Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari, Kuna mdau namfahamu alikuwa amepata nafasi ya kazi kwa kampuni tajwa apo juu, alitumiwa meseji ya maelekezo kuwa wataanza kufanya training ambayo ina shift, kuna asubuhi na usiku, uyo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Dodoma Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi ameagiza kuwekwa utaratibu ulio wazi wa kupatiwa Hati Milki za Ardhi katika ofisi zote za ardhi ili wananchi...
0 Reactions
1 Replies
308 Views
The World is not fair at all. Kijana una miaka 35 lakini bado unakaa kwa wazazi au shemeji yako na huna nyumba, gari, familia , mashamba wala kamradi kokote… unategemea nini ? Na kutoboa siku...
88 Reactions
374 Replies
58K Views
Dubai ni moja wapo ya majiji ya kibiashara ulimwenguni yenye ushawishi mkubwa sana wa watu kuja toka Mataifa tofauti tofauti ulimwenguni wanaenda kutembea na kufanya biashara. Hivi majuzi mamlaka...
0 Reactions
6 Replies
643 Views
Hakuna watu wanaokula ya mwanamke pesa kiulaini kama waganga na wachungaji🤣 Dah Leo nimeenda kwenye Misa moja hivi jioni ya jumuiya Sasa kwa yale magoti ambayo mchungaji alikuwa akipigiwa noma...
5 Reactions
26 Replies
1K Views
Licha ya hatua ambazo zimekuwa zikichukuliwa katika jamii kukabiliana na vitendo vya uzalilishaji wa kingono kwa Wanawake hususani ubakaji na ulawiti, lakini katika hali ya kusikitisha baadhi ya...
8 Reactions
75 Replies
3K Views
Habari wana-JF Suala hili la kikatili la kufiwa na kitu nipendacho maishani mwangu. Nimeamini kweli kifo hakichagui cheo, rangi wala pesa. Kiumbe (Mbwa) hicho nilikipenda sana tena sana RIP...
18 Reactions
152 Replies
5K Views
Mwanza, Mbeya, Arusha, Dodoma na Tanga ni VIJIJI VIKUBWA Nje ya Dsm ni ngumu kukuta jiji lenye mjumuiko wa vitu zaidi ya vitano vifuatavyo Mji kuwa wazi walau hadi saa tano usiku Mzunguko wa...
7 Reactions
25 Replies
1K Views
Salamu sio Sasa labda badae. Ndugu nasikitika Sana na Sasa nahitaji ushauri maana nipo katika mtanziko wa huzuni na kutia huruma baada ya kunununiwa na rafiki yangu wa hapa kijijini. Ifahamike...
2 Reactions
15 Replies
949 Views
Mimi ni Mkazi wa Arusha - Moshono, Mtaa wa Nanja, huku kwetu kuna tabia ya wizi wa Mita za Maji kiasi kwamba inakuwa changamoto kupata huduma za maji kwa sababu huwezi kujichukulia Mita mtaani...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, amewatakia heri wanafunzi wote kidato cha nne Nchini kwote wanaoanza mitihani yao...
5 Reactions
104 Replies
5K Views
Miti hupunguza ongezeko la joto kwenye mzaingila yetu kwahiyo tujitahidi angalau kila nyumba iwe na miti kulingana na ukubwa wa eneo lake Miti hunyonya hewa chafu kwenye mazingila yetu na...
4 Reactions
22 Replies
907 Views
Sababu zinazochangia miti ya matunda ifikie miaka ya kuanza kuzaa na haizai kabisa au kuzaa kidogo 1. Udongo usio na rutuba ya kutosha: Ikiwa udongo hauna virutubisho vya kutosha, mti unaweza...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Mabadiliko ya Tabia Nchi yamekuwa yakiathiri Nchi zetu, ila mtu binafsi kwa mtazamo mwengine labda anaweza kuchangia katika kupunguza athari za mabadiliko haya, Kwa njia mbalimbali kama Kupanda...
0 Reactions
1 Replies
646 Views
Uchawa ni tabia ya mtu mzima mwenye akili timamu kujipendekeza kwa Kiongozi au kwa mtu mwenye mamlaka katika serikali au taasisi kwa namna isiyo ya kawaida. Kwa lugha rahisi ni kumpa sifa...
7 Reactions
11 Replies
627 Views
Acha ukweli usemwe DSM ni mkoa wa kimaskini sana, kelele kibao lakini uhalisia ground maisha ni mabovu sana DSM, watu wana stress, maisha duni ndio mana DSM ni mkoa unaongoza katika idadi ya...
67 Reactions
282 Replies
19K Views
Wananchi wa mtaa wa Mangua mitoghoo kwa askofu Kata ya Mitunduruni Manispaa ya Singida tumeshangazwa na matokeo ya mgombea wetu. Hakuna hata anayemtaka. Na yeye anajua. Kinachosikitisha kura za...
2 Reactions
6 Replies
451 Views
Familia ya kijana aliyedai kupigwa hadi kuvunjwa mguu na askari polisi ndani ya chumba cha mahojiano, wamelitaka Jeshi la Polisi kumfikisha mahakamani mtuhumiwa huyo, ili hatua za kisheria...
1 Reactions
9 Replies
838 Views
Wakazi wa kata ya Kidongo Chekundu Manispaa ya Tabora wanaoishi karibu na shule ya msingi ya Mpepo wamekubwa na hofu kubwa kwa watoto wao kufa maji pamoja na kubomoka kwa nyumba zao baada mtaro...
0 Reactions
0 Replies
386 Views
Mara kwa mara, ninapofanya manunuzi madukani au kwa mama ntilie, nimekuwa nikishuhudia jambo linalonitatiza: bidhaa kufungiwa kwenye makaratasi yaliyoandikwa taarifa nyeti kama vile mitihani ya...
0 Reactions
3 Replies
475 Views
Back
Top Bottom