Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari za kuaminika kutoka vyanzo vikubwa vya habari duniani kuwa Iran itatekeleza ahadi yake ya kulipiza kisasi kwa nchi ya Israel kutoka sasa na kabla ya uchaguzi mkuu wa Marekani unaotarajiwa...
4 Reactions
3 Replies
719 Views
Vitabu vya dini kubwa zote vinamtaja shetani. Na kumsema mabaya yake. Cha ajabu shetani yeye amekaa kimya tu. Nimeota muda si mrefu shetani na yeye anashusha kitabu chake mapangoni.. kama...
1 Reactions
7 Replies
431 Views
Waziri wa ustawi wa jamii tunakuomba ufuatilie kutuo hichi kituo, ambacho kiko Sinza Madukani kinamillikiwa na mwanamama aitwae Ziada Ijango, kituo hichi kinahatarisha afya za watoto kina watoto...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Ajali imetokea eneo la Mzambarauni (Nje kidogo ya Mji wa Morogoro). Inadaiwa kuwa waendesha Bodaboda waliojaribu kuchota mafuta wameteketea ktk moto huo > Mpaka sasa chanzo cha Lori hilo...
37 Reactions
2K Replies
246K Views
Zaidi ya mwaka sasa, michezo mingi ambayo ilipaswa kufanyika uwanja wa Mkapa imekuwa ikiahirishwa, Tukijua kwa bajeti hiyo kutakuwa na maendeleo makubwa sana katika dimba la Mkapa, lakini mpaka...
0 Reactions
0 Replies
389 Views
Wito huo umetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Eliakim Maswi katika kikao kazi kilichowakutanisha Wizara, Baraza la Uongozi la Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) na Kitengo cha...
0 Reactions
2 Replies
401 Views
Ukifanya utafiti utagundua siku hizi watu wengi hawawapi watoto wao majina ya Kiasili kama vile ya kikabila au ya kiswahili. Siku hizi majina mengi yanabaki kuwa ya kizungu kwa wakristo au ya...
9 Reactions
28 Replies
2K Views
Wakuu, Msione kila siku napiga kelele mkadhani nazingua, leo naweka baadhi ya screenshot muone majibu ya DAWASA ya kipuuzi na wananchi tunavyolilia huduma utafikiri tunaipata bure! Pia soma: √ -...
5 Reactions
82 Replies
3K Views
Mimi ni kijana ambae nina mshukuru sana Mungu tokea nimezaliwa hadi hapa nilipofikia, watu wamenisaidia na bado wana nisaidia. Kuna Muda huwa nina kufuru au kukana kutkukubaliana na uwepo wa...
39 Reactions
431 Replies
14K Views
Wadau, hii mitandao ya simu imeona kuna fursa kubwa kwenye malipo ya mtandaoni hasa Kwa kutumia hizi virtual cards. Nimeshangaa Kuona bili ya Dola 17.2 zimekatwa elfu sitini na mbili yaani...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Uboreshaji mkubwa wa Mamlaka ya Bandari kuongeza mara mbili idadi ya abiria katika Ziwa Victoria Mwanza. Idadi ya abiria wanaosafiri katika Ziwa Victoria inatarajiwa kuongezeka mara mbili mwaka...
0 Reactions
0 Replies
362 Views
MRADI WA MABORESHO YA BANDARI YA MWANZA KUKAMILIKA APRIL IMEELEZWA kuwa mpaka sasa ujenzi wa mradi wa maboresha bandari ya mwanza kaskazini umefikia asilimia 44 ambapo kukamilika kwake...
1 Reactions
0 Replies
454 Views
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Na Mwandishi Wetu Dodoma Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amemaliza mgogoro wa Ardhi wa Familia ya Bw. Emmanuel Corneli Mbunda na Mzee Broma Michael Mtega...
1 Reactions
3 Replies
465 Views
Msanii maarufu wa kimataifa Stevie Wonder mwimbaji na mwandishi wa nyimbo kutoka Nchini Marekani mwenye ulemavu wa macho ambaye pia ni mjumbe wa amani wa Umoja wa Mataifa, ameweza kusikika...
1 Reactions
0 Replies
511 Views
Wanajamvi ni kipindi kirefu kimepita sijamsikia mtangazaji huyu kwenye vipindi alivyokuwa anatangaza redio clouds. Yu wapi mtangazaji huyu jamani nimemiss sana utangazaji wake.
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Let's learn advice from the heavenly books, especially the Qur'an, verse 1 of Surah An'am, says in this context that what was created was created for good, that is, it was not created without a...
0 Reactions
0 Replies
215 Views
Kesi ya madai namba 167/2021 iliyofunguliwa na Baghayo Saqware dhidi ya Hospitali ya Salaaman imetupiliwa mbali na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam baada ya kushindwa kuthibitisha...
0 Reactions
0 Replies
425 Views
Nilikuwa naangalia taarifa ya habari ITV wakawa wanahabarisha kuhusu Benki kuu(BoT) kuondoa zile noti za zamani katika mzungu, cha ajabu katika kupata watu wa kutoa maoni kuhusu hilo jambo badala...
4 Reactions
5 Replies
554 Views
Kwa mujibu wa takwimu za road index za mwaka 2024, Tanzania ni Kati ya Nchi 20 Zenye Barabara Bora Afrika ikishika namba 9. Takwimu hizo zinaonesha Tanznaia imezipita Afrika Kusini, Algeria...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…