Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naandika kwa masikitiko makubwa sana Leo ikiwa ni siku ya tatu maji hayatoki . Hakuna taarifa yoyote ya katazo la maji kwa wananchi wa kata ya Nyasubi Kahama. Tumejaribu kutoa taarifa tunajibiwa...
0 Reactions
2 Replies
502 Views
Habari za jioni wakuu. Kuna video inatrend huko kwa groups kuhusu watu wa Kigoma kutojua matumizi ya double road. Mimi kwa jinsi nilivyotembea niona hata Arusha hii njia ya Arusha - Moshi...
0 Reactions
7 Replies
644 Views
Habari za muda mrefu ndugu Wana familia wa jamii forums. lengo la kuanzisha huu Uzi ni kukutanisha watoto wa kishua na watu wenye uwezo kiuchumi " matajiri " kwa ajili ya kubadilishana mawazo...
9 Reactions
48 Replies
2K Views
Hii bank kuna walimu wanaipigia kelele kwamba wanakata deductions kabisa za makato ya mkopo ambao hawajautoa kabisa na wakipigiwa simu wanajibu kirahisi shida mfumo. Sasa kama shida ni mfumo mbona...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Leo nimeambiwa eti 'baada ya kumaliza chuo wahitimu wote wanapaswa ku-verify vyeti vyao kwa mwana sheria na vipigwe muhuri ndipo vitumike.' Binafsi, naona hili suala sijalielewa. Kwanini...
2 Reactions
15 Replies
7K Views
Muonekano wa Daraja la Ruaha Mkuu lenye urefu wa mita 133 katika barabara ya Mikumi- Kidatu - Ifakara sehemu ya Kidatu - Ifakara kilometa 66.9 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami Mkoani...
13 Reactions
70 Replies
5K Views
Kwa sasa treni inasafiri kati ya Dar na Moro. Ni vizuri wahusika wakafanyia kazi baadhi ya mambo kabla usafiri haujatanuka kufikia maeneo mengine. Baadhi ya changamoto ni hizi hapa. Kwenye...
3 Reactions
8 Replies
827 Views
Kutokana na ushabiki wa Mchezo wa Mpira kukua kwa kasi ni muhimu sana wakumbuke pia kufanya mikoani ili kuwapa raha mashabiki. Ningeshauri hata matamasha hayo yakafanyika kikanda na kuwa na...
0 Reactions
1 Replies
379 Views
Wasalaam Wakuu, Nimeona hiki kisa kilichoandikwa kwenye Agano la kale, Nimeamua kushare nanyi hapa ili mmpate kuelewa kwamba Chuki na Wivu vilikuwepo tangu zamani. Hapa katika kisa hiki tunaona...
0 Reactions
2 Replies
465 Views
Mnamo tarehe 2022-08-04 2022-08-17 ,WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI walitangaza nafasi hizo 17 kupitia PSRS Watanzania wenye sifa stahiki waombe ili mwisho wakifaulu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
1) MARUFUKU KUTAFUNA BABLISH/BIG-G UWAPO SINGAPORE Singapore ilipiga marufuku vitu vyote vinavyofanana na big-g mwaka 1992. Yeyote atakayeingiza bidhaa hii kutoka nje ya nchi, atakayeuza au...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Kwa mara ya kwanza nimekuja Kigoma baada ya miaka 25. Nimeshangaaa sana. Kigoma si mbaya kihivo kama ilivo jina lake, na kama binafsi nilivokuwa naichukulia iko tu kama mikoa mingine Kama...
39 Reactions
106 Replies
7K Views
Habari Wanajukwaa! Dunia ina watu takribani bilioni 7 huku wakiwa wamegawanyika kwenye mabara saba; Asia, Afrika, America ya Kaskazini, America ya Kusini, Antarctica, Ulaya, pamoja na Australia...
7 Reactions
24 Replies
3K Views
Mama mzazi wa mbunge wa viti maalumu Halima Mdee, Bi.Theresa Mdee amefariki dunia leo katika hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma Taarifa hiyo imetolewa na Mbunge Ester Bulaya ambaye amethibitisha...
7 Reactions
23 Replies
3K Views
Exactly mwaka 1997 nilikua naenda Arusha kwenye kusaidia kibarua nikitokea moshi hapo nilikua form 3..sasa Nikiwa Pale Soko Kuu akaingia Jamaa Mmoja Mrefu Mbavu kweli kweli..kafanana kabisa na...
1 Reactions
37 Replies
2K Views
1.0 Kuanzia Mahakama za chini hadi Mahakama Kuu suala la Hakimu au Jaji kuharibu kesi kwa manufaa yake ni la kawaida tu. HAWAJALI. Wanajificha kwenye mstari wa mwisho wa hukumu zao unaosema...
1 Reactions
5 Replies
477 Views
Viongozi kadhaa wa Kitaifa wakishiriki kuhani Msiba wa Mama yake Halima Mdee, Tunaishukuri serikali kwa kujitokeza kushiriki kuwafariji Wafiwa. Gerson Msigwa Naibu Waziri Mkuu, Dotto Biteko...
13 Reactions
74 Replies
6K Views
Simba na yanga Ccm na chadema . Mke wa MTU na mme wa MTU . Kupiga mtungo na kupiga mende Hayo mambo yameaua focus za watu hapa Tanzania.✊🏿
10 Reactions
26 Replies
1K Views
Wanandugu mliowahi kwenda KUSIKOJULIKANA kuanza moja tunaombeni mtujuze changamoto ILI tujue jinsi ya kuzikabili UKITOKA KWENDA sehemu kujitafuta
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewahakikishia wawekezaji uwepo wa umeme wa uhakika katika Wilaya za Kilombero, Malinyi na Ulanga na hivyo amewaalika kwenda...
0 Reactions
0 Replies
283 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…