Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna yule jamaa yako, yeye anakupigia simu tu anapohitaji pesa, ukiona simu yake tu, unajiambia “anahiji pesa”, usipompatia anakasirika. Anakulalamikia sana. Yeye anajua una pesa na utampa...
5 Reactions
15 Replies
652 Views
Rais wa 16 wa Marekani, Abraham Lincoln aliwahi kusema “Ukipewa Masaa sita ya kukata mti, tumia masaa manne kunoa shoka” kwa maneno mengine ni kuwa utatumia nguvu nyingi sana kuangusha mti ikiwa...
6 Reactions
5 Replies
830 Views
Salaam, Wakuu, kipi ni nafuu kwa karne hii, kujenga au kununua nyumba na kuhamia. Mchakato wa kujenga naona ni mrefu kwangu. Karibuni kwa mawazo, asanteni.
1 Reactions
55 Replies
2K Views
Eti je ni sawa kuishi sehemu unayoipenda, na unaAmani kabisa moyoni kama utaishi sehemu hiyo, lakini kiuchumi ni pabovu Sana , na ukisema unatafuta maisha kutoboa ni kazi ngumu? Kuliko kuishi...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Kutokana na ukuaji wa teknolojia ni muhimu kwa watoto kuwa na elimu ya matumizi sahihi na salama ya mtandao ili kuepuka kuwa wahanga wa matukio ya uhalifu mtandaoni. Mfundishe mwanao: 1. Aepuke...
2 Reactions
0 Replies
429 Views
Kiswahili kimekuwa kati ya Lugha 15 za Afrika zilizoongezwa kwenye huduma za 'Voice Search', Kuandika kwa Sauti kwenye Gboard pamoja na huduma ya Kutafsiri Lugha nyingine kupitia 'Google...
0 Reactions
0 Replies
663 Views
Hivi karibuni Baraza la mitihani Tanzania limetoa matokeo ya darasa la Saba na katika taarifa yao ni kwamba, ufaulu umeongezeka. Hilo halikunipa shida isipokuwa waliofutiwa matokeo kwa sababu kuu...
1 Reactions
0 Replies
933 Views
Akizungumza kupitia Power Breakfasta leo Oktoba 30, 2024, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma amesema "Kwenye utapeli kabla na baada ya zoezi la usajili wa laini za simu tofauti ipo kubwa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Nimesoma mahali kuwa Makamu wa Rais ameshauri Magereza yaachane na matumizi ya ndoo kama sehemu ya kujisaidia wafungwa. Ni jambo jema ikiwa litafanikiwa lakini tatizo ni kubwa zaidi ya hilo...
10 Reactions
29 Replies
2K Views
Bila Salamu. Wanabodi ninathibisha kwamba bila uwepo wa DINI ya kikristo na kiislamu basi nawahakikishia Wanaume wengi wangekufa kabla ya muda wao. Wanawake wengi hawana huruma kwa Mwanaume...
5 Reactions
87 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa Seven Media na mtangazaji wa Wasafi fm, katamka maneno hayo Jana akiwa kwenye kipindi, Aidha alisema anachojitahidi kwa sasa ni kutimiza majukumu yake kama Mume na kamwe hatoruhusu...
11 Reactions
80 Replies
3K Views
29th October 2024: Vodacom Tanzania, the Leading technology and Communication Company, has announced that it has undertaken major overhaul in its critical intelligent network infrastructure in a...
0 Reactions
1 Replies
676 Views
Where is your professionalism? Shame on you!
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Kwa nini Wachina wakitoa mikopo ya miondombinu kwa nchi za Afrika ni lazima kampuni zao zisuhusike katika ujenzi? Kila kwenye miradi mikubwa walipofadhili Wachina unakuta kampuni ya China ndio...
4 Reactions
14 Replies
588 Views
Huu uchaguzi wa serikali za mitaa ni wa mauzauza sana jamani. Siku kadhaa zilizopita nilikuwa saluni akapita mjumbe wa mtaa wa Matawi, maeneo ya Skanska, akatusalimia pale na kuanza kuongelea...
1 Reactions
1 Replies
355 Views
Mimi ni mmoja kati ya Wananchi wa Mtaa wa Green View uliopo Kata ya Nyamanoro, Manispaa ya Ilemela hapa Mwanza tuna malalamiko yetu kuhusu hali ya ubovu wa barabara zilizopo katika Kata yetu...
0 Reactions
2 Replies
644 Views
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania siku ya jana Oktoba 29, 2024 katika kipindi cha maswali na majibu wameibana Serikali kuhusu bei ya kuunganisha umeme maeneo ya mijini, ambapo...
1 Reactions
2 Replies
487 Views
Habari zenu wana jamiii, ni matumaini yangu mu wazima wa afya tele. Nina Shida ya Pesa ya dharura nimejaribu kukopa kwa watu binafsi hawana, katika taasisi nao wanahitaji dhamana (hasa nyumba)...
5 Reactions
43 Replies
6K Views
Mwanasheria na Profesa mkongwe kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Issa Shivji, alitoa onyo kwa serikali wakati wa Kongamano la Kitaifa la Ardhi 2024 na Maadhimisho ya Miaka 30 ya Hakiardhi...
2 Reactions
6 Replies
573 Views
Miaka miaka iliyoipita niliondokewa na baba yangu kipenzi, baada ya kumaliza matanga wazee wangu wa ukoo waliniita na kunikabidhi nyumba ya marehemu baba kama mmiliki halali. Nilipojaribu...
0 Reactions
41 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…