Kwa Niaba ya wahudumu wa afya ngazi ya jamii (C H Ws) BUKOBA MANISPAA, MKOA KAGERA. Tunawashukuru sana Uongozi wa JamiiForums .
Baada ya kuripoti changamoto yetu February 2024 ya madai Ya posho...
Inakuaje vyuo vyote Tanzania kasoro vyuo vi chache ma lecturers ku-lecture kwa kutumia lugha ya kiswahili through out the lecture period, ila akitunga mitihani ni kiingereza kigumu cha misamiati...
Wanawake wenye tabia hii huwa mnafikiria nini? Nimekaa sehemu nakusubiri kipenzi changu unakuja na watu zaidi ya wanne unatagemea nini? eti mashosti.
Mtakula na kunywa mwaisho wa siku najifanya...
Jeshi letu pendwa limekuwa likishirikiana vizuri na wananchi huko nyuma katika kufanya kazi za jamii mbali mbali
Ombi letu kwa jeshi letu tukufu tar 23 najua wengine tunaenda kusakanya hela...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema baadhi ya maeneo ya mikoa ya Dar es Salaam, Tanga, Lindi, Mtwara, Pwani ikijumuisha visiwa vya Mafia pamoja na Uguja na Pemba yatapata mvua nyepesi...
Leo tunakuzwa katika misingi ya kujitetea na kukwepa kuwajibika karibu katika kila eneo. Hatujifunzi na hatutaki kukubali kuwa tunapaswa kuwajibika asilimia mia moja juu ya maisha yetu na badala...
Katika harakati za mahusiano kuna changamoto nyingi.
Mtu anaweza kukuacha kwa sababu ndogo tu mfano,
Huna hela kwa kipindi fulan. Akakimbilia kwa mwingine anayefikiri ni bora zaidi.
Tamaa ya mali...
Dhana ya mzazi huwa hakosei ndo imesababishwa familia nyingi kuishia katika umasikini wa kutupwa .
Ukiona mtu anaenda kinyume na maadili awe mzazi we mwambie ukweli mapema
Hakuna laana...
Salaam,
Kuna watu ushamba ni life style yao bt wao si washamba ni watu smart.
Kuna mtu, nafahamiana nae kitambo, kutokana na life style yake ya kishamba, nilijiaminisha ni bonge la mshamba...
Wazazi wanaogopa kuonekana wazembe Pindi Watoto wao wakipotea
Hivyo hadi uswahilini Watoto wanapelekwa Kayumba na Wazazi wao
Mungu wa mbinguni Utuhurumie sisi
Siku ya Usalama wa Wagonjwa Duniani ni maadhimisho ya kila mwaka ya tarehe 17 Septemba, iliyoanzishwa na Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) ili kuongeza uelewa wa kimataifa kuhusu usalama wa...
Mkulima wa Tanzania ni mtu asie thaminiwa kabisa hata kidogo. Hii imefanya kuonekana kilimo hakika tija. Hata umshauri kijana akitoka SUA ajikite kwenye kilimo Bado hata kuelewa.
Hapa kitaa kuna...
Nimejaribu kufuatilia michakato ya usajili na uajiri wa vyombo mbalimbali vya ulinzi na usalama.
Kikubwa nilichokigundua ni kwamba mfumo wa uajiri wa JWTZ bado ni wa kizamani sana, jambo ambalo...
Kijiji cha Namalembo kinapatikana kata ya Msikisi wilaya ya Masasi mkoani Mtwara. Shughuli kubwa ya kiuchumi kwenye kijiji cha Namalembo ni Kilimo huku Mahindi na ufuta ikiwa ni mazao yanayolimwa...
Hivi maana halisi ya Dotto na Kulwa ni nini? Au chimbuko lake ni nini? Kwa sababu mimi niliambiwa ni mapacha ambao hawafanani ndio wanaitwa Dotto na Kulwa; au watu wanaofanana je ni kweli?
Watu watatu wameuawa, huku mama mwenye nyumba akijeruhiwa na watu wasiojulikana katika Mtaa wa Segubwawani, Kata Nala jijini Dodoma.
Waliouawa ni watoto wawili wa familia moja ambao miili yao...
Ee Mungu Baba wa rehema mjaza neema ndogo ndogo na kubwaa unayejibu kwa Moto
Ahsante kwa kuwa unajibu sawa sawa na maombi yetu
Kamwe hujawahi kushindwa kamwe hujawahi kumwacha mtu wako...
Haya sasa naomba kujua tofauti ya Ukatili na Mauwaji yanayotokea sasa Mikoa ya Dodoma, Dar es Salaam na Kilimanjaro na yale yaliyokuwa yakitokea Mkoa wangu wa Asili (wanakotoka Watu wenye Akili...