Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hii ni talent nyingine iliyopo Tanzania. Tuisupport kwa hali na mali. Huu ni mfano tu wa talents nyingi zinazopatikana katika nchi yetu. All the best. Nionyeshe Njia...
2 Reactions
4 Replies
596 Views
Inashangaza na kusikitisha jeshi la Polisi kuacha majukumu yake ya msingi na kuhangaika na Chadema wanaofanya kazi zao za kikatiba za kufanya siasa. Tunalitaka jeshi la Polisi hili siyo ombi wala...
35 Reactions
82 Replies
3K Views
Kwa experience yangu nimegundua kuwa kuna dhambi mtu akifanya tu kama hajatubu automatically anakuwa ameanza kufa ndani hivyo maisha yake yanapunguzwa au kukatwa kabisa. Siwezi kukuorodheshea aina...
1 Reactions
6 Replies
365 Views
Habari njema Matajiri Wawekezaji, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza na kufanya uwekezaji kwa hatua ndogo ndogo na kujenga utajiri kwa...
1 Reactions
1 Replies
632 Views
Watanzania tumekuwa makatili sana hapa naona dada mmoja anaitwa esta anaohojiwa UTV akiwa haoni baada ya mumewe kumtoboa macho yote mawili bado haoni . Mume baada ya tukio hilo amepotea...
13 Reactions
72 Replies
2K Views
Za sahizi binadamu wenzangu. Nipo Dar es Salaam Nilikuwa nauliza ni restaurant au hotel gani ninaweza kupata WIFI yenye kasi sana na ambayo ina GB nyingi nina ma file ninayotakiwa ku download...
11 Reactions
67 Replies
5K Views
Uzi uwe mfipi kabisa. Nimefuatilia miamala yangu 6 ya kununua umeme ya mwishoni mwezi huu nimeona kuna tozo ya kununua umeme kwa njia ya simu (airtel money) ila haitajwi ni salio linakatwa tu...
0 Reactions
2 Replies
999 Views
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Usidanganywe na porojo zisizo na kichwa Wala miguu kuhusu kile kinachoitwa Haki za binadamu, sijui Serikali, sijui Sheria Kali, sijui uwèpo wa Mungu. Usije...
17 Reactions
215 Replies
5K Views
MTU AU KIONGOZI MWENYE KUILETEA KEJELI ELIMU, MTU HUYO ANAKUWA NA CHEMBE CHEMBE HAI ZA KISHETANI MADHARA YAKUKOSA ELIMU SAHIHI YAMEPELEKEA WATU WENYE ROHO MBAYA KUISHI HAPA DUNIANI WAKIWA NA RAHA...
4 Reactions
5 Replies
625 Views
Kwa kawaida, kazi ya mwanzo na muhimu sana ya vyombo vya ulinzi na usalama ni kulinda amani na utulivu wa watu, mali na makazi yao, bila kutumia nguvu. Vyombo vya ulinzi na usalama duniani kote...
0 Reactions
8 Replies
733 Views
Pumzika Kwa amani father A. Sikuelewa maana ya usumbufu wa ijumaa jioni na jumamosi karibu masaa sita. Ulikua unasema unatupatia basics za maisha kiukweli tulikua na miili iliyojengeka hadi leo...
6 Reactions
16 Replies
912 Views
Biashara ya mabasi ya abiria kwa Dunia ya leo si ya kushadadia ma mbio yasiyo na tija bali ni akili yenye wingi wa ubunifu ndaniye kwa mambo yatakayomvutia abiria taraji. Mfano Sauli ni wazi...
11 Reactions
90 Replies
7K Views
Meshaki Daudi (20) mkazi wa Kitongoji cha Makanisani Kata ya Lamadi, wilayani Busega Mkoani Simiyu, amefariki kwa kudaiwa kupigwa risasi na Jeshi la Polisi, lililokuwa katika oparesheni ya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuwapenda Adui Zetu Katika Maisha ya Kila Siku Katika mahubiri yake, Yesu alisema, “endeleeni kuwapenda adui zenu” (Mathayo 5:43-44; Luka 6:27, 35). Maneno haya yanamaanisha tunapaswa kuwatendea...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu Ni siku ya tatu leo niko iringa mjini..ebana huu mji una mbu wengi tofauti na nilivyodhania. Hapa nilipo ni baridi lkn kuna mbu sio poa.. Nauliza ni sehemu zote hapa iringa mjini kuna mbu...
3 Reactions
12 Replies
791 Views
Yajuaee maandiko yatajuweka huru Hata siku moja uongo auwezi kuuzidi ukweliui Tumekombokewa kwa Damu ya Yesu tu Hatujakombokewa na vitu vinavyoharibika Usidanganywe na sadaka ya ukombozi hioo...
9 Reactions
6 Replies
427 Views
"Wakati nipo Form One nilianza biashara ya kuuza Big G pale shopaz ili nimsaidie mama kupata ada. Nilikutana na Jakaya Mrisho Kikwete wakati huo akiwa Waziri wa mambo ya Nje. Mimi nilikuwa mtu wa...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Akizungumzia maandamano yaliyotokea Lamadi, Mkuu wa Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, Faiza Salim amesema athari zilizotokea baadhi ya Viongozi kushambuliwa kwa kupigwa mawe akiwemo yeye (Faiza)...
6 Reactions
82 Replies
6K Views
Ilishawahi kukutokea kutuma ujumbe, picha au video au documenti yeyote kwa mtu usiyemkusudia kwa bahati mbaya kupitia programu ya WhatsApp? kama huwa unapatwa na matatizo hayo sahau kabisa kwani...
1 Reactions
57 Replies
11K Views
Ukimuangalia KFC anazeeka na ujasiliamali wake wa Migahawa, Ukimuangalia Warren Buffet anazeeka na ujasiliamali wake wa uwekezaji na alianza kutoboa akiwa mzee. Ukienda mjini Unakuta na vibabu na...
7 Reactions
34 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…