Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habarini za leo wakuu, Nisaidieni hili swala na mnipe ushauri nataka kununua mzigo toka China ili uje hapa bongo niufanyie biashara bila kuchelewa kwasababu ni order maalum. Je ni kampuni gani...
1 Reactions
19 Replies
8K Views
Nilibahatika kuhudhuria kwa njia ya video za kupandikiza kijasusi na kwa kificho kama mtafiti wa dini za binadamu na akili za binadamu na utashi wa kibinadamu na hulika za binadamu majadiliano ya...
5 Reactions
67 Replies
3K Views
Ulimwengu wa dijitali umeleta fursa nyingi kwa vijana, ikiwemo ufikishaji wa elimu, habari, na mawasiliano. Hata hivyo, pia umeleta changamoto zake. Ufikishaji rahisi wa mtandao umeongeza hatari...
1 Reactions
0 Replies
407 Views
Gereji moja hapa nchini baada ya kuchoshwa na kutengeneza magari ya wanajeshi wakaamua kuandika hivi.. HATUTENGENEZI MAGARI YA WANAJESHI. Ila baada ya muda UKUTA ulikutwaa umefutwa maandishi hayo...
4 Reactions
111 Replies
21K Views
Sote tunafahamu umuhimu wa utalii kwenye kuchangia pato katika uchumi wa nchi yetu. Hivyo basi, panapotokea taharuki inayoweza kusababisha kupungua kwa idadi ya watalii, anayesambaza hiyo taharuki...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Ulitamani kuwa daktari, rubani, mbunge, waziri, mwanamziki, mwanahabari nk na ulichotamani unakiishi basi unastahili pongezi kimsingi umefanikiwa probably utakuwa ni mtu mwenye furaha na...
14 Reactions
42 Replies
2K Views
Wakuu Kama kichwa cha uzi kinavyojileza hapo juu. Kama mjuavyo wakuu, akiba ni kitu muhimu sana katika maisha,"akiba haiozi". Lengo la huu uzi ni kupeana hamasa ya kuzichanga mdogo mdogo, uzi huu...
8 Reactions
115 Replies
8K Views
Wasalam ndugu zangu wana JamiiForums, ni mara nyingine naleta kwenu mada nyingine. Vitabu vya dini vimekuwa vikituhusia sana tusivunje undugu kwa matatizo au changamoto za hapa na pale...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Baadhi ya wafanyakazi wa Barrick walioshiriki mbio za riadha za NBC DodomaMarathon 2024 wakifurahi baada ya kumaliza na kukabidhiwa medali za ushiriki Baadhi ya wafanyakazi wa Barrick...
0 Reactions
5 Replies
759 Views
Share hili na wengine wajifunze kupitia wewe na wasiwe waoga wa kuanza kutafuta maisha. Pia itawasaidia Waliomaliza vyuo vikuu kujifunza na kusubutu kuanza kutafuta Maisha bila kutegemea mzazi...
6 Reactions
26 Replies
4K Views
Siku kadhaa zilizopita tutakumbuka hapa jukwaani lililetwa dokezo na mdau kuhusiana na hospitali ya Taifa ya Muhimbili kufunga CCTV-camera kwenye vyoo kiume, suala ambalo pia lilichapishwa hadi...
8 Reactions
16 Replies
1K Views
Haya kama mada leta hoka tuone nini ni nini? Je, kipaji kinalipa kuliko elimu ya darasani?
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Wakuu Habari zenu? Kwa maisha ya kawaida hapa duniani kukosana kupo kwenye haya maisha. Lakini ni kwa kiasi gani unaweza kubeba maumivu ya kile ulichokosewa na ukaamua Kusamehe. Kisasi kinaweza...
16 Reactions
77 Replies
3K Views
Limemkuta Madam mmoja ambae amesaini Mkataba bila kuelewa hadi pale alipoambiwa usiondoke hadi udeki madarasa Jioni muda wa masomo unapokuwa umeisha. Ndipo alipogundua kuwa alisaini bila kuelewa...
7 Reactions
10 Replies
383 Views
Mwamba Britanicca JF person at the moment anaendelea kuwa maarufu kila kukicha jamvin baada ya kutabiri vema Nape na January kutumbuliwa nyadhifa zao za waziri na Rais Samia baada ya ziara ya...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
JINA LA YESU Kama vile chemicals weapon inavyopiga na kuangusha bila kuonekana basi ndivyo lilivyo yani one attack thousand people die na litatumika na WATAKATIFU tu kuangusha hizi tawala za...
4 Reactions
38 Replies
1K Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amebainisha hatua za utekelezaji wa miradi ya Sekta ya Ujenzi inayoendelea kutekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais, Mheshimiwa Dkt. Samia...
0 Reactions
0 Replies
462 Views
Mchungaji Richard Hananja ametoa wito kwa walimu, wazazi na walezi na jamii kuwalea watoto katika malezi ya kuwaeleza ukweli ambao unaweza kuwaepusha na vitendo mbalimbali ambavyo havifai katika...
0 Reactions
0 Replies
624 Views
Salaam WanaJf, Hivi Hawa madereva wa serikali na mashirika ya umma hizi sheria za barabarani haziwahusu? Au ni kwa sababu leseni zao hazupigwi faini! Hii ni shida kubwa mno kama Kuna watu tu eti...
0 Reactions
6 Replies
532 Views
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amekemea na kuwaonya viongozi wa Hospitali nchini ambazo zina magari ya kubebea wagonjwa (ambulance) wenye tabia ya kutoza wagonjwa au ndugu zao malipo ya posho ya...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…