Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kamati ya Mawasiliano, Ardhi na Nishati ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar imeridhishwa na Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Msalato jijini Dodoma ambapo ujenzi wake umefikia asilimia 72...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu habari za siku nyingi? Bila kupoteza muda ni kwamba tunaishukuru Serikali yetu kwa kutusaidia kupata soko la mahindi lakini tunalia na NFRA.Siku ya jumanne iliyopita,tarehe 24/07/2024...
9 Reactions
30 Replies
2K Views
Kuna ishu inanchanganya kidogo Yani ukitaka ku apply green card lottery wanasema kama hujafika high school inabidi uwe na work experience ya miaka miwili, so naomba kueleweshwa zaidi iwasaidie na...
2 Reactions
1 Replies
349 Views
Image source: Pinterest Kumekuwa na tatizo la wazazi kulaumiana katika kusimamia maendeleo ya mtoto shuleni. Hivyo kurudisha umoja ili kufanikiwa kumjenga mtoto Na wakati mwingine mzazi...
1 Reactions
1 Replies
686 Views
Katika kuadhimisha Miaka 60 tokea kuanzishwa kwa Hifadhi ya Taifa Mikumi, Hifadhi hiyo imetajwa kuchangia mafanikio makubwa katika Sekta ya Utalii nchini huku yakitajwa kuchangiwa na jitihada...
0 Reactions
0 Replies
480 Views
Huu mtindo wa kuvaa miwani mikubwa iliyopitiliza(oversize) kwa wanawake wengi wa mjini huwa una maana gani?
0 Reactions
1 Replies
323 Views
Kumekuwepo na malalamiko makubwa kuhusu uwekezaji uliofanyika katika soko la CCM Katoro Geita, Wapangaji waliolipia vyumba katika soko hilo mwekezaji alidai kwamba wanalipia kwa kununua saiti...
0 Reactions
1 Replies
580 Views
Conflicts of interest between domestic and tourism demands have once resurfaced in the construction of tarmac road linking Arusha and Mara regions. This time it was residents of Ngorongoro who...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nafikiri anytime soon matumizi ya kadi yataanza ktk vituo vya mwendokasi,je elimu imetolewa? Huduma si mpya japo kutakuwa na maboresho kadha wa kadha. Nasikia kadi itakuwa inauzwa 5k iyo ni bado...
1 Reactions
8 Replies
566 Views
Huu msemo nineukuta kigoma hapa maeneno ya ujiji, nilienda kutembelea njia za watumwa, Livingstone n.k nimeambiwa story ya mzee mmoja aliekuaa anaitwa juma njemba huyu jamaa nasikia alikua noma...
1 Reactions
5 Replies
605 Views
Shauri la maombi ya marejeo limefunguliwa katika Mahakama Kuu, Kanda ya Dodoma dhidi ya mawakili na washtakiwa katika kesi ya jinai ya kubaka kwa kikundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti...
0 Reactions
2 Replies
756 Views
TUFANYE KWAMBA WOTE WALIKUBALI WATASHIRIKI MDAHALO HUU. SWALI Je kulikuwa na makubaliano yoyote kwamba kama hatoshiriki Dr nchimbi basi waliobaki wote wasishiriki ? mjadala huu haukuwekwa...
5 Reactions
34 Replies
1K Views
Kuna watu sasa ulevi umesha affect maisha yao socially, spiritually, afya na economically. Yani kuna watu hawanywi kwa ajili ya msisimuko ila wanazama ndani ya pool ya pombe. Hebu saidia watu...
3 Reactions
65 Replies
3K Views
Wataalamu Kuna Co-worker mwenzangu WA kike ana tabia ya kutafuna nyuzi za nguo yaani akija kazini utasikia tu anatafuna nyuzi za nguo yaani anazikata kwenye nguo anatafuna ila amezi ila anapenda...
1 Reactions
3 Replies
278 Views
Hello Jamiiforums Kichwa cha habari kinajitosheleza, wadau na wanywaji wa pombe wote najua tumekuwa tukikutana sehemu tofauti tofauti ili kupoza mioyo (kumwagilia moyo) huku tukiipa miili yetu...
29 Reactions
114 Replies
3K Views
Habarini. Zimepita siku kama tano tumekosa maji ya DAWASA huku kwetu, jana usiku yalivoanza kutoka angalau hapa home tumepata ahueni. Kisima ni muhimu kwakweli. Aisee maji yananuka, sijui huko...
0 Reactions
8 Replies
953 Views
Anonymous
Kuanzia mwezi Julai mwanzoni mpaka sasa manispaa inayohusika na maeneo ya Makumbusho wanatoza gharama kubwa kwa ajili ya matangazo wanayobandika wafanyabiashra kwenye milango yao ya maduka bila ya...
2 Reactions
6 Replies
535 Views
Kanumba (GOAT) wa filamu Tanzania Diamond (GOAT) wa Muziki Tanzania Samatta (GOAT) ktk Mpira Tanzania Hawa ndo vijana ambao Tangia TAIFA la Tazania liwepo wameonesha kuwa Sky is limit ✊🏿
0 Reactions
6 Replies
696 Views
Ushawahi kujiuliza utajiri maana yake nini? Kwa mujibu wa biblia solomoni alikua mtu tajiri sana yeah tajiri wa vitu, madini, wanawake na hekima. Lakini alikufa akiwa na uchungu mwingi, alikufa...
9 Reactions
28 Replies
1K Views
Kumekuwa na tabia ya madaktari kuwatoa wagonjwa wodi za hospitalini hapo na kwenda kuwafanyia upasuaji kwenye Dispensary zao tena kwa gharama kubwa sana.
1 Reactions
13 Replies
772 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…