Mwislam by choice
JF-Expert Member
- Sep 23, 2017
- 555
- 667
Habari za jioni wakuu.
Kuna video inatrend huko kwa groups kuhusu watu wa Kigoma kutojua matumizi ya double road.
Mimi kwa jinsi nilivyotembea niona hata Arusha hii njia ya Arusha - Moshi unakuta mtu anaona U turn iko mbali anawasha hazard ☢️ huyo anatafuta kona yake.
Zanzibar ndo kabisa huko hamna nidhamu kabisa barabarani U turn zao haziko mbali kabisa but mtu anaforce tu mpishane, ama mtu kusimama katikati ya barabara akiongea na mtu.
Maoni kwa trafic waache kutega pesa tu, some times watoe elimu kwa madereva matumizi ya barabara.