushwa kinyume na kifungu cha 15...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna matangazo ya sms mengi kila siku yanaingia kwenye simu yangu. Je, kuna namna naweza kuyadhibiti? Msaada tafadhali, yananichosha.
1 Reactions
9 Replies
470 Views
Baada ya sekeseke la waimbaji wengi wa Injili hususani wa kike kuharibu ndoa zao, watu wengi wamehoji nini chanzo cha hayo yote. Ukweli ambao hausemwi na labda haujulikani ni kuwa, wengi wa...
16 Reactions
63 Replies
4K Views
Mahakama ya Wilaya Mbarali imemhukumu aliyekuwa Mhasibu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, Joseph Werema Ndimila adhabu ya kulipa faini ya Tsh. 1,100,000/= au kwenda Jela mwaka mmoja na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ilikuwa mwaka 2006 majira ya Jumamosi nipo zangu nyuma ya bweni nikishua shuka zangu mbili na sare za shule, pembeni nipo na redio yangu niliyopewa na Babu. Hapo ni kidato cha pili, kidogo swahiba...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Jamani wana JF naomba kuuliza hivi unapoenda ukweni unatakiwa uzingatie hasa vitu gani maana nasikia ukienda ukweni huwa kuna utaratibu mwingi sana naomba mnifahamishe.
2 Reactions
9 Replies
837 Views
Hofu inaweza kukufanya ukaona Jambo ni kubwa kama watu wanavyolizungumzia Kumbe hata hawalijui vizuri. Mimi tangu nakua nimekutana na watu wanaojua kumtia mtu hofu ikiwamo hata wazazi wenyewe...
6 Reactions
9 Replies
554 Views
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa hukumu ya kesi ya madai ya mwanamuziki Lameck Ditto dhidi ya Kampuni ya Multchoice Tanzania Limited maarufu DStv, uamuzi ambao haujaacha kicheko kwa...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Acheni Double Standards tena nadhani huyu wa Buza ( Kiboko ya Wachawi ) hana Madhara sana japo ni Tapeli kama hawa Wawili wa Tanganyika Packers Kawe na Kimara Temboni. Halafu Serikali mkiona tu...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Hello! Dhambi ya uzinzi ni dhambi kama zilivyo dhambi zingine, ila utofauti wake na dhambi zingine ni kwamba dhambi hii inatendeka ndani ya mwili. Unapofanya uzinzi unafungulia milango yote ya...
4 Reactions
1 Replies
656 Views
Ndani ya dimbwi la umasikini wa kutupwa, Katikati ya shida, magonjwa, sononesho la kutisha. Baada ya kukatishwa tamaa na watu uliowahamini, baada ya jamii kukuambia huwezi, huwezi kutoboa, huna...
3 Reactions
8 Replies
614 Views
Anonymous
Eneo la Vijibweni kumeongezeka migogoro ya ardhi kwa kuwa mwenyekiti wa Serikali anauza maeneo ya hifadhi ya barabara akishirikiana na kikundi cha wajanja. Na kumekuwa na malalamiko mengi juu ya...
0 Reactions
2 Replies
414 Views
Anonymous
Katika nchi yetu kuna baadhi ya maeneo kupata huduma mbalimbali za msingi kama maji, umeme n k imekuwa kawaida sana, lakini hii hali imekuwa tofauti sana katika halmashauri ya Mbulu mji hasa...
0 Reactions
1 Replies
340 Views
Naomba kujua Mawakala Binafsi wa huduma za Ajira Tanzania tafadhali, toa mifano michache
2 Reactions
1 Replies
270 Views
Mji wa mbeya hauna miundombinu ya barabara hata kidogo! Ni vigezo gani vilitumika mbeya kuwa jiji?
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…