Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeanzisha kanuni mpya kwa ajili ya shughuli za kubadilisha fedha za kigeni, ikijumuisha uwepo wa masharti makali zaidi kwa ajili ya miamala inayozidi dola za Marekani...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Afisa Upelelezi Wilaya ya Arusha Mjini, Omary Mahita anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kumpiga hadi kumvunja mguu mtuhumiwa wakati wa mahojiano akiwa kituo cha polisi. Askari huyo anatuhumiwa...
7 Reactions
80 Replies
6K Views
Habar ya usiku huu, Nimepata msiba wa mtoto wangu wa pili ana miaka 2 amefariki usiku wa saa tisa. Msiba upo Morogoro Mjini Forest Kileka ===== Update Habari ya asubui Jana tumefanikiwa...
30 Reactions
199 Replies
9K Views
What makes it different? Je ni ishu ya asili ya mwanamke na ufanyaji wake wa makosa? au ni ishu ya mapokeaji wa hayo makosa ya mwanamke? Kwamba mwanaume kuna namna anavyo fabricate hisia zake in...
0 Reactions
0 Replies
325 Views
Za asubuhi wapambanaji mapambano mema. Mufanikiwe katika Harakati zenu za Kila siku. 'Msisahau kuweka akiba. " maneno haya si mageni... Kuna maneno ambayo si mageni masikioni?? Ebu tuyataje
1 Reactions
1 Replies
250 Views
Tanzania imeweka lengo la kupunguza utoaji wa gesi chafu kwa asilimia 10 hadi 20 ifikapo Mwaka 2030. Hii ni sehemu ya jitihada za kimataifa za kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi. Taarifa...
1 Reactions
0 Replies
702 Views
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya anapaswa kuondoka ofisini na kutembelea eneo la barabara katika milima ya Ruangiro, ambayo inatokea Mbeya hadi Chunya. Barabara hii imeharibika sana na serikali haijafanya...
1 Reactions
4 Replies
505 Views
Bado tuna safari ndefu mno. Pichani ni hujuma zinazofanyika kwenye miundombinu ya Reli ya Kisasa (SGR)
6 Reactions
154 Replies
8K Views
Inawezekana ulikuwa unajiuliza maswali kuhusu ni kiasi gani cha faini utachajiwa, endapo ikatokea bahati mbaya ukagonga mnyama kwenye barabara zinazokatiza kwenye hifadhi. Basi hapa ni baadhi ya...
0 Reactions
4 Replies
861 Views
Kama mdau ambaye nilikuwa na hamu ya kumjua huyu drug lord maarufu ambaye Waziri wa sheria kaomba apelekwe mahakamani kujibu Mashatka yake... Nilikuwa na hamu ya kumjua au kumuona Kama watu wengi...
3 Reactions
44 Replies
10K Views
Mafanikio ni siri. Watu wakijua siri za mipango yako watakutoboa macho usione mafanikio yako kama Samson. Samson alitobolewa macho baada ya kushare siri zake na Delila. Imeandikwa katika Biblia...
168 Reactions
173 Replies
22K Views
Wakuu, Taarifa kwa umma, Shirika la reli tanzania (trc) linaomba radhi kwa abiria wa treni ya mchongoko (emu) walioanza safari yao dar es salaam kwenda dodoma saa 2:00 asubuhi na kusimama...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 17 mkazi wa Kijiji Cha Kilambo ambaye ni Mwanafunzi wa kidato Cha nne katika shule ya Sekondari Ikimba Wilayani Kyela amehukumiwa kifungo Cha nje Cha miezi 12...
14 Reactions
52 Replies
3K Views
MUNGU WA WAYAHUDI "YEHOVA" hawezi HATAMBUI MWANAMKE KAMA MCHUNGAJI, NABII AU MTUME. WANAWAKE WANAOJIITA WACHUNGAJI au MANABII WANA mungu MWINGINE Anaandika, Robert Heriel Mtibeli YEHOVA kama...
6 Reactions
64 Replies
3K Views
Gwala kwa wana Jf. Niteremke hapa kwenye ngazi taratibu na kuingia kwenye mada. Makuzi ya miaka ya sasa imepelekea kupatikana kizazi cha hovyo kweli! Watoto kutojua wanapaswa kuongea vipi na...
3 Reactions
5 Replies
473 Views
Acha kuwa na wasi wasi sana na mambo yaliyotokea huko nyuma katika maisha yako au ambayo yanayo kuja huko mbeleni Usiyape kipaumbele na vuta pumzi ndefu,ishi wakati uliopo sasa na kuwa mwenye...
12 Reactions
19 Replies
857 Views
Kwema wanajamvi? Hivi mzazi kakusomesha kuanzia nusery mpaka chuo, then you build the idea of volunteering? je unayaogopa maisha au nini unahofia labda mbona kazi zipo nyingi mazee piga ata zege...
4 Reactions
9 Replies
866 Views
Elimu ndogo ya boxer (Me) na chupi (Ke) Chupi / Boxer inafyata nabidi ifyatuliwe Matone ya mkojo hudondokea Kwa wanaume zinachafuliwa na manii (Bao) Kwa wanawake zina zinagusa Period Chupi ni...
2 Reactions
9 Replies
710 Views
Kwa miaka 5 sasa, kumekuwa na wimbi kubwa sana la wamarekani weusi wanaokuja Tanzania, wengine kuhamia, wanaopenda kufanya biashara na wengine ni wazee wamechagua TZ kama sehemu ya kustaafia. Na...
4 Reactions
31 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…