Huyu ni Mwanamama wa Kinaijeria mwenye Travel Blogg inayoenda kwa Jina la Go.Ebaide huko You Tube, anazunguka Afrika kwa kutumia Pikipiki na sasa yuko Tanzania, wakati akitokea Kigoma kuelekea...
Kuna vitu vingine vina hitaji akili ya kuzaliwa tu, wa Africa sijui tuko je elimu yetu haijatukomboa mtu ana phd bado anarubunia na form two drop-out na anaamini kabisa, kama sio kurogwa ni nini...
Ilikuwa kawaida sana ndio sababu Wanafunzi wa boys enzi hizo Walikuwa vidume kweli kweli
Sasa km 200 Kwa vijana wa Leo akina Lucas ni nyingi kweli kweli 😂😂😂
Shujaa aliwahi kutembea kutoka...
Sote tunajua gharama za ATCL zilivyo ghali na hasa safafri za kutoka Mwanza kwenda Dar na Dar kuja Mwanza na hasa nyakati za asubuhi.
Binafsi naona kama wasafiri tunaonewa na inaaonyesha kama...
BoT kama taasisi inayojitegemea kama zilivyo taasisi zingine naamini katika kurahisisha utendaji wake wa kazi basi kuna idara au vitengo mbalimbali zinazohusisha watumishi au wataalam wa kada...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Dadeki! Haya Maisha bhana kûna mambo ukiyakumbuka unabaki kucheka tuu.
Bhana! Bhana! Kûna Dili nilikuwa nafukuzia Mbeya. Sasa Dili lenyewe likabuma, Pesa ya...
Habari ndugu zangu Wana JamiiForums, ninaomba kusaidiwa suala hili
1) Hivi Sheria za nchi zinaruhusu mfungwa kuendelea na wadhifa wake kazini au ni huku Kwetu Iramba tu?
Ninaleta mada hii kutoka...
Jana usiku, maeneo ya Kibaha mkoani Pwani, umeme ulikatika. Hata sasa, umeme umekatika tangu asubuhi.
Ni hivi karibuni tu ndugu zetu TANESCO mmepongezwa kwa kuzalisha umeme mwingi kuliko...
Kwenye jamii za watu hapakosi viongozi wapenda misifa wasiojali kuthamini bidii na akili za wasaidizi wao, nimewiwa kutoa tahadhari kwa Paul Makonda a.k.a DAB Kolomije, imekuwa kama utamaduni...
TEMESA Pangani hawa-scan tiketi, askari anazikusanya tu! Kuna harufu ya upigaji! Nilipita asubuhi nilivyorudi jioni ticket niliyopewa ilikuwa inaonyesha imekatwa saa moja asubuhi! kuna mazingira...
Kuna siku nilikuwa nipo sehemu. Watu wakawa wanapiga stori kuhusu wamama kuwafungia vioo waume zao kwa watoto wao ili wasipate msaada. Yaani mama anawaambia watoto wake kuwa baba yenu mkimtumia...
Zimbabwe
Alhamisi iliyopita, wezi waliiba dola milioni 4.4 kutoka tawi la benki ya Ecobank huko Bulawayo katika tukio ambalo linadaiwa kuwa wizi mkubwa zaidi wa benki katika historia ya Zimbabwe...
"Kama tunaambiwa Dunia inazunguka kwa kasi ya 1,674km/saa, kwanini ndege au helikopta hazipai juu, zikaganda na kusubiri sehemu inapohitaji kwenda ifike kisha itue?"
Nadhani swali limefanana...
Tarehe 28 September 1999 redio SAFM (South Africa) ilitangaza kifo cha Mwl Nyerere.
Tena wakarudia kutangaza 11 October 1999 kuwa Mwl ametutoka huko Uingereza, Tena wakatangaza 14/10-1999...
Kuna uwezekano mkubwa Baba Mtakatifu aketiye Kitini pake Mtume Petro atakayemrithi Papa Francisco atakuwa ni Mwafrika
Na uwezekano mkubwa Baba Mtakatifu aketiye Kitini pake Mtume Petro akatoka...
Kama ilivyo kuongea ni tiba kwa muongeaji basi hata kusikiliza nako ni muhimu kwa kusaidia wengine na kujisaidia wewe pia
Kuongea na kusikiliza ni mambo ambayo yote yana uzito wake na yana...
Kama kicha cha Habari kinavyo jieleza, nina account Twitter na zamani nilikuwa napenda sana kutumia huu mtandao yaani kuliko instagram ila kwa sasa naona yamenishinda.
Kwenye account yangu sija...
Nimejiuliza sana kuhusu mazingira ya hivi vyoo, hata kama ndio tunatumia watu wengi, ndio washindwe kuweka mazingira vizuri kwa kiwango hiki?
Jionee mwenyewe, vyoo “vimekomaa na uchafu” humu...
Ukiingia kwenye ukurasa wao wa Instagram,utaona watu hao wanaojiita wachokonozi wakisema maneno hayo juu.
Ni maneno ya karaha lakini huyo jamaa anajitanabahisha kama msomi wa chuo kikuu.
Naamini...
Jamani kuna jamaa kahitimu masters anataka kusherehekea kwa kuwakaribisha ndugu na jamaa. Hivyo nimeombwa kumchangia katika Sherehe yake hiyo ya kumaliza masters itakayofanyika Ukumbini.
Viwango...