Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nini kipo behind mbao maana hata Yesu stori yake ya kufa ilibidi msalaba uwe ni wa mbao hata baba yake wa kufikia alikuwa seremala fani ya kuchonga miti. Hata Yuda na ye alijinyonga mtini. Hata...
1 Reactions
6 Replies
682 Views
Haiwezekani hata mwezi haujapita watu washaanza kulalamikia SGR, yaani uhamasishaji wote wa kwanini hii ni reli ya kisasa. Kumbe bado ina watu wa kizamani!! Wanafikra za kizamani. Imenikumbisha...
3 Reactions
11 Replies
807 Views
Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kikidai kukamatwa na Jeshi la Polisi na kuendelea kushikiliwa kusikojulikana watu watatu wakiwamo viongozi wa wawili wa chama hicho wilayani...
0 Reactions
0 Replies
324 Views
ajali za barabarani zimekuwa zikiongezeka huku nguvu kazi kubwa ya taifa ikipotea kwa uzembe au uchovu wa madereva hivyo binafsi kama mdau naomba kutoa ushauri kwa serikali ili kukomnesha hili...
1 Reactions
1 Replies
402 Views
Licha ya Serikali kupitia Waziri wa Michezo, Damas Ndumbaro kutangaza kusitishwa kwa Mradi ambao kibao cha ujenzi wake kimeandikwa 'Mama Samia Primary School', Mradi huo umesimama lakini hali ya...
0 Reactions
0 Replies
322 Views
Luhaga Mpina anaunguruma muda huu Sakasaka Jimbo kwake Kisesa Updates...... Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Mpina amendelea kufanya ziara katika jimbo lake hilo kusikiliza kero za wananchi leo...
0 Reactions
3 Replies
747 Views
Ipo hivi, Nina mshikaji wangu ni Afisa Ardhi (sitaweza taja halmashauri yake) nimesoma naye chuo degree ya Sheria, mwenzangu alibahatika kuwa afisa ardhi. Alinipigia simu anataka simu kuwa Wana...
0 Reactions
3 Replies
434 Views
Habari! Tulipopinga suala la mahari kwa kusema kuwa mahari ni biashara ya kitumwa watetezi mkasema mahari ni heshima, ni zawadi kwa wazazi kwa kumtunza binti yao. Kumtunza sawa, lakini ametunzwa...
9 Reactions
67 Replies
3K Views
Naomba kujuzwa kwanini homa homa nyingi za milipuko huwa lazima kesi zitokee jamhuri ya kidemokrasia ya kogo..mfano ebola,homa ya nyani,n.k
5 Reactions
15 Replies
753 Views
Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Msangano wilaya ya Momba mkoani Songwe wameiomba serikali kuwasaidia kutatua changamoto ya upatikanaji wa maji wakidai kuwa wamekuwa wakitumia maji pamoja na...
0 Reactions
0 Replies
490 Views
https://youtu.be/m9WGFYVzCvU Fuatilia yatakayojiri kwenye mkutano wa Rais wa TLS, Boniface Mwabukusi kwenye mkutano wake na waandishi wa habari, leo saa 4:00 asubuhi. Mwabukusi anazunguzia suala...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Bila wizi hii mishahara tusingeweza kufanya jambo lolote Ndo maana walimu wanalia Sana ni kwa sababu hawana sehemu ya kuokota . Hakuna MTU ambaye haibi wala kupiga dili .
40 Reactions
152 Replies
4K Views
Habarini waungwana Nimebadili mtindo wa mavazi lakini bado napewa salamu na wadogo zangu mtaani. Uzi wangu wa kwanza hapa JF nilisema kwamba wengi wanakosea kutafsiri umri wangu mitaani...
8 Reactions
69 Replies
3K Views
Ameandika Dkt. Gwajima D katika Mtandao wa X. Ndugu Wananchi, nimepokea 'Tags' nyingi za maoni na maswali kuhusu taarifa iliyotolewa na RPC mkoa wa Dodoma juu ya mwenendo wa shauri la 'Binti wa...
19 Reactions
114 Replies
5K Views
Kwa upande wangu madeni yamenifanya niwe na discipline ya hali ya juu, yaani extremely discipline kwenye pesa. Pia yamenifanya akili iwe active kwenye kufikiri mipango na yamezidi kunipa courage...
10 Reactions
18 Replies
2K Views
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, Mimi ni mwenyeji wa Mbeya mjini, kwa muda mrefu lakini mi ukweli sioni sababu za msingi za kuipatia Mbeya hadhi ya jiji yaani mji upoupo tu labda wajuvi...
12 Reactions
230 Replies
30K Views
Nabii mmoja yule alikuwa anasema Dar itasombwa na bahari. Ninekaa mikoani muda mrefu sana naogopa kuja Dar. Kumbe yule Nabii hajaona kitu chochote anasema,"Bwana kanionesha hivi usiku wa jana."...
9 Reactions
7 Replies
717 Views
Twende kazi. Mustakabali mzima wa maisha ya mwanadamu ni kupambana na mazingira yanayomzunguka na mwisho kufa. Ukiacha vitabu vya dini na ustahilishwaji kwa kutumia mema na mabaya ya nadharia ya...
1 Reactions
0 Replies
611 Views
Ninakumbuka siku moja nilikuwa nipo nipo tu wala sina kampani, ghafla wazo likanijia nikanunue fegi nijaribu mara moja tu nione ikoje. Kuanzia hapo mdogo mdogo nikaanza kupiga paf kila jioni na...
24 Reactions
137 Replies
7K Views
Pamoja na mabaya mengi yanayotajwa kutoka kwa Magufuli lakini kuna mahali tunafikishwa na viongozi wetu tunadhubutu kusema yule bwana alikua zaidi ya kiongozi. Kinachoendela sasa Amri ya serikali...
2 Reactions
4 Replies
430 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…