Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Arusha Mfanyabiashara tajiri wa mawe ndugu Temu amefariki dunia na kuacha kizaazaa nyuma. Bwana huyo ana migodi, magari sita, mashamba, majumba na mahoteli na maviwanja. Alioa mke aitwae Yasinta...
100 Reactions
290 Replies
16K Views
Hakuna Toyota za wajapenga, Ni vyuma classic vya ulaya kama Ferrari, G wagon, Posrche, Bentley, Lamborgini, n.k.
0 Reactions
7 Replies
902 Views
Binadam anapo zaliwa anakua na uwezo mkubwa saana wa kuwaza mambo makubwa na ya maana saana. Ila kadri siku zinavyo songa anakua binadam huyu hupitia hali tofauti tofauti na kupelekea kupoteza...
1 Reactions
0 Replies
286 Views
Wakuu ni kama mawazo maoni au ushauri. Kuwepo na baadhi ya makanisani ya umma yenye majina makubwa Jumapili sadaka ya jumla ikisomwa si chini ya million 3, 5, adi kumi kwa yalio mjini, ila usafi...
5 Reactions
16 Replies
720 Views
Tanzania na Finland zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) kuhusu kufanya rasmi Mashauriano ya Kisiasa kati ya nchi hizo mbili. Uwekaji saini huo ulifanyika leo tarehe 09 Oktoba, 2024 jijini Helsinki...
1 Reactions
5 Replies
418 Views
Mwezi wa 11 naenda Lusaka kwa likizo ya wiki 2, Nimealikwa kwenye shughuli za research, Ni nje ya kazi yangu rasmi, Likizo yangu ya mwezi ujao nimeona niitumie Lusaka. Mambo gani nizingatie...
3 Reactions
4 Replies
553 Views
Anonymous
Ma agent wa mabasi hasa yamikoani wanatoza abiria nauli ambazo ni kinyume na nauli elekezi. Kwa mfano Nauli rasmi kutoka mkoani Gieta kwenda Kibondo (kigoma) kupitia nyakanazi ni Tshs. 17000/=...
0 Reactions
4 Replies
775 Views
Mhadhara - 42: Kuna watu katika jamii wana tabia zinazofanana na hawa wanyama/wadudu. 1. PIMBI (Harakati zisizo na maana) - Wapo watu ambao wanaweza kufananishwa na pimbi. Ukikutana nae...
1 Reactions
1 Replies
413 Views
Wakati mwingine mafanikio ya mtu ni bahati ya ulizaliwa kipindi gani. Mnawaita watoto wa 2000 ila nikwambie ndio kizazi bora kabisa kuwahi kutokea nchini. Kizazi kinajiamini sana, kukuta mtoto...
15 Reactions
56 Replies
2K Views
Haya ni baadhi ya maneno ya busara kuhusu maisha: 1. "Maisha ni safari, siyo mbio. Chukua muda kufurahia kila hatua unayopiga." 2. "Changamoto ni sehemu ya maisha; zinatufundisha kustahimili na...
4 Reactions
4 Replies
24K Views
Wakuu juzi tu nimeangalia hakuna deni lolote lakini leo nakuta 44,100 hii ipo vipi na nifanyaje?
3 Reactions
99 Replies
3K Views
Miaka ya nyuma kidogo kulikua na kashikashi sana katika vyuo vya elimu ya juu nchini hasa vya serikali... Nakumbuka niliwahi kuhudhuria mdahalo pale nkruhma hall UDSM nikiwa mwanafunzi wa kidato...
6 Reactions
26 Replies
1K Views
Elite class ya Tanzania inatumia zaidi ya robo tatu za mishahara yao kutoa matunzo kwa watoto wao ili kuendelea na economic status-quo wengi hufanya kwa ajiri ya mkumbo au band wagon, Mtoto...
23 Reactions
53 Replies
2K Views
Pamoja na changamoto mbalimbali tunazo kumbana nazo katika harakati za safari ya maisha, lakini ndiyo Raha ya safari. Maisha yangekuwa yamenyooka tu bila changamoto za hapa na pale, sidhani kama...
4 Reactions
11 Replies
955 Views
Mhadhara - 41: Una moyo mwepesi na mlaini kama karatasi la kufungia maandazi, lakini huachi tabia yako ya kumfuatilia mpenzi/mume/mke wako. Shauri yako, one day tutakuzika kwasababu ya kufumania...
0 Reactions
2 Replies
385 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amewaeleza wananchi wa Segerea kuwa suala la vibaka lipo katika ngazi ya mitaa hivyo wahakikishe kupitia ulinzi shirikishi wanamaliza jambo hilo...
1 Reactions
29 Replies
1K Views
Kampuni hiyo ya Askari Metals kupitia kampuni yake tanzu ya tanzania ujulikanayo kama Infinum Uranium so far tunaweza kusema imekwisha pata "baraka" zote za uwekezaji kutoka serikali ya SSH. Kwa...
2 Reactions
4 Replies
825 Views
Huwa naona watu wengi wananasibisha ujamaa na undugu, upendo pamoja na raia kujaliana huku wakinasibisha ubepari na kutokojaliana na ukatili. Haya yanaweza kuwa mawazo potofu sana ukifuatilia...
0 Reactions
0 Replies
287 Views
Wazazi achaneni na mawazo ya kuwasomesha watoto ili kwamba wakishakua na kuanza kazi waanze kuwagharamia kwa mishahara yao! Kulea watoto ni jukumu la mzazi yeyote alieamua kuanzisha familia na si...
1 Reactions
1 Replies
196 Views
Wasalaam. Ni mwezi Sasa umepita tangu nilipoleta uzi hapa jukwaani unaosema Banc ABC wamekataa kulipwa, msaada wenu unahitajika. Nilipewa ushauri mzuri Sana na Wana JF home of great great...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Back
Top Bottom