Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sikukuu ya wakulima inayofahamika kuwa Nanenane ina sherekewa nchini kote tarehe 8 Agosti kila mwaka. Sherehe hiyo inatayarishwa na kuratibiwa na Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana na Shirika la...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini: Yaleyale ya ile kampuni ya QNET Siku za hivi karibuni kampuni ya Aliance Motion Global imekuwa ikiripotiwa sana kwa kukusanya vijana kutoka...
6 Reactions
50 Replies
4K Views
VIASHIRIA KUWA HUENDA SIMU YAKO IMEDUKULIWA Simu yako kufanya kazi tofauti na ulivyoitaka au ambazo hujaidhinisha kama kutuma Ujumbe, kupiga simu Uwepo wa Programu Wezeshi (Applications) ambazo...
4 Reactions
13 Replies
4K Views
Padri wa Kanisa Katoliki Jimbo la Bunda mkoani Mara nchini Tanzania, Karoli Mganga amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma akikabiliwa na mashtaka 178, likiwemo la kuongoza genge la...
12 Reactions
149 Replies
9K Views
Una mpenzi wako na una matarijio awe mke wako wa ndoa, kazi unayoifanya anaijua vizuri tu kuwa kipato chake ni kidogo. ''Mnatoka out mara ya kwanza unatumia pesa nyingi kweli, mnakula , mnakunywa...
8 Reactions
10 Replies
1K Views
Yaaan unaamka na watoto kupeleka shule unakutana na pikipiki zinakimbilia kwenye lami kumbe kalizwa mtu. Leo sicheki kwa mazuri na shule iko Goba kwa ndani kidogo Nashuka niko njia ya rafu...
0 Reactions
10 Replies
711 Views
Walimu acheni tamaa. Hizi fursa za muda mfupi achieni majobless, mbaya zaidi kwakua assessment inafanywa na watu kutoka halmashauri basi mwajiri wao anawadaka ili walimu tu maana watumish wengine...
14 Reactions
50 Replies
2K Views
Mwananchi atofa elimu kuhusu fidia kufuatia kauli ya Rais Samia kuomba Wananchi wapishe miradi na fidia zije baaa ya miradi. Amefafanua haki ya fidia kisheria na kikatiba na kukosoa kauli ya Rais...
13 Reactions
22 Replies
2K Views
UZITO Licha ya changamoto zilizowakabili, wazazi wa Chuwa walifanya kila wawezalo ili kesho ya chuwa si tu iwe kesho nzuri bali kesho yenye fursa angavu na furaha ya kudumu. Miaka kadhaa mbele...
1 Reactions
0 Replies
384 Views
Wamekuja mabinti wawil kupanga. Nikawapangisha chumba baada ya muda Wakaanza kutembea na Wanaume za watu wa vile vyumba vingine. Wake zao nao wakaanza back2sender wakaanza kutembea na vijana wa...
9 Reactions
31 Replies
2K Views
Taarifa katika vyombo vya habari kwamba Ndugu Sauli ambae alikuwa mfanya biashara mkubwa usafiri aliefariki kwa ajali ya gari ameacha wake wa 3 na watoto 16. SWALI Jee wakiristo wanaruhusiwa...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Trip to South Africa by Bus from Kenya. Yes, it's very possible to travel to South Africa by bus from Nairobi, Kenya. You will take 3 different buses to travel from Nairobi to South Africa. Bus...
2 Reactions
3 Replies
855 Views
MAGIC MUSHROOMS: UYOGA WA KICHAWI: DAWA YA KULEVYA YA KIINDOLE ILIYOANZA KUTUMIKA MIAKA 9,000 KABLA YA KRISTO MAGIC MUSHROOMS, inayojulikana pia kama "psilocybin" au "shrooms," au UYOGA WA...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Nilichokielewa kutoka kwenye katuni ya Masoud Kipanya. Hili eneo ni makaburini na hapo unaonekana mzimu ukiwa umeandikwa TLS, kwahiyo ni maeneo waliyozikwa watu wa TLS (Tawala zilizopita). Mzimu...
2 Reactions
5 Replies
678 Views
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), umewezesha walengwa wa mfuko huo kutumia ruzuku wanayopata kushiriki kilimo, hali ambayo imekuwa ikiwaongezea kipato na kuwa na uhakika wa chakula. Hayo...
0 Reactions
1 Replies
435 Views
Nini kiliupata huu mkoa? Nimewahi kufika Nzega na Igunga nikajua Tabora mjini patakuwa bora zaidi ya kule nimeshangaa. Yaani mjini center nyumba ni za kizamani, hakuna kabisa modern buildings...
67 Reactions
267 Replies
20K Views
Ikiwa POLISI watampeleka AMOSI, MAHAKAMANI, basi, NITAKWENDA KUMTETEA BURE. Watu wanataka kuona POLISI IKIWAKAMATA WABAKAJI NA WAFIRAJI. Hayo mengine ya “KUZUSHA KIFO CHA BINTI WA YOMBO”, ni...
3 Reactions
13 Replies
718 Views
Naomba wazee wa jamiiforums wanijibu hili swali hasa wale wenye vinasaba na CCM. Je, ni nchi gani Afrika hasa zile za kijamaa zilizokuwa na urafiki na Mwalimu Nyerere mfano Zambia, Zimbabwe...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Kama mmeshindwa kuweka security kwa mawakala wenu kwenye huduma za kusitisha miamala, hii huduma iondoeni inatufilisi mawakala. Jana mfanyakazi wangu kapigwa 50k tigo pesa, mtu ametoa hela umempa...
9 Reactions
45 Replies
7K Views
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Mkama Bwire ameeleza hali ya madeni na kukiri kuwa bado kuna madeni yaliyofikia takribani bilioni 40. Madeni hayo yamegawanyika katika maeneo matatu...
0 Reactions
2 Replies
516 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…