Katika jamii yoyote huwa kuna utofauti wa vipato kiuchumi kwa makundi mbalimbali ya watu.
Sio jambo jipya kwamba kote duniani na hata hata bongo Wapo watu masikini kabisa, wa kipato cha kawaida...
Anaanfika Prof M. Martin Mhando
Profesa Ikaweba Bunting ni mtu wa kukumbukwa kweli.
1. Kama mtengeneza filamu alikuwa katika crew iliyotengeneza filamu ya kwanza kubwa Tanzania, Fimbo ya...
Salaam,
Dunia kwa sasa inakabiliwa na janga la mapenzi ya jinsia moja, jambo linalowapa wakati mgumu wazazi wengi kudeal nalo ajili ya uchache wa maarifa.
Kupitia mada hii, nitashare jinsi ya...
sikatai kweli utendaji kazi wa serikali upo chini ya kiwango lakini ikumbukwe sababu zinaweza kuwa ni nyingi.
Maslahi duni na kufanya watumishi kuchoka choka
Madeni waliyonayo yanawatia stress...
Wakuu Habari zenu?
Kuna kitu hapa kwa wageni wahalikwa kwenye mahafali ya wanafunzi wa kumaliza chuo kikuu au shule hizi za secondary. Hivi ni kwa nini wasialikwe watu waliofanikiwa kimaisha ili...
Kilmanjaro;Baada ya mateso ya Muda mrefu na Bila kusikilizwa kwa kero zao za barabara wananchi wa kata ya Machame Narumu katika Wilaya ya Hai wameamua Kuweka nguvu zao katika ukarabati wa...
Wakuu,
Maisha yanaenda kasi sana, kutokana na ubize inaweza kuwa masomo, kazi, uko jobless unabaingiza kuhakikisha unapata cha kukusogeza maishani, kiasi fulani ni kama mawasiliano na watu...
Na MWANDISHI WETU
WIZARA ya Kilimo imekubali yaishe kwa kuwa tayari kulipa shilingi bilioni 16 ili kuliokoa shamba la ushirika, Chauru, la wakulima wadogo wa Umwagiliaji Ruvu, lililopo Mkoa wa...
Mhe Rais TRA Arusha wameblock baadhi ya machines za EFD za wafanyabiashara hapa Arusha, sijajua ni Arusha tu au Tanzania zima.
Halafu ili wafungue kuna rushwa kubwa wanadai yaani kwa ujumla hili...
Inasikitisha sana kwa hali ya hewa ya leo kuna mtu anaenda kuambukizwa virusi vya Ukimwi, leo hii kuna mtu anaenda kubambwa na mke wa Mtu, Leo hii kuna mtu atapata mimba isivyotarajiwa na safari...
Baraza la Taifa na Elimu ya ufundi (NACTE), sasa limebadilishwa jina na litajulikana kama Baraza la Taifa la Elimu ya ufundi na mafunzo ya ufundi stadi (NACTVET), mabadiliko hayo yamefanywa...
Siku hizi kila mtu anaogopa meseji ya asilimia 75.
Matter of fact, siku hizi watu wananunua bando la internet roho zikiwa jujuu maana hawakawii kutuma ya meseji ya bando limeisha.
Vifurushi...
Wakuu habarini za weekend!
Kuna hili tukio la watu kunyolewa nywele usiku huku usukumani simiyu, kiukweli ni kitu kinanishangaza sana hadi najiuliza huwa inakuaje binafsi nina ushahidi wa watu...
Wakuu salam,
Chalamila ameelezea kinachopelekea ukosefu wa maji kwa wakazi wa mkoa wa Dar katika ziara ya Majaliwa wilaya wa Temeke iliyoanza leo Oktoba 5, 2024.
"Mahitaji ya maji katika mkoa wa...
Kijiji cha Ikondo kilichopo Kata ya Ikondo kupata huduma za afya za daraja la kwanza baada ya Serikali kutoa milioni 500 kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya matatu katika Kituo cha Afya cha Ikondo...
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeanza uchunguzi kubaini ukweli kuhusu tukio la visima vya maji katika kijiji cha Mnyundo kata ya Ndumbwe, Halmashauri ya Mtwara mkoani Mtwara...
Salaam wakuu...
Pamoja na pongezi zilizotolewa kwa serikali juu ya uamuzi wa kuwasaidia wanandoa waliopo mbali kuishi pamoja, Nina ushauri kutokana na baadhi ya waajiri kutokuwa waaminifu kwa...
Hilton alipoletewa ramani kwa ajili ya ujenzi wa hotel yake ya kwanza alihakikisha kila nafasi iliokuwa imeachwa wazi anaitengenezea kitu cha kumuingizia mapato.
Kama vile lobby iliokuwa imewekwa...
WAZIRI CHANA AZINDUA NEMBO YA ASALI YA TANZANIA
Na Happiness Shayo-TABORA
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amezindua nembo ya asali ya Tanzania itakayotumika...
Tanganyika Law Society (TLS) imeandaa kongamano la kitaifa litakalojadili ongezeko la matukio ya watu kupotea na kutekwa nchini Tanzania. Kongamano hili litafanyika tarehe 5 Oktoba 2024 saa 3:00...