Kwa dunia ya sasa haina haja ya kusubiri aje mwekezaji mkubwa kutoka nje ya nchi aje atuletee maendeleo tutabaki kuwa watumwa katika nchi yetu kila muwekezaji anakuja kwa lengo la kuchuma nazani...
Kwenye Maisha ni hatari sana kuamini wewe tu ndio uko sahihi.
Kuna muda sheria kali za dini zinakosesha watu kufurahia na kuishi kwa amani.
Wasabato mbali na kwamba wanatumia biblia ile ile ya...
Mba kichwani ni hali inayosababishwa na kupevuka kwa seli za ngozi ya kichwa kwa kasi na kuunda magamba meupe au ya njano. Ingawa kuna sababu nyingi zinazochangia tatizo hili, msongo wa mawazo...
Watu wanaoamini katika mambo makubwa wanaitwa wabunifu wa maono makubwa au watu wenye maono makubwa.
Hawa ni watu ambao wanaamini na kutafuta kutimiza malengo ya juu au malengo makubwa ambayo...
Waisraeli wa kweli ni weusi na Yesu halisi ni mweusi na hii ni kutokana na Biblia.
Ukisoma Ayubu 30:30 , Ayubu anasema ngozi yake ni nyeusi, na kama Ayubu ni mweusi na alikuwa muisraeli na...
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, tarehe 14 Oktoba, 2024 amefungua rasmi Mkutano Mkuu wa 149 wa Umoja wa Mabunge...
Wakuu Habari ya Majukumu, leo Jioni kuna nyuki wamekuja na kutua kwenye mti ambao uko nyumban kwangu wa kivuli, hapa najiuliza namna gani naweza kuwatoa kwa usalama wa familia yangu, maana nina...
Watu wa Arusha na kujifanya wanajua kila kitu kumbe hamna kitu
Utakua mtu anasema "oya chalii, hii ni chuga, mara chuga darara" na maneno mengi ya kipuuzi na ya kishamba tu.
Mimi kiukweli ni wa...
Kuna muda bwana unaweza ukabanwa na mambo magumu katika maisha, na ukashindwa njia zote hatimae ukaamua kumuomba Mungu moja kwa moja na akakujibu?
Mimi kuna matukio kadhaa aisee naamini moja kwa...
Habari wana jf napenda kutanguliza huu uzi kama ulivyoandikwa hapo juu. Najua kuna baazi ya watu hawawezi kunielewa. Ila ukweli upo hivi kukaa kijijin kwa kijana unaejitafuta kimaisha ni kufeli...
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana(Mb) amesema Serikali imekuwa ikitumia takwimu za kisayansi kufanya maamuzi yaliyojikita kuimarisha uhifadhi wa Wanyamapori ili kuwa na...
Tanzania imeorodheshwa miongoni mwa Nchi 10 ambazo Uchumi wake utakua zaidi na kusaidia Bara la Afrika yaani Sub-Saharan Afrika.
Taarifa iliyotpkewa na WB imesema Uchumi wa Afrika utapungua...
Leo tu nimeshuhudia ugomvi usiolazima zaidi ya mara tano. Hapa Jamaa ni wakali, hawataki suluhu nq hawaelewi.
Bajaji, bodaboda, daladala na wenye magari madogomadogo ya kijapani wanaongoza.
Hapa...
Wakuu kwenye hii barabara ya kwenda Ubungo Makoka kupitia kwa Mzee wa Upako, kuna kipande kama mita 300 kinaongezwa kwa kiwango cha lami inaenda miezi minne mpaka sasa hakijamalizika.
Jamaa...
Manispaa ya Morogoro eneo la mjini mzunguko (roundabout) ilipokuwa stand ya zamani zinapoanzia barabara za:
1. Boma Road
2. Korogwe Road
3. Old Dar es Salaam
4. Barabara iendayo Soko kuu la...
Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini limewataka madereva kufuata sheria za Usalama Barabarani ambapo limewataka madereva hao kutoa lugha nzuri na rafiki kwa abiria Pamoja na...
Elite class kubwa ya Tanzania wame chukua family plan kama sehemu muhimu katika maisha yao, na family plan kwao ni kua na watoto 1 kwa 3 ili aweze kuwalea vizuri kwa kuwapa best basic necessities...
Punguzeni jazba, waelemisheni wafanyabiashara watalipa kwa upendo, kulazimisha na kutishana kumepitwa na wakati,
Leo nimekuta hiyo kesi kwenye duka moja kariakoo, mdai service levy analazimisha...
Bara la Antarctica ni sehemu ambayo tumezoea kuambiwa ni eneo lilojaa barafu likiwa na viumbe waishio kwenye barafu tu ila hivi karibuni watu wamejawa na maswali na shauku ya kuwa hivi ni kweli...