Taasisi ya ustawi wa jamii tunawaomba mrekebishe mtandao wenu kwani haifunguki na hata kufunguka ni kwa shida.
Mnawasumbua wanafunzi wanaotaka kusoma katika chuo chenu muache kujiendesha kwa...
Mtoto mchanga wa wiki mbili aliyechomwa kisu na kisha utumbo kutoka nje na mama yake kuuawa akiwa amelala, amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini...
1. House girl awe na siku moja kila wiki ya kupumzika masaa 24 - Ndani ya nyumba nyingi house girls kageuka roboti anaefanya kazi kila siku alfajiri mpaka usiku.
2. House girl ahusishwe kwenye...
Mama mmoja mkazi wa Kibaha Msangani anaiomba serikali iweze kumsaidia kupata haki ya mtoto wake wa kiume anayesoma darasa la tano baada ya kulawitiwa na rafiki wa baba yake ambaye kwa sasa...
PUTS na PHTS zote ni salary scales za wahadhiri wa vyuo vya elimu ya juu hapa Tanzania. Naomba kujuzwa virefu vyake na tofauti ya malipo kwa wahadhiri wawili wenye rank sawa mfano; Junior Lecturer...
Wakati vyama na wadau wakianza kujiweka mguu sawa na uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika baadaye mwaka huu, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kina hakika wa kupata ushindi wa kishindo...
Habari za muda huu wadau, hapa kazini kwetu kuna watu wamekuja wanataka kutupa mikopo kwa riba ndogo sana kiasi kwamba kwa mshahara wangu ninaweza kupata mpaka million 50 kwa miaka mitano.
Sasa...
Akili Mnemba ni teknolojia iliyosambaa ulimwenguni ikiwa imerahisisha kazi za binadamu kutokana na kwamba inaweza kufikiri kama binadamu. Lengo la AI ni kuweza kufanya mambo kama vile kutambua...
Mwanadada mmoja kutoka india aliyeandika zaidi ya vitabu 16 kwenye story page yake, moja ya hoja aliyoandika ni kuhusu maisha ambapo alisema mtu akiwa hana mpango wa kuweka ratiba kwenye life...
Naomba tu kujuzwa Jaji mkuu mstaafu mh Mohamed Chande Othman ana wadhifa gani huko Umoja wa Mataifa
Nimeona akiongea mbele ya Bendera ya UN
Ahsanteni Sana 😃
Na NIRC IRINGA
MKURUGENZI Mkuu Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Raymond Mndolwa amewataka wakandarasi wanaojenga mradi wa Umwagiliaji Skimu ya Mkombazi Mkoani Iringa kuongeza kasi ujenzi wa miradi...
Uchawi upo. Jambo la ajabu kwa sasa nimepata kesi zaidi ya tano ndugu kurogana.
Yaani kuna moja mama hataki kuona vijana wa kike na wa kiume wa wanatoboa.
Ndugu wanafichana mambo na kila mmoja...
Leo sijui kumetokea nn kwenye mitandao Ya kijamii yaani clipu fupi fupi za mzee wa upako na dudu baya wakitema nyongo zao juu ya bunge hili la spika Tulia
Mzee wa upako yeye alifika mbali kwa ssa...
WAZIRI BALOZI DKT. PINDI CHANA ATETA NA UJUMBE WA BENKI YA DUNIA
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka Benki ya Dunia...
Hbr zenu wandugu,
Bila shaka mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku. Pia nawatakia sikukuu njema ya uhuru .9 Desemba.
Ndugu zangu mitihani ya maisha ni mingi mno ila pamoja na wingi...
Stadi laini (soft skills) ni ujuzi usio wa kiufundi ambao mtu anamiliki na hutumika katika mawasiliano, kushirikiana na wengine, na kutatua matatizo katika mazingira ya kazi au kijamii. Ni muhimu...
Wana-Jukwaa habari ya muda huu, naomba kufundishwa jinsi ya kupata hati miliki ya nyumba, baada ya kuandikishana kwenye kitongoji husika sasa nahitaji kupata Hati Miliki
Natanguliza shukurani.
Wasalam ndgu zangu,
Naombeni kwanza kudeclare interest kuwa mimi ni mtu ninapenda balance katika kuhukumu historia na utamaduni wa watu.
Kumekuwa na ujumla wa mawazo katika kusemea mambo...
TANAPA yapongezwa kwa hatua zake za kuboresha barabara za Serengeti kwa ufanisi zaidi, hatua ambazo zinaonyesha kujitolea kwake katika kuhakikisha utunzaji wa mazingira na maendeleo ya sekta ya...
Habari zenu wakuu
Naomba kufahamishwa kuhusu agencies zilizo chini ya TAMISEMI ukiachana na Halmashauri, Manispaa na Majiji
Je , TAMISEMI zina agencies zake zingine ambazo zinasimamia??
Uzi tayari