Majina ya Kimungu na Uchawi: Ukweli au Imani?

Majina ya Kimungu na Uchawi: Ukweli au Imani?

baharia 1

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
3,015
Reaction score
4,402
Maswali Kuhusu Uchawi na Majina ya Kimungu

1. Je, mtu mwenye jina la kimungu kama Yesu, Muhammad, Hosana, Michael, au Gabriel anaweza kuathiriwa na uchawi?

2. Je, majina haya yana kinga yoyote dhidi ya uchawi au nguvu za giza?

3. Ikiwa mtu mwenye jina la kimungu atalogwa, je, uchawi huo unaweza kuwa na athari yoyote kwao?

4. Je, kuna imani au hadithi zozote zinazosema kuwa majina haya yana nguvu za kipekee za kulinda dhidi ya uchawi?

5. Je, unafikiri kuwa jina la mtu linaweza kuathiri uwezo wa uchawi kumdhuru?

Naombeni majibu kwa wajuzi wa haya mambo, Asanteni.
 
Hakuna jina la kimungu, jina ni identification tu na haina uhusiano na imani ya mtu
jina linaweza kuwa na umuhimu wa kidini au kiroho, wakati kwa wengine linaweza kuwa tu njia ya utambulisho bila uhusiano wowote na imani zao.
 
jina linaweza kuwa na umuhimu wa kidini au kiroho, wakati kwa wengine linaweza kuwa tu njia ya utambulisho bila uhusiano wowote na imani zao.

Imani tu, hapa kuna maspanish kibao wanaitwa Jesus lkn mafirauni vibaya sana, na wabongo kibao tu wanaitwa kina Emanuel lakini wanga tu wanapaa na ungo! Jina halina uhusiano na destiny ya mtu, mindset, exposure, genetical makeup na upbringing ndio inaamua personality na future ya mtu!
 
Ni kweli kwamba jina la mtu halina uhusiano wa moja kwa moja na tabia au hatma yake. Mambo kama vile mindset, malezi, mazingira, na urithi
 
Punguza Bangi na kutafuta umaarufu kinguvu
Aliyekwambia natafuta umaarufu ni nani?

Bangi ni wewe unaye ongelea vitu ambavyo hata ukiambiwa uvithibitishe huwezi.

Nakwambia hivi Hakuna Mungu, Hakuna Shetani,Hakuna majina ya kimungu.
 
Back
Top Bottom