Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndugu zangu, kuna ukweli hapa kuwa ukiwa na roho nzuri sana, ni nadra sana kufanikiwa kimaisha? Binafsi kwangu naona ili ufanikiwe kimaisha pale unapopata nafasi, kazi/ biashara inayokupa kipato...
12 Reactions
31 Replies
4K Views
Wakuu hivi ile foleni inayotokeaga maeneo ya Tegeta mpaka Bunju huwa inasababishwa na nini? Maana huwa ni kubwa na haiendi. Unaweza kutumia masaa matano kujongea kidogokidigo lakini ukifika mbele...
0 Reactions
4 Replies
524 Views
MIAKA 60 YA HIFADHI YA TAIFA MIKUMI YAZAA MAPINDUZI MAKUBWA SEKTA YA UTALII Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Hifadhi ya Taifa Mikumi imeleta mafanikio makubwa katika Sekta ya Utalii nchini yakichangiwa...
0 Reactions
0 Replies
453 Views
Kila ukifika umri fulani na hadhi fulani unapaswa kubadilika pia kwenye mtindo wa maisha na hata watu wanaokuzunguka ikiwezekana pia wabadiliilishe kama unaona kabisa wanaweza kuleta shida kwenye...
6 Reactions
6 Replies
474 Views
Mkuu wa Mkoa, Queen Sendinga amesema ajali iliyotokea jana Agosti 31, 2024 ikihusisha Costa iliyobeba Wanafunzi wa Shule ya Endasak Sekondari na Lori la mizigo lililokuwa linatokea Burundi...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Ajari mbaya imetokea leo asubuhi njiani kuelekea Dodoma mjini Majeruhi ni wengi idadi ya vifo bado hijajulikana. Ni kati ya coaster na kimbinyiko MUNGU awape nafuu wote walio umia
6 Reactions
89 Replies
6K Views
1. Wanaoamini dunia sio duara bali ni tambarare(Flat earthers) 2. Wapinga chanjo(anti-vaxxers) 3. Wanaomini benki au pesa zote duniani ni mali za Rothschild au sijui Wayahudi gani fulani huko...
9 Reactions
30 Replies
1K Views
Leo tena wameenda kanisani kumuangamiza adui yuleyule waliyemuangamiza wiki iliyopita ... Mi nawaambia hawa watu ni VICHAA... !!!
7 Reactions
35 Replies
1K Views
Rasmi sasa ili kua wakili sio lazima kusoma shule kuu ya sheria
16 Reactions
165 Replies
10K Views
Straight to the point;- Dah huyu mwamba Mshana Jr ..kuna mambo anaandika..and you guys need to read them in between the lines... And i tell you what...kuna sentence yake moja niliisoma katika...
29 Reactions
66 Replies
5K Views
Anonymous
Mimi ni mwanafunzi nimemaliza Diploma katika chuo cha CBE, changamoto yangu kubwa hawataki kupeleka matokeo yangu NACTE ili niweze kuapply AVN namba niweze kuendelea na degree. Nimejaribu kwenda...
0 Reactions
2 Replies
696 Views
Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza masuala ya Law school, ikiwemo wanafunzi wengi kufeli mitihani, anapaswa kuwa mtu Muungwana, Mtulivu, Msikivu na asiye na makuu, anapaswa kuwa mkweli, Mwakyembe...
43 Reactions
148 Replies
11K Views
Ndugu Wana jukwaa wasalaam!! Nimechungulia mtandao wa X almaarufu Twitter nimekutana na bandiko la BUYOBE akieleza tukio la Kijana raia wa Msumbiji kuhamia Afrika Kusini na kuwa kibarua mtiifu...
1 Reactions
1 Replies
573 Views
Kuna mwamba mmoja nadhani ni yule tajiri wa mabasi Zakaria alitaka kutekwa na wasiojulikana kipindi cha JPM, jamaa alitembeza risasi ndio ikawa pona yake. Mwanaume kamili kule kijijini nyumbani...
2 Reactions
3 Replies
313 Views
Habari wana JamiiForums, napenda kuiomba Serikali kufuatilia kero na kelele inayosumbua sana maeneo ya (Kahama/Lugera/Mnazi mmoja). Kumekuwa na makanisa mengi maeneo hayo, lakini kuna kanisa...
6 Reactions
58 Replies
2K Views
Wakuu kwema , Nimefungiwa laini yangu ya tigo kwasababu ety watu wengine hawajalipia huduma hio , kwanini wasifungiwe wao tu. Wakuu mliowahi kupitia kero hii naombeni njia ya kusovu hili
0 Reactions
0 Replies
316 Views
TANESCO wilaya ya Tarime wamekuwa siyo waadilifu kutekeleza majukumu yao, inashangaza wateja wanalipia toka mwezi wa pili mwaka 2024 mpaka mwezi huu wa nane hawajaunganishiwa umeme! Ukienda...
0 Reactions
6 Replies
731 Views
° Nimekuwa nikijiuliza, Masai wote hawa ni wakazi wa ngorongoro au wamewaita wenzao kutoka Kenya? ° Kwa wingi huu, je tuna urithi wa kujivunia pale ngorongoro? ° Tuweke siasa pembeni, twende na...
7 Reactions
41 Replies
2K Views
Mchungaji Kiporoza amewataka Wananchi kupendana na kutendeana Wema badala ya Watoto kupotea potea kama ilivyo sasa Mchungaji amesema binadamu wote tumeumbwa na Mungu wa mbinguni hivyo wewe...
0 Reactions
1 Replies
255 Views
Ukitembea na kuongea na watu kwa unyenyekevu unapata vingi. Alhamdulillahi baada tu ya kutoka msikitini mchana huu wa adhuhuri nimepitia kijiwe cha kahawa kutia joto mwili kabla sijaendelea na...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…