buswelu moja
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 226
- 180
Wakuu kuna taarifa zinasambaa mjini Arusha na viunga vyake kwamba baadhi ya askari wa jeshi la polisi mkoani Arusha wanashangilia kila kona kuondoka kwa RPC SABAS na OC-CID MAFWELE hapa mjini, wengi wanasema kwamba kuondoka kwa watu hao ni furaha kwao kwa kuwa baadhi yao walikuwa wakikamata biashara za magendo mpakani mwa Tanzania na Kenya eneo la Namanga zilizokuwa zikiingia Arusha baadhi ya wafanyabiashara wa magendo walikwua hawaguswi kwa kuwa wanawalinda.
Mfano mojawapo ni gari aina ya FUSO lililokamatwa eneo la Mbuga ya Chumvi na lingine Arusha yakiwa yamepakia simu kutoka Kenya za magendo na walipokamatwa waliwapigia simu SABAS na MAFWELE ambao waliamuru yaachiwe na kisha askari waliokamata bidhaa hizo waliswekwa ndani ya amri za wakubwa hao,kwa sasa Arusha ni kicheko tuendelee kufuatilia taarifa hizi, wasalaam.