Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tangu kuanzishwa kwake, Tume ya utumishi wa mahakama imekuwa ikiajiri mahakimu kwa kufuata utaratibu wa michujo na kuwachagua wale waliofuzu kwa vigezo stahiki kupitia tangazo maalumu na la wazi...
0 Reactions
0 Replies
651 Views
wasalaam ndugu zangu Niende moja kwa moja kwenye mada :Je, ni ipi asili au mila za mwafrika ? Kumekuwa na maneno utasikia ''sisi tuna mila zetu '' ''Tuna tamaduni zetu kabla ya kuja wakoloni "...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Mzee Kibao alitekwa kwenye bus la kwenda Tanga, @godbless_lema ametekwa kwenye ndege na shirika la ndege likaa kimya na ABIRI wenye iPhone zao wakakaa kimya na wakaficha taarifa halafu kuna...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
1. Bunduki 2. Vilipuzi vya aina mbalimbali 3. Sumu za aina mbalimbali 4. Sitafuga nyoka wa biashara (sumu ya nyoka ni biashara nzuri) 5. Sitafuga nge kwa ajili ya biashara 6. Sitafuga samaki aina...
10 Reactions
68 Replies
3K Views
Na Mwandishi wetu. TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora nchini (THBUB), imebaini kuwa tuhuma za ukiukwaji wa haki za binadamu zilizotolewa na shirika lisilo la kiserikali la Mining Watch la...
0 Reactions
0 Replies
334 Views
Mzee Butiku anasema IGP, Mkuu wa Usalama wa Taifa, na hata CDF "wasitwambie hawajui". Lakini huenda hawajui! Ingawa kama ni kweli kwamba hawajui, maana yake ni kwamba hali ya Usalama wa taifa letu...
1 Reactions
1 Replies
411 Views
Watu watatu wamekutwa wamefariki dunia kwa kuchomwa moto na watu wasiojulikana eneo la msitu wa Hifadhi ya Korogwe Fuel, uliopo Kijiji cha Sindeni wilayani Handeni mkoani Tanga. Akizungumza na...
10 Reactions
105 Replies
10K Views
JKT LAWAITA VIJANA WA KIDATO CHA SITA MAKAMBINI Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa, Meja Jenerali Rajabu Nduku Mabele, tarehe 24 Mei 2024, ametangaza nafasi za Kujiunga kwenye Mafunzo kwa Vijana wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Medusa ni mojawapo ya wahusika maarufu katika mitholojia ya Kigiriki, ambaye alikuwa mwanamke mwenye nyoka kwenye nywele badala ya nywele za kawaida. Kulingana na hadithi, yeyote aliyemtazama...
4 Reactions
5 Replies
975 Views
Wakubwa shkamooni wadogo habari zenu..... Tujifunze ku normalize kuwaambia watu kwamba wana tu inspire kwa matendo yao au style ya maisha yao, kuliko kujaribu kuwa kama wao na kuanzisha...
3 Reactions
25 Replies
992 Views
Vijana wenzangu tukiwa ndo tunauanza mwaka 2023 si vibaya kupeana mbinu za utafutaji maana ujana wetu ndo utakao amuwa uzee wetu uweje. Watu wengi wamekuwa wakisema kuwa yakwamba ukitaka...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwema Wakuu! Nimesoma Uzi WA ndugu Covax unaowakataza kama siô kuwatahadharisha Wanaume kutokuwaanzishia Wake au Wenza waô biashara kwani lazima itafilisika. Ushauri wa Covax siô Sahihi Kwa...
9 Reactions
55 Replies
2K Views
Achana na wale unaokutana nao pembeni ya barabara wakihitaji msaada wa chochote, sikuhizi kuna ombaomba hawa ambao ukiingia kwenye mahusiano tu basi utaletewa matatizo chungu nzima. Nashauri...
3 Reactions
12 Replies
691 Views
Juzi nilienda kununua nyama maeneo fulani Dodoma. Nilipofika nilikuta bucha safi na la kisasa lakini nilishangazwa kuona hakuna tena lile gogo la mti la kukatia nyama muda huu nilikuta kifaa kama...
4 Reactions
52 Replies
3K Views
Hello! Mimi ni mtumishi wa Mungu, I know God. Sio mtumishi wa kuenenda kwa hisia. Hata nikimwombea mtu jambo siishii tu kumwambia amini utaponywa au utatendewa. Nitamwombea mpaka nipate jibu...
12 Reactions
27 Replies
1K Views
https://youtu.be/aKU5VNs6QYw?si=FJWd_arcRqBGZPVo
1 Reactions
1 Replies
287 Views
Najua wengi wenu mtakuja na majibu ya wazungu ni wezi mara mabeberu wanaonea Waafrika. Ila mnasahau adui na mwizi wenu namba moja ni yule aliyeko pembeni yako na licha ya kukuibia bado anakutoza...
4 Reactions
12 Replies
657 Views
Kwahiyo kumbe hata Mimi GENTAMYCINE nikienda Kuwatembelea Marafiki zangu wakubwa hapa JamiiForums akina Mtani wangu Arovera, mrangi, Bila bila, SAGAI GALGANO. rodrick alexander na Mjeda wangu wa...
6 Reactions
3 Replies
522 Views
Lakini sasa itakuwaje? Maana mentor tayari yameshamfika shingoni huko Marekani!
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Wadau mada yajieleza. Jumatatu ijayo nitakuwa igunga hadi alhamisi. Sasa kwa waijuao Igunga, nile na kunywa wapi na nilale wapi? Maeneo yawe mazuri sana. Asanteni.
0 Reactions
0 Replies
360 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…