Je, ni kweli IGP Mahita alikuwa anamiliki kikundi cha ujambazi?

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Sep 30, 2015
1,526
3,802
Wanabodi,

Kumekuwa na hii habari nimekuwa nikiisikia mara kwa mara hivyo nimeleta hapa jukwaani kwakuwa wajuzi wa mambo mi wengi.

Je, ni kweli huyu IGP mstaafu alikuwa anamiliki na pamoja na kushirikiana na vikundi vingine vya ujambazi?

Wajuzi wa mambo karibuni
 
Ndo nasikia hii, japo huwa kuna tuhuma za police kushirikiana na majambazi
 
Ninacho kumbuka miaka hiyo ni Lema kuwa jambzai wa magari
 
Ninacho kumbuka miaka hiyo ni Lema kuwa jambzai wa magari
1. Kama Lema alikuwa Jambazi wa magari kwa wakati huo je IGP alikuwa nani na ndiye aliyetakiwa kumkamata na kumchukulia hatua?Je alifanya hivyo?

2. Kama Lema alikuwa Jambazi je ni kweli wananchi wa Arusha mjini wao JAMBAZI ndio chaguo lao kwa kuweza kumchagua kwa vipindi vya miula miwili?

3. Je unaweza kutuwekea jina la mtu hata mmoja ambaye aliwahi kuibiwa gari na Lema akatajwa kama mwizi wa gari hilo?

4. Je unaweza kutuambia sababu zilizomfanya IGP mtajwa hapo kuondoa silaha katika vituo vya Polisi vya Tarafani na katani?
 
Wanabodi,

Kumekuwa na hii habari nimekuwa nikiisikia mara kwa mara hivyo nimeleta hapa jukwaani kwakuwa wajuzi wa mambo mi wengi.

Je, ni kweli huyu IGP mstaafu alikuwa anamiliki na pamoja na kushirikiana na vikundi vingine vya ujambazi?

Wajuzi wa mambo karibuni
Hizi tuhuma hata mimi nimezisikia sana,na inasemekana vikundi hivyo, ikiwa ni pamoja na wauza "unga" walikuwa wanaji-mobilize na kumuingizia fedha kwenye akaunti yake.Hata hivyo tuhuma za askari Police kushirikiana na majambazi na hata kufanya ujambazi moja kwa moja,haziko kwake tu,ziko kwa askari karibu wote.

Nikiri kwamba huyu bwana tunafahamiana,na huwa naongea ongea pia na ndugu zake wa karibu,wanakiri kwamba katabia hako ndugu yao anako.
 
Labda alikua anakula na baadhi sahani moja ili kuweza kuwakamata wengi zaidi
 
Wale wanaobisha vitu vinavyoletwa humu huwa nawashangaa sana
huku kuna watu wa kila kitengo kwanzia serekali za mitaa mpk serekali kuu kwahio mada ikija ww kaa tafakari kwanza kabla ya kuleta maneno ya kanga.

Kuna mada moja niliiona humu kuhusu simu kuanza kutumia wireless ila kuna watu walibisha

Pia kuna watu walibisha hakuna gari zitakazokuja tumia gas au umeme ila now day nahisi wanajionea aibu

Rejea EPA na Richmond kuna watu walisema uongo mwisho wa siku walifinga midomo yao
 
hayo n maneno hata kova tuliambiwa alipanga pale posta akitoka job anaenda kuwapanga majambazi leo wavamie wapi ila ulikuwa maneno tyuu
Una uhakika gani kuwa yalikuwa maneno tu mkuu.Police wako too daring,inawezekana kuwa kweli.
 
Wanabodi,

Kumekuwa na hii habari nimekuwa nikiisikia mara kwa mara hivyo nimeleta hapa jukwaani kwakuwa wajuzi wa mambo mi wengi.

Je, ni kweli huyu IGP mstaafu alikuwa anamiliki na pamoja na kushirikiana na vikundi vingine vya ujambazi?

Wajuzi wa mambo karibuni
Ndiyo ni kweli kabisa.
 
Yaani huyu mzee Mungu anamuona, naikumbuka ile issue ya visu vilivyokamatwa bandarini akasingizia CUF!!!
 
Jamani mwachieni Mzee wa watu ajipumzikie zake, Majambazi walioba Vijisenti, Escrow hamuwasemi.
 
tafuta marehemu babu sambeke malya
tafuta jamaa wa asante tours
tafuta sambuozz
tafuta steven mangeu aka mangeu
tafuta alex masawe

haha ngoja nipate lunch nitaendelea na list wanajua mkuu wao wa kazi alikuwa nani
 
Back
Top Bottom