Wakazi wa kata ya Kidongo Chekundu Manispaa ya Tabora wanaoishi karibu na shule ya msingi ya Mpepo wamekubwa na hofu kubwa kwa watoto wao kufa maji pamoja na kubomoka kwa nyumba zao baada mtaro...
Mara kwa mara, ninapofanya manunuzi madukani au kwa mama ntilie, nimekuwa nikishuhudia jambo linalonitatiza: bidhaa kufungiwa kwenye makaratasi yaliyoandikwa taarifa nyeti kama vile mitihani ya...
Nikiwa kwenye safari yangu ya kurudi katika mihangaiko ya kuusaka ugali, nilipitia tukio ambalo lilinifanya nifikirie sana. Kwenye tiketi yangu, nilipangiwa kiti safu ya 14, lakini nilipokuwa...
Habari ndugu zangu.
Natumai wote mpo salama, na mnaendelea na majukumu yenu ya kila siku.
Ndugu zangu, na marafiki zangu na wasio kuwa Marafiki zangu, wote kwa ujumla nina jambo nataka kulileta...
BARAZA LA DUNIA
Baraza la serikali ya dunia limepangiliwa kwa kufuata umbo la PIRAMIDI , AU PEMBE TATU.
Juu kabisa lipo baraza linalojulikana kama COUNCIL OF 13 AU SUPREME OF COUNCIL OF...
Wasalaam,
Hakika Mungu wetu ni mwema nyakati zote, niseme tu mimi Mla Bata si miongoni mwa wafia dini yeyote, wala mwenye kuyajua mengi yahusuyo dini hizi mbili za (ukristo & uislamu), lakini ni...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambae ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Mbunge Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, amewataka Wananchi wa Mbeya kuendelea kuiamini...
Popote ulipo au mtu yeyote unayemfahamu naomba unisaidie kumpata au kupata taarifa zake.
Miaka ya 1987/1988 ilikuwa ukifanya kazi shirika la posta na simu Urambo mjini. Ulihamishwa na kupeleka...
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, amemtembelea Msanii Mkongwe Nchini Zahir Ally Zorro (Mzee Zorro) nyumbani kwake Kigamboni Dar es salaam jioni ya Novemba 9, 2024, na...
Ninachojiuliza ujenzi wa barabara ya Sitalike kwenda Kibaoni ulianza kujengwa kwa kiwango cha lami kwa kasi sana na pasipo shaka fedha nyingi zimetumika kwenye hatua waliyoishia, je fedha hizo...
Habari wakuu,
Nahitaji kuhamisha kitita cha dollar 1.5 kutoka NMB Chap Chap Account kwenda Prepaid Account.
Sijawahi kutumia NMB Mkononi japokuwa nimeunganishwa kupitia Vodacom
Nifuate hatua...
Falsafa kuhusu binadamu mroho na mwenye husuda inachunguza asili ya tabia hizi hasi, na jinsi zinavyoathiri mahusiano, jamii, na maendeleo ya kiroho na kimaadili ya mtu. kuna tabia ambazo mara...
Kizazi cha blue band!
Katika ulimwengu wa teknolojia, tunashuhudia mabadiliko makubwa,
Kizazi cha kisasa kikiishi kwa haraka, hakina muda wa kupumzika, Simu na mitandao, maisha yamejaa kelele...
Nimefanya makosa makubwa na nimekukosea pakubwa imetosha sasa na nimeamua kukuomba msamaha popote pale ulipo.
Baba nimekua mjeuri kwako kwa kuzani kuna mahitaji ulipaswa kuyatimiza kwangu na...
Abiria wanao tumia tren ya mwendo Kasi SGR kutoka Dar to Dodoma wamekuwa wengi sana kupelekea tren kukaa mapema huku abiria wakikosa sit nashauri wahusika waongeze mabehewa kuliko kutumia hayo 14...
PPP Kwenye ujenzi wa Flemu za Biashara wangeachiwa manispaa tu huku Tume ya Mipango ilijikita Kwenye PPP kubwa kubwa
Mfano Flemu za Biashara pale Makumbusho Daladala stand ni PPP ya Manispaa ya...
DOKEZO; MADAKTARI WEÑYE TAMAA HUKIMBILIA KUTOA MIMBA ZINAZOTISHIA KUTOKA KWA TAMAA YA PESA. NI HAKIKA MIMBA NYINGI ZIMETOLEWA ILHALI HAZIKUPASWA KUTOLEWA.
Anaandika, Robert Heriel
Mhanga...
Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Bw. Lawrence Nyasebwa Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango kilichotokea leo tarehe 09 Novemba, 2024 katika hospitali ya Apollo nchini India...
Kwa takwimu za wanaofanya mitihani ya kidato cha nne mwezi huu Novemba 2024
Kenya ina jumla ya watahiniwa 965, 501 na Tanzania ina watahiniwa 557, 731.
Je, ni kwa nini Tanzania watahiniwa ni wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.