Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Maswali Kuhusu Uchawi na Majina ya Kimungu 1. Je, mtu mwenye jina la kimungu kama Yesu, Muhammad, Hosana, Michael, au Gabriel anaweza kuathiriwa na uchawi? 2. Je, majina haya yana kinga yoyote...
0 Reactions
11 Replies
829 Views
Anonymous
Natoa angalizo kuhusu kikokotoo kati 35% na 40% Kuna uwezekano mkubwa wastaafu wanaliwa vichwa: Mwajili (HR) anakupigia mahesabu ya kikokotoo cha 40%, kule PSSSF wanakupa staili ya 35% Huu mfuko...
1 Reactions
0 Replies
375 Views
Congo kuna shida sana ya usafiri wa Meli mto Kongo Watanzania kawekezeni usafiri wa meli mto Kongo mtapata pesa nyingi, Wasafiri wako wa kutosha Meli mgogoro Angalieni wanavyopata shida usafiri...
2 Reactions
7 Replies
583 Views
Utangulizi Kikao cha mwisho cha kupitisha wakandarasi, chini ya uongozi wa Eng. Menye David Manga, Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi (Engineering Registration Board - ERB), kilifanyika...
1 Reactions
2 Replies
943 Views
Niko hapa mpaka wa kenya na Tanzania nasikiliza radio za kenya. Ki ukweli wako mbali sana katika uchambuzi wa masuaala mbalimbali ya siasa, uchumi na ya kijamii. Hakuna haja hata ya kujiunga na DW...
6 Reactions
21 Replies
907 Views
Mungu ni mwema nyote Mabibi na mabwana! Imesaidia wengi japo baada ya muda hurudi Tena nawewe unaweka Tena. Chakufanya. Nunua ugoro kulingana na ukubwa wa paa lako(nyumba) Nunua Grease oil...
11 Reactions
44 Replies
2K Views
Wanawake tangu kuolewa kwao mpaka kuzeeka huwa hawawapi waume zao nafasi za kuwa huru na kushukuriwa. Kwa bahati mbaya sana vijana wa kiume ndiyo wanaoongoza kwa kuwashutumu na kuwatendea vibaya...
3 Reactions
2 Replies
721 Views
Dunani huwezi kujua kila kitu, leo nimeshangaa kugundua kwamba mwanzilishi wa Kampuni ya Apple yaani Steve Jobs alikuwa Mwarabu wa Syria na baba yake alikuwa anaitwa Abdul Fattah Jandali ila...
15 Reactions
44 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu! Naomba kuuliza SIDO Mwanza wanapatikana wapi?
2 Reactions
9 Replies
714 Views
Nimeshindwa na kutoelwewa kwa nini TANROADS wanajenga mifumo ya flyover ambayo inahitaji taa za kuongoza magari (traffic lights) kwenye barabara zilizo busy. Mfano ni flyover za Ubungo, Tazara na...
1 Reactions
1 Replies
422 Views
Habari wakuu Mimi nimfanya biashara wa duka la rejareja kwa muda mrefu ila ndani ya mwezii kinamatukio matatu yametokea yameniweka mdomo WAZI pesa za mauzo zinapotea zote kimazingira Tukio la...
4 Reactions
53 Replies
3K Views
Waboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura Kigoma wanyimwa posho ya usafiribkiasi cha shilingi 90,000/= kwa kila mshiriki. Wadau walihoji kabla ya kuanza kwa zoezi la uandikishaji juu ya...
0 Reactions
8 Replies
786 Views
Kwa aliyekuwa anasikiliza maongezi yenu leo katika PB ni ukweli umewekwa wazi, kwamba watoto wanaosoma katika shule za "Private' ni asilimia 1 na point tu ya wanafunzi wote wa Tanzania. Twaweza...
0 Reactions
0 Replies
323 Views
Tawi lenu lililipo mtaa wa Livingstone Kariakoo ni tawi linalotoa huduma mbovu zaidi ya matawi yote niliyowahi kuhudumiwa. Ni mara kadhaa inanichukua hadi saa tatu kuhudumiwa huku nikiwa na kadi...
1 Reactions
3 Replies
571 Views
Story iko hivi kama miezi sita kuna mteja alikuja akanipa kazi ya kumtengenezea tv nikamchaji elf35 alinipa hela usiku muda wa saa1 kesho nikawa siioni elfu 10 na ikapotea mazingira ya kutatanisha...
10 Reactions
10 Replies
1K Views
Je, Taifa halina wenyewe kiasi kwamba Rais wa nchi ndivyo anakuwa final, na nchi imekosa Wastaafu wa dhati kabisa kusema kauli njema zenye kuakisi tunu ya hekima na busara za Taifa hili...
1 Reactions
9 Replies
489 Views
Ukitazama mitandao ya jamii na mitaani Kuna vijana wanajinadi kabisa kuwa tops,vers na bottoms lakini hawachukuliwi hatua za kisheria. Je ushoga umeachwa uenee bila wasi wasi?.
11 Reactions
152 Replies
24K Views
Hakika kuishi DAR kuna RAHA na SHIDA Zake. Shida kubwa ya Kuishi Dar ni Umbali wa kutoka unapoishi na unapofanyia shughuli zako za kila siku. Kama Mtumishi wa Umma anayeishi Mabwepande au Chanika...
26 Reactions
272 Replies
19K Views
Mahakama ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, imemhukumu kifungo cha miaka mitatu jela pamoja na kurejesha Sh milioni 10.3, Mwalimu Josiah Mkome baada ya kukutwa na hatia katika kesi ya uhujumu...
0 Reactions
47 Replies
11K Views
Sisi Wakazi wa Kata ya Mabibo, Mtaa wa Kanuni hapa Dar es Salaam tuna changamoto ya kutokuwa na huduma ya maji kwa muda wa miezi miwili sasa. Maji hayatoki kabisa huku kwetu na siku yakitoka ni...
0 Reactions
18 Replies
851 Views
Back
Top Bottom