Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimejaribu kupitia 'list' ya matajiri duniani, nikagundua wale ma-top wengi wanatoka Marekani. Ukiangalia ata wasanii wao au wafanya biashara kutoka huko kwao wanamiliki ndege n.k Sasa...
1 Reactions
2 Replies
406 Views
Kijana mwenzetu, mtanashati na mzalendo wa nchi hii na mwanasheria na wakili msomi wa mahakama kuu Nd. Ridhiwani kikwete ametajwa kumiliki kampuni kubwa iitwayo LUGUMI, kampuni hii ipo maeneo ya...
4 Reactions
182 Replies
45K Views
Ni habari za kusikitisha kwa familia ya JamiiForums kwa ujumla wake. Inadaiwa marehemu Dena Amsi amefariki jana baada ya kuugua kwa siku kadhaa. Taarifa za kina juu ya nini kilitokea na msiba...
61 Reactions
1K Replies
156K Views
Hapa Ubungo, Kisiwani, Wananchi tupo katika hali ngumu sana, maisha yamebadilika kisa Mto Gide, ambao kwa miaka mingi umekuwa ni chanzo cha wasiwasi mkubwa na umekuwa tishio kwa makazi yetu...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Mtu mwenye akili timamu huwezi kumuambia ili atajirike inabidi akauze pipi kwa mtaji alionao au mayai ya kuchemsha kama kianzio kwa sababu anajua fika mtaji mdogo utampa faida ndogo ataona ni...
1 Reactions
3 Replies
507 Views
Kuamini ushuhuda wa baadhi ya wachungaji kuna hitajika kua na roho ngumu sana, unaweza ukadhani ni uongo, sikiliza huyu mtumishi wa Mungu, anapo bebwa kila mara kukutana na Yesu.
6 Reactions
56 Replies
2K Views
Kwa nini vijana wadogo wakitoka kimahusiano na wamama watu wazima(mishangazi) au hata wakioana nao kabisa inachukuliwa kama wanalelewa na maneneo yanakuwa mengi sana wakati mabinti wadogo wakitoka...
4 Reactions
4 Replies
574 Views
Kimsngi sina sababu kubwa sana ila kwa mtazamo wangu naona ni noti fulani isiyo vutia Rangi mbaya na ni pana(kubwa) sana Wenye mamlaka litizameni hili.
6 Reactions
12 Replies
870 Views
Mi’ huwa nikisikiaga watu wanatwangana huko ulaya, Asia na kwingineko huwa nafurahi tu, acha watwangane tu na hata wamalizane, kwangu haina shida. Kwa nini? Wao wanatusababishia vita huku...
2 Reactions
4 Replies
428 Views
Nchi imefunguliwa kimya kimya inavyoonekana maana watu wanasukuma vyuma vya bei mbaya sana . Kiukweli hapa DSM watu wanasukuma magari ya bei mbaya hatari.
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Hivi Serikali inafikiria nini hii kero ya maji ambayo imekuwa janga kubwa kwa wakazi wa baadhi ya mitaa jijini Dar es Salaam? Yale marekebisho ya Ruvu juu bado hayajaisha na ni mwezi mzima sasa...
0 Reactions
1 Replies
353 Views
Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Uchukuzi na Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa itaunda Timu Maalum itakayoshughulikia na kusimamia urejeshaji wa huduma ya usafiri wa Vivuko...
0 Reactions
0 Replies
552 Views
Iran imefanya shambulio kubwa katika base ya Israel na kuharibu magari ya kivita zaidi
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Tukumbuke jamani hii nchi imeshawekwa chini ya ulinzi wa bikra maria baada ya ujio wa papa Paul wa pili hivyo tuna baraka tele. Hatuna ukabila kwa sababu bikra maria yu kazini. Maamdamano...
5 Reactions
88 Replies
3K Views
Habari za weekend wakuu. Kuna ndoto nimeiota usiku wa kuamkia leo imenishangaza kidogo na sijaelewa inanipa ishara ya jambo gani nikaona niwaulize humu watu wenye uelewa wa haya mambo ya ndoto...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za asubuhi! Uwe na siku njema, nina swali dogo tu. Je, kwanini hata leo hautaki kuenda kanisani?
0 Reactions
0 Replies
279 Views
Nigeria inasifiwa kuwa na Jeshi bora Afrika kuliko hata Tanzania mbona boko haramu wanashindwa kuwatokomeza? Hivyo vipimo vya ubora sivielewi Wanatumia vigexo gani hadi Nigeria ionekane ina...
1 Reactions
36 Replies
2K Views
Kuna sehemu sisi jina letu ni viburi kwasababu tu, tulishindwa kuvumilia dharau zao.. Kuna sehemu sisi ni selfish people, wenye tamaa zisizo na kifani, kwasababu tu, tulihitaji maboresho ya...
3 Reactions
2 Replies
295 Views
Endeleeni tu kudhani Watu wote hatukunywa Maziwa na hatukula Samaki wa Sato na Sangara ili tuwe na Akili Kubwa za Kuwatangulieni kujua kile mlichokipanga au kuna mbinu gani mmeitumia hapa kwa...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
hii ni maalum kwa wanaoamini sana misemo ya yatapita, mwisho wa giza kuna nuru, n.k. dunia ni katili sana Si kila hali ngumu huwa inapita wapo watu wamesota sana shuleni lakini hawajapata ajira...
4 Reactions
11 Replies
734 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…