Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jukwaa la Kidigitali katika Uhakiki wa Taarifa la JamiiCheck linaloendeshwa na JamiiForums limeshinda Tuzo ya U.S.-Tanzania Tech Challenge iliyokuwa ikiwaniwa na Taasisi 113 za Kiteknolojia kutoka...
7 Reactions
20 Replies
1K Views
Historia na Uteuzi Hamad Masauni aliteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Rais Samia Suluhu Hassan mnamo Januari 10, 2022. Kabla ya uteuzi wake, Masauni alikuwa na uzoefu wa muda mrefu katika...
1 Reactions
4 Replies
587 Views
Moja kwa moja niende kwenye mada tajwa hapo juu. Mkurugezi kwa kushirikiana na afisa elimu halmashauri ya Kibaha mji wamewasimamisha kazi walimu wapatao watano wa shule moja ya Mwambisi sekondari...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Wanabodi, Kumekuwa na hii habari nimekuwa nikiisikia mara kwa mara hivyo nimeleta hapa jukwaani kwakuwa wajuzi wa mambo mi wengi. Je, ni kweli huyu IGP mstaafu alikuwa anamiliki na pamoja na...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Wakuu kuna taarifa zinasambaa mjini Arusha na viunga vyake kwamba baadhi ya askari wa jeshi la polisi mkoani Arusha wanashangilia kila kona kuondoka kwa RPC SABAS na OC-CID MAFWELE hapa mjini...
5 Reactions
25 Replies
4K Views
Mafwele Makubi alinifundisha shule ya Sekondari Geita mwaka 2004. kisha alihamia Magu. tangu hapo sijawahi kumuona mpaka leo. nimejikuta nina shida naye kubwa sana. yeyote anayeweza kunisaidia...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu waungwana, leo nimeona nifunguke hapa ili niweze kushea nanyi mambo nilyoyaona baada ya kufanya critical thinking ya hali ya juu Natambua watu wetu wa intelejensia wameshaliona hili...
4 Reactions
7 Replies
648 Views
Kuna uhusiano gani kati hizi international schools na tabia ya mtoto? 99% ya watoto ninaowajua they are bad mannered,at least by our local standards of good conduct.
0 Reactions
7 Replies
653 Views
A Our Solar System a.( Planets circling the sun) The Sun 1. Mercury 2. Venus 3. Earth 4. Mars the asteroid belt 5. Jupiter 6. Saturn 7. Uranus 8. Neptune Mpaka hapo nadhani tuko pamoja. Pleiades...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu Nanunua Sungura wa porini kwa bei nzuri sana. Kama ww n muwindaji au unaweza kuwapata nitafute tufanye biashara. Bei 50000/= mmoja Nipo Mwanza. Watu wa dar mtulie haya si mambo yenu
9 Reactions
48 Replies
2K Views
Nimeona tukumbushane hili najua n tatizo la kila ukoo hivi karibuni pale mtu anapopata shida tunashindwa kusaidiana anapokufa ama kuteseka ndio tunaanza kukimbizana Leo nilikuwa kwenye msiba...
12 Reactions
19 Replies
614 Views
ZINGATIA HAYA UNAPONUNUA SIMU ILIYOTUMIKA AU KWA MTU 1. Angalia IMEI namba kwa Android na IMEI/MEID namba kwa iPhones, na zitumie kuhakikisha simu sio ya wizi 2. Kagua iwapo simu iliwahi...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wale wenzangu tuliozaliwa bongo bahati mbaya tunataka kwenda kanani, basi serikali ya Marekani imetangaza rasimi kuwa wale wote wanaotaka kwenda marekani kuwa wa kazi wa kudumu mnatakiwa...
41 Reactions
528 Replies
53K Views
Toa\taja tofauti tano (5) kati ya 1)Aliyeona akikusimulia na, 2)aliyesikia akikusimulia Mimi nitaanza kwa kujibu tofauti ya kwanza. A} ALIYEONA AKIKUSIMULIA B} ALIYESIKIA AKIKUSIMULIA...
4 Reactions
35 Replies
993 Views
Kuna tukio limetokea hapa mtaani kwetu Monduli, Arusha, kuna Watoto wawili walipotea katika mazingira ya kutatanisha siku kadhaa zilizopita. Leo tarehe 19, Septemba 2024 mmoja kati ya Watoto wale...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Kuna unregulated PA advertising ambayo karibia kila saa inapita hapa katikati ya mji. Kuna haja iundwe mamlaka inayosimamia au ku regulate matangazo ya kibiashara. Ni kero kubwa sana.
1 Reactions
14 Replies
846 Views
Lau nitataka kufungua biashara leo, nikienda TRA nitapata kila kitu kwa maana TIN na Tax Clearance pasipo tabu yoyote. Tena hatumwi hata afisa kuja kuona hiyo biashara. Kimbembe ni pale utapotaka...
2 Reactions
2 Replies
591 Views
Ndivyo ilivyo siku zoke hakuna malaika mwanamke na hakuna mitume wanawake, wanaojitakia waendelee kuyaoga maji yao. Kwenye ulimwengu wa majini na mashetani ndio uliko Utawala wa Mwanamke. Kwenye...
5 Reactions
12 Replies
490 Views
Yafaa Rais ajae wa Tanzania awe Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi ili kuimarisha zaidi muungano 1. Nyerere - Bara Makamu wa Rais -Zanzibar 2. Mwinyi - Zanzibar Makamu wa Rais - Bara 3. Mkapa - Bara...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…