Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mamlaka nchini Rwanda zimetangaza marufuku ya uvaaji wa mavazi mafupi kupindukia na yasiyo na staha katika maeneo ya umma pamoja na hafla mbalimbali nchini humo. Hatua hiyo imechukuliwa hivi...
0 Reactions
0 Replies
113 Views
Mimi kwa kweli naona zama zimebadikika Huwezi kutoboa kwa system yenye congestion namna hii Naona private sector na waliojiajiri wanakula maisha kuliko wenye ajira. Gharama za maisha zimezidi...
3 Reactions
0 Replies
81 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili mkoani Arusha leo Jumatano, Septemba 16, 2026, ambapo amepokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Arusha na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, pamoja...
1 Reactions
5 Replies
224 Views
Nimewasikia baadhi ya viongozi wa dini wakiandaa maombi ili Mungu aepushe madhara ya mvua kubwa zinazotarajiwa kuanza mwezi Oktoba. Kwa nini tusimshukuru Mungu kwa neema hii na tujenge miundombinu...
2 Reactions
19 Replies
158 Views
Hello wana JF, Bwana, mimi ni mteja wa muda mrefu wa hizi benki zetu, lakini kuna jambo nimekutana nalo hivi karibuni limenipa ukakasi sana. Najiuliza, tupo mwaka gani huu? Teknolojia imepiga...
3 Reactions
11 Replies
266 Views
Kuna maswali ambayo mwanadamu amekuwa akijiuliza tangu alipogundua uwezo wa kutafakari. Tumetengeneza vyombo vya kwenda angani, tumegundua magonjwa, tumepanga ramani ya sehemu kubwa ya dunia na...
2 Reactions
2 Replies
64 Views
Mwanzoni nilikuwa na wazo la kutimkia huko MADAGASCAR, ila sasa nimebadili gia angani yaani ndege nimeipiga U-TURN. Maana naona kukaa bongo ni kama nimechoka maana madrama kila kona. Ukipanga...
4 Reactions
23 Replies
329 Views
  • Redirect
Wizara ya habari, Utamaduni Sanaa na Michezo leo Septemba 18 imefafanua kuwa Waziri wake Paul Makonda anatarajiwa kuunda Kamati ya kuchunguza mkataba wa mzabuni wa jezi za Taifa Stars ili kubaini...
0 Reactions
– Replies
– Views
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetoa taarifa rasmi inayoeleza mabadiliko katika mfumo wa elimu ya msingi kwa wanafunzi wa shule nchini Tanzania. Mabadiliko haya yanatekelezwa kwa mujibu...
1 Reactions
1 Replies
186 Views
Mwaka huu (2027) katika numerolojia inatawaliwa na namba 2 ambayo inatokana na utaratibu wa kujumilsha kila namba katika mwaka na kuhakikisha namba inabaki katika dijiti moja. Inakuwa hivi: 2027=...
0 Reactions
0 Replies
49 Views
Mwanamke mmoja nchini China, aliyetambulishwa kwa jina bandia la Xiaoli, alizua gumzo mtandaoni mwaka 2016 baada ya kuripotiwa kuwa aliwaomba kila mmoja wa wapenzi wake 20 kumnunulia simu aina ya...
1 Reactions
6 Replies
203 Views
https://youtu.be/hOY_UYsoqiI?si=dlv7lgmJRF0hxHfw
0 Reactions
2 Replies
95 Views
Serikali imesema matumizi ya kidijiti ya Mfumo wa e-Ardhi yamelenga kuleta mageuzi makubwa katika utoaji wa huduma za ardhi, ikiwa ni pamoja na kuondoa urasimu. Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa...
0 Reactions
0 Replies
63 Views
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, inaendelea leo, ljumaa Septemba 18, 2026, katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, ikiwa ni mendelezo wa hatua ya...
2 Reactions
5 Replies
115 Views
Wakuu nimejikuta kwenye mtatizo wakati nikielezea kitu, imenibidi nikubali kuwa akiba yangu ya misamiati haitoshi kutoa maelezo. Kuna hivi vishika mkanda kwenye suruali, Vinaitwaje? Je kuna jina...
0 Reactions
7 Replies
160 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amesema tuzo za tafiti na gunduzi katika maeneo ya ubunifu, sayansi, kilimo...
2 Reactions
0 Replies
74 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, ameitaka Halmashauri ya Manispaa ya Lindi kukamilisha mchakato wa kushughulikia...
1 Reactions
0 Replies
121 Views
Matatizo yanayowasibu raia wengi na yanayohitaji Viongozi kuyashughulikia badala ya kushughulika na Lissu, Heche na CHADEMA kwa ujumla 1.Gharama za maisha, Bei za baadhi ya bidhaa na huduma...
9 Reactions
18 Replies
202 Views
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, na Msemaji Mkuu wa serikali, Gerson Msigwa ameweka wazi sababu za serikali ya Tanzania kupitia wizara kuendelea kujenga viwanja vya...
0 Reactions
2 Replies
249 Views
Licha ya ukubwa wa stendi ya Magufuli Mbezi na kuwa imejengwa miaka ya hivi karibuni jambo ambalo lingeifanya iwe stendi ya kisasa bado nimegundua hakuna kabisa maeneo maalumu kwaajili ya abiria...
2 Reactions
11 Replies
295 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…