Jamaa mmoja bwana ana swali karibia kila siku, ifikapo mchana na hata jioni uwa namuona anaswali katika msikiti mmoja,
Huyu jamaa ana familia na watoto ila anachonishangaza ni, anatongoza mabinti...
Hakuna tatizo lolote kutumia majina yanayohusu Mungu wa imani unayoomini, shida inakuja wewe ni mkristo / mioslam halafu unatumia jina linalomaanisha unaisifu mizimu ya kikabila wakati huwa huendi...
Nina dereva wangu ambaye ana kazi zake za kupeleka watalii porini ila kwa sasa hana gari. Mwenye gari ambaye anaikodisha tafadhali tuwasiliane.
WhatsApp: 0656388678
Katika makala yake kuonyesha muda mrefu ambao Raisi Yoweri Museveni wa Uganda amekaa madarakani, gazeti la Guardian limeandika kwa namna ya kuonyesha watu kadhaa waliokuwa maraisi hawapo tena...
Haya sasa wale ambao wanakutana na matatizo ya afya ya akili hatimaye serikali imewakumbuka sasa
Ila nimeipenda hii itatusaidia wengi sana. Kikubwa hilo baraza lifanye kazi kwa uwelidi na...
Katika maisha yangu nimekuwa nikiota ndoto kadhaa. Zingine zinakuwa hazieleweki ila zingine zinakuwa na ukweli baada ya muda flani. Yaani kinatokea kama nilivyoota. Nimekuwa nikiishi hivyo kwa kwa...
Habarini,
Kwakweli sasa imekuwa kero kwa jumbe za matangazo,promotion,taarifa,nk kutoka serikalini, makampuni, taasisi, wafanyabiashara,nk yaani kwa siku mmiliki wa simu/line anapokea zaidi ya...
"wanajeshi wa idf wanabeba maiti zao huku wakilia"
JIBU: ULITAKA WACHEKE
"Mitambo ya kuzuia makombora ya Israel haikufanya kazi vizuri kipindi Iran waliporusha makombora"
JIBU: WEWE HAPO ULIPO...
Ajali za mabasi zimekuwa ni moja ya kilio kikubwa sana kwa wananchi na serikali kwa ujumla, taarifa kuhusu ajali za barabara ambazo zimepata kuwa ni sehemu ya kupoteza ndugu, rafiki na jamii zetu...
KUVAA MAWIGI NA KUJIPAMBA NI SAHIHI KIBIBLIA?
Ebu tuachane na hoja za ku-attack dhehebu au ku-attack mtu binafsi anazozitoa huyu jamaa,turudi kwenye hoja yake ya msingi
Je Sahihi kibiblia, kwa...
Wanabodi,
Hili Kampuni kubwa la Mafuta nchini Tanzania kuliko makampuni yote, linaendelea kutandaza wema wake kwa Watanzania, sasa linajenga ukuta kuizunguka shule ya Ubungo Makuburi.
Dar es...
Kwanini vitabu vya dini za zamani viliamua mkojo na hedhi kuwa vitu najisi?
Mkojo una tofauti gani na jasho?
Kwa nini mkojo ni najisi wakati jasho sio najisi?
Kuna tatizo gani mwanamke akienda...
Nimekua katika industry hii ya Utalii. Yapata miaka 9 sasa hapa Unguja (Nungwi). Aisee hakuna watu bahili Kama vibibi toka South Africa wakija hamna tip Wala nn? Ukijidai kuvitongozah ndio balaa...
Washtakiwa 20 wakiwemo raia wanne wa kigeni kutoka mataifa ya Afrika Mashariki wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha jana na kusomewa mashtaka 195 ikihusisha kesi ya kuongoza genge la...
Wasaalam,
Hivi karibuni humu kumekuwa na ongezeko kubwa la nyuzi(threads) zenye mlengo wa kuwadhalilisha wahitimu wa vyuo vikuu (graduates) na wanafunzi waliopo vyuoni kwamba ni useless na hawana...
Aliyekuwa ofisa wa Magereza, Josephat Mkama na wenzake wawili wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na makosa manne likiwamo la kughushi msamaha wa Rais kwa...
Naibu Waziri wa Wizaya ya Maji, Mhandisi Kundo Mathew amesema moja ya changamoto ya uhaba wa maji iliyopo Jijini Dodoma ni kuwa uhitaji wa huduma hiyo ni Lita Milioni 149 kwa siku wakati...
Siku 36 baada ya mwandishi wa Nipashe kuwasilisha maswali Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kutaka kujua kwanini wakopeshaji mitandaoni wanadhalilisha wakopaji, taasisi hiyo imetengeneza mwongozo kwa...