Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kama nitakosea nisahihishwe, niliwahi kumsikia Kitila Mkumbo enzi hizo Katibu wa Wizara akisema maji yaliyopo ni mengi kuliko uhitaji wake kwa watu wa DSM. Kwa sababu mabomba yamefikia wachache...
3 Reactions
14 Replies
598 Views
Huyu jamaa alishawah nisaidia nikaipata bag ya laptop niliyoibiwa nikiwa nimepaki gar ofisin na laptop nimeacha ndani ya gari. Hanijui simjui ila alikua mpangaji mwenzagu kwenye hizo frame...
31 Reactions
45 Replies
10K Views
Mimi ni bodaboda ambaye kwa namna moja ama nyingine nimekutana na mikasa ya aina mbalimbali barabarani kama ajali, kuibiwa pamoja na kadhia ya kukamatwa na Askari wa Usalama barabarani kwa makosa...
1 Reactions
0 Replies
431 Views
Kama tujuavyo kwa sasa mfanyakazi anaweza kukopa online moja kwa moja kupitia ESS bila kwenda bank. Lakini cha ajabu bado Riba ni kubwa na kuna Bima ya mkopo kubwa. Tukiachana na hayo ya bima na...
23 Reactions
64 Replies
6K Views
Kwa waliowahi kutumia barabara ya Arusha Babati watakuwa mashahidi. Eneo mzani ulipo ni mteremkoni na kuna kona mlalo hivi. Sijajua kulikuwa na ulazima gani umbali wa Arusha babati kuwa na vituo...
1 Reactions
0 Replies
407 Views
Katika ukanda wa Afrika Mashariki, Tanzania inaongoza katika kuimarisha ushiriki wa wanawake kwenye uongozi. Wanawake wanaochukua nafasi za uongozi wanatoa mfano bora kwa wenzao, wakionesha kuwa...
2 Reactions
3 Replies
790 Views
Erik Prince, afisa wa zamani wa Jeshi la Wanamaji la Marekani na mwanzilishi wa kampuni ya binafsi ya kijeshi ya 'Blackwater', hivi karibuni alitoa maoni yake kwamba nchi za Kiafrika zinapaswa...
6 Reactions
41 Replies
2K Views
Serikali leo imetangaza kuwa zaidi ya nusu ya watanzania wamejiandikisha kwenye daftari la wapiga kura kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024. Takwimu zilizotolewa na waziri siku ya...
10 Reactions
19 Replies
1K Views
Kuweka uzio ni jambo jema lengo ni kulinda uhai. Lakini kuweka uzio hakukuzingatia athari za kiuchumi kwa wakaazi wa maeneo husika baada ya kuwatenganisha pande mbili ili waweze kuwasiliana ni...
15 Reactions
44 Replies
3K Views
Uzi maalumu wa kuwakumbusha DAWASA maeneo ambayo kwa hapa Dar maji ya bomba la dawasa bado ni ndoto tangia tupate uhuru. Cha kufanya kila mdau ataje maeneo anayojua kuna changamoto ya maji bado...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Anything can happen labda baadae tunaweza kuwa na kiongozi mkubwa kwenye taifa hili ambae mzazi wake alikuwa dereva pikipiki maarufu kama bodaboda. Kama huna ndugu bodaboda basi una jirani ama...
3 Reactions
10 Replies
994 Views
Rangi hii imetokea tu maishani sababu ya mazingira yanayochochea kuzalishwa Melanin kwa wingi. Rangi asili ya binadamu ni nyeupe. Kisayansi binadamu tunashare ancestor na sokwe mtu. Ukiangalia...
2 Reactions
86 Replies
21K Views
Ukiangia orodha ya watu matajiri Nchini Kenya na Tanzania utakuta Wahindi na Waarabu ndio wanaongoza kwa mali na utajiri Cheki orodha ya watu matajiri nchini Kenya hapo chini. 1. Vimal Shah: He...
14 Reactions
102 Replies
9K Views
Wengi huwa wanapenda kuwaita mabilioniea lakini kiuhulasia bilionea Tanzania mpaka sasa ni mmoja tu Mo Dewji, wengine wote pia wanaotajwa tajwa sana katika hiyo list ya matajiri kumi 10 Tanzania...
19 Reactions
70 Replies
4K Views
Ebana wanajamvi inakuwaje! Ni chereko, nderemo, shangwe, vifijo na furaha baada bilionea wa Tesla utajiri wake kushuka hadi 198 billion usd na kuwa watatu nyuma ya Bernard Arnault mfaransa na...
7 Reactions
44 Replies
25K Views
Bernard Arnault, mmiliki wa kampuni ya LVMH, amempita utajiri mwanzilishi na mmiliki wa mtandao wa Facebook, Mark Zuckerberg, na kuwa mtu wa tatu kwa utajiri zaidi duniani. Hii inatokana na...
0 Reactions
4 Replies
862 Views
Kampuni ya bakhresa imewekeza $ milioni 100 sawa na Tshs bilioni 255 kujenga kiwanda cha kuzalisha mafuta ya kupikia kwenye mji wa kibiashara wa Blantyre nchini Malawi. Kiwanda hicho tayari...
8 Reactions
24 Replies
4K Views
Rais wangu nakusalim kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mimi raia wako Rashidi Jumaa kutokea Tanga wilaya ya Kilindi ni mzawa wa huku Sauti ya mnyonge huwa haisikiki kwa urahisi...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Siku hizi hakuna ajira tena. Sorry did i say "Hakuna!" I was supposed to say " HAKUNAGA". Yale mawazo ya nisome nifike chuo nipate G.P.A kali nitaajiriwa kwenye kampuni kubwa au taasisi kubwa au...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Wasalaam Wakuu, kila mmoja hapa anashuhudia mtaani kulivyo kugumu , hasa kwa wasaka tonge kama mm Sasabasi, ajitokeze mwana mwenye dili ngumu ili tushiriki wote hiyo ‘National cake ‘. Niko...
9 Reactions
104 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…